Muonekano wa juu wa eneo la Kisongo kata ya Matevesi wilayani Arumeru,baada ya kukumbwa na mvua kubwa usiku wa kuamkia leo na kusababisha mafuriko yaliyopelekea uharibifu wa vitu vya wakazi wa eneo hilo na kaya 150 kuathirika kwa maji kuingia ndani.
Picha: Getrude Mpezya

Pikipiki zikiwa zimesombwa na maji kufuatia mvua zinazonyesha Kisongo mkoani Arusha.
Picha: Getrude Mpezya
Kijana akiwa amekaa asijue cha kufanya baada ya sehemu iliyokuwa ya biashara yake kuharibiwa na maji ya mafuriko.
Picha: Getrude Mpezya
Kijana akikagua eneo ambalo  ya sehemu limearibiwa na maji ya mafuriko.
Picha: Getrude Mpezya
Gari likinasuriwa baada ya kusombwa na maji ya mafuriko Kisongo Arusha.
Picha: Getrude Mpezya