WAKAZI wa Mtaa wa Upendo Kata ya Saranga Wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam wakipita katika daraja la Mbao ambalo linaonekana kumomonyoka na kutitia ambalo linasemekana kuwa limegharimu shilingi milioni 35 kwa mjibu wa wakazi wa eneo hilo.
PICHA: IMANI NATHANIEL