RAIS Samia Suluhu Hassan, akigusa screen ya iPad kuashiria uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi katika Kituo cha Mikutano cha JNICC leo Aprili 03, 2024
PICHA: IKULU
RAIS Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi.
PICHA: IKULU
RAIS Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha iliyotengenezwa na kufumwa kwa nyuzi kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye mara baada ya kuzindua Tume hiyo ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili.
PICHA: IKULU
RAIS Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa katika hafla ya uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi pamoja na Mifumo ya Usajili na Malalamiko ya ukiukwaji wa misingi ya Ulinzi wa Taarifa.
PICHA: IKULU