RAIS wa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania, Fatou Harerimana alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini Tanzania, leo Aprili 23, 2024.
PICHA: IKULU
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.
PICHA: IKULU
Rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Rwanda Nchini Tanzania Mhe. Fatou Harerimana mara baada ya mazungumzo yao waliyoyafanya Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma alipofika kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi Tanzania.
PICHA: IKULU