HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi, iliyokutana leo Aprili 03, 2023 jijini Dar es Salaam chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imemteua Amos Makalla kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akichukua nafasi ya Paul Makonda.
PICHA: MAKTABA
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Aprili 03, 2024 Jijini Dar es salaam, katika kikao chake maalum, chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imemteua John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, akichukua nafasi ya Anamringi.
PICHA: MAKTABA
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imemteua Jokate Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, akichukua nafasi ya Fakii Raphael Lulandala ambaye ameteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.
PICHA: CCM
HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo April 03, 2024 Jijini Dar es salaam, kilichoketi chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imemteua Ally Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania, akichukua nafasi ya Gilbert Kalima.
PICHA: MAKTABA