MWENDESHA pikipiki Manispaa ya Iringa ambaye jina lake halikuweza kupatikana akiwa amepakia mshikaki wa wazungu watatu kama alivyokutwa eneo la RETCO barabara kuu ya Iringa -Dodoma.
PICHA: FRANCIS GODWIN