NDANI YA NIPASHE LEO

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Nurdin Babu akizungumza na wageni waalikwa wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa Benki ya Exim Tanzania mkoani humo iliyofanyika mwishoni mwa wiki ikilenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo.