NDANI YA NIPASHE LEO
27May 2023
Beatrice Shayo
Nipashe
Msaada huo umetolewa na Shirika la Lions Clubs International beambao ni Jenereta ya 10KVA, Viti sita vya Magurudumu na Mashine sita za kidijitali za kupima shinikizo la damu.Akipokea msaada huo,...
27May 2023
Christina Mwakangale
Nipashe
Vifaa hivyo 15 vimekabidhiwa kwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ikipokea tisa, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) vitatu na Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya...
27May 2023
Rose Jacob
Nipashe
MKAZI wa Mtaa wa Nyakabungo, Nyamagana mkoani Mwanza, Peter Domini, ameuawa kwa kushambuliwa na kupigwa na kitu chenye ncha kali wakati alipokwenda kwa jirani yake kudai Sh. 6,500. Imeelezwa...
26May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akiwa Italia Waziri Aweso alipokelewa na mwenyeji wake Balozi wa Tanzania nchini Italia Mahamood Kombo.Katika kikao cha kwanza alikutana na viongozi wa Shirika la SACE ambalo ni Shirika la Maendeleo...
26May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule wakati akihitimisha mkutano wa mashaurino na wadau wa sekta ya ujenzi iliyofanyika mkoani Dar es salaam na kukutanisha wadau...
26May 2023
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
· Wasema huduma walizoona India Tanzania zipo, · Wampongeza Rais Samia kwa uwekezaji mkubwa sekta ya afya, Wasema Tanzania inafaa kuwa kituo cha utalii tiba Afrika
Madaktari hao walikuwa India kwa siku 10 wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Utalii Tifa Taifa, ambaye ni Mkurugenzi wa Global Education Link na Global Medicare, Abdulmalik.Mollel alipewa...
26May 2023
Marco Maduhu
Nipashe
Mwakilishi wa Tume ya Taifa ya UNESCO, Festo Suzubeki, amebainisha hayo leo Mei 26.2023 katika siku ya pili ya maadhimisho ya miaka 30 ya kuanzishwa kwa MISA, yalioendana sambamba na majadiliano ya...
26May 2023
Mhariri
Nipashe
Matukio hayo ni mwananchi mmoja kujirusha kutoka ghorofa ya saba katika jengo la Derm Plaza, Kijitonyama na kupoteza maisha na lingine ni watu saba kujeruhiwa katika jengo la Millennium Tower,...
26May 2023
Julieth Mkireri
Nipashe
Tukio hilo linaelezwa kutokea juzi majira ya saa 1:30 asubuhi katika eneo la Kibaha Kwa Mathias baada ya Shabani (45) aliyekuwa akiendesha basi la Saratoga lenye namba za usajili T 555 DCZ...
26May 2023
Kulwa Mzee
Nipashe
Purukushani hizo zinazochunguzwa zimetokea Mei 23, mwaka huu, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya wateja wa Wakili Mukama kuachiwa huru chini ya kifungu namba 225 cha Sheria ya...
26May 2023
Ibrahim Joseph
Nipashe
Akizungumza jana kwenye uzinduzi wa mradi huo unaotekelezwa na Shirika la T-MARC Tanzania kwa ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Watu wa Marekani (USAID), Katambi alisema mradi huo ni muhimu...
26May 2023
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika sera hiyo, Mwalimu Nyerere alitaka kuwekwe masharti kwamba kila familia isiwe na zaidi ya watoto wanne. Sera hiyo ilipingwa vikali na viongozi wa dini, akiamo Dk. Dk. Wilbroad Slaa, aliyekuwa...
26May 2023
Rahma Suleiman
Nipashe
Aliyasema hayo wakati akifungua mkutano wa tisa wa mazungumzo ya Bahari ya Hindi uliofanyika visiwani Zanzibar, ambapo hotuba yake ilisomwa na Makamu wa Kwanza wa Rais, Othman Masoud Othman kwa...
26May 2023
Grace Mwakalinga
Nipashe
Kaimu Meneja wa RUWASA, Mkoa wa Mbeya, Mhandisi Erast Saronga jana alisaini kandarasi hiyo katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na kampuni ya Jamta Construction Investment Limited ya jijini...
26May 2023
Grace Mwakalinga
Nipashe
Madereva hao waliandamana jana kutoka eneo la Ilomba zilipo ofisi zao hadi Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya kumuomba aingilie kati suala lao kuhusu matumizi mabaya ya fedha kwa viongozi wao.Miongoni...
26May 2023
Renatha Msungu
Nipashe
Mkuu wa Tawi la Utawala wa JKT, Brigedia Jenerali Hassan Mabena, aliyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya jeshi hilo kuhusu maandalizi ya mafunzo hayo. Brigedia...
26May 2023
Saada Akida
Nipashe
Uamuzi huo wa Wekundu wa Msimbazi unalenga kuimarisha kikosi chao kuelekea msimu ujao wa mashindano kwa ajili ya kufanya usajili wa wachezaji wenye viwango bora.Akizungumza na Nipashe...
26May 2023
Adam Fungamwango
Nipashe
***Mayele, Musonda wakali wa kupachika na ku-assist, yafunga 2 kwa vichwa huku...
Hata hivyo wakati ikijiandaa na mechi hiyo ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuwakaribisha USM Alger kutoka Algeria, takwimu zinaonyesha mabao yao mengi wameyafunga ndani ya eneo la...
26May 2023
Elizaberth Zaya
Nipashe
Museveni alisema hayo jana nchini Uganda wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa kufua umeme wa Kikagati- Murongo wa megawati 16, iliyohudhuriwa pia na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.Rais...
26May 2023
Saada Akida
Nipashe
Odhiambo anatajwa huenda akachukua nafasi ya Denis Kitambi ambaye ndiye kocha anayeifundisha timu hiyo ya mkoani Lindi kwa sasa.Akizungumza na Nipashe jana, Odhiambo alisema suala la kuhusishwa...