Kuna hitilafu kwenye Gridi ya Taifa- TANESCO

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 09:34 AM May 04 2024
Mafundi wa TANESCO wakiwa kazini.
Picha: Maktaba
Mafundi wa TANESCO wakiwa kazini.

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kumetokea hitilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya Gridi ya Taifa kuanzia majira ya saa 8:40 usiku hivyo kusababisha baadhi ya maeneo nchini kukosa huduma ya umeme.

Taarifa kwa umma.