Dereva wa serikali ashikiliwa kwa kumfanyia ukatili mwanae

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 02:31 PM Apr 29 2024
Mtoto aliyejeruhiwa kwa kipigo.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linamshikilia Dereva wa serikali James Mrema kwa tuhuma za kumfanyia ukatili kwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali mtoto wake mwenye umri wa miaka tisa.