Kauli ya Kikwete kuhusu uongozi yafaa kuzingatiwa
TAASISI ya Uongozi juzi ilifanya mahafali ya saba yaliyojumuisha wahitimu 198 wa kozi ya uongozi kutoka taasisi mbalimbali za serikali na Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete alikuwa mgeni rasmi.