NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Wachezaji wa timu ya Simba

14Feb 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
Magoli mawili ya straika Hamis Kiiza yalimpa kocha huyo ushindi wa 2-1 dhidi ya Stand United kwenye Uwanja wa Kambarage, Shinyanga ikiwa ni mara ya sita mfululizo kikosi cha Simba chini ya Mganda...

RAIS WA ZANZIBAR DK. ALI MOHAMED SHEIN AKISALIMIANA NA KATIBU MKUU WA CUF, MAALIM SEIF SHARIFF HAMAD

14Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kutokana na uongozi kuwa ni dhamana ya kuongoza wananchi, ndiyo maana kila penye tatizo la kitaifa mtu wa kwanza kuangaliwa au kuwajibika huwa ni kiongozi wa kitaifa kabla ya wasaidizi wake. Hata...

Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo

14Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Maazimio hayo yameisukuma asasi isiyo ya kiserikali ya agenda ya Sinza Dar es Salaam, kulishawishi Shirika la Viwango Tanzania (TBS), kupitisha kiwango cha ukomo wa madini kilichopitishwa na nchi...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Lissu alisema kwenye kamati hizo za hesabu za serikali (PAC) na hesabu za mashirika ya Umma (LAAC), Spika ameteua wabunge wa upinzani ambao hawana uwezo mkubwa katika kutekeleza majukumu hayo....
07Feb 2016
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Taarifa hii iliyotolewa kwenye kongamano hilo lililoshirikisha wadau kutoka mikoa mitano inayoongoza kwa ukeketaji nchini, ilishitua washiriki wengi. Washiriki hao walitoka katika mikoa ya Arusha,...
07Feb 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Laiti tungejua yale yatakayotokea mbele yetu muda mfupi ujao, mambo tuyafanyayo sasa tungeyaepuka au kuyabadilisha kabla ya hatari. Hebu sikia kilio cha kijana huyu kabla sijaendelea kujadili....
07Feb 2016
Moshi Lusonzo
Nipashe Jumapili
Katika uchunguzi uliofanywa na Nipashe, imebaini wizi huo unafanyika na watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (Tamesa) kwa kuacha kwa makusudi kuzitambua baadhi ya tiketi za elekroniki na kuonekana...
07Feb 2016
Emmanuel Matinde
Nipashe Jumapili
Kiasi hicho kimefikisha Sh. Milioni 108, ambazo zimechangwa kupitia harambee mbalimbali inayosimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Luteni Kanali (mstaafu), Issa Machibya, viongozi wa halmashauri zote...
07Feb 2016
Furaha Eliab
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo imetolewa na kaimu katibu tawara wa mkoa wa Njombe Joseph Makinga wakati akifunga mkutano wa baraza za madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Njombe. Alisema kuwa haiwezikani halmashauri...

Picha ya Maktaba.

07Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Vijana hao katika nyakati tofauti walisema hawaoni sababu ya serikali kushindwa kuweka sheria itakayowadhibiti watu wanaofanya vitendo hivyo katika jamii, hasa kwa kukatisha ndoto za watoto wa kike...
07Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Kutozingatia ama kutokuwa na elimu ya uzalendo kumekuwa kukisababisha baadhi ya watu kutenda mambo yanayoshangaza wengine na kuwaacha katika mfadhaiko wa kujiuliza kama huyu mtu anaipenda nchi yake...
07Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Bandie aliliambia gazeti hili kuwa TBF ilikuwa na fedha kwenye akaunti yao kiasi cha Sh. milioni 38, lakini Kamati ya Utendaji imeshangazwa baada ya kukuta Sh. milioni 12 pekee. "Zonga ndiye Katibu...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk. Ezra Ngereza, aliliambia Nipashe uzinduzi wa vituo hivyo utafanyika kesho. Alisema wameamua kuwa na vituo katika hospitali hizo ili kukabiliana na...
07Feb 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mchezo huo utakuwa kama alama ya kisasi cha mchezo wa kwanza mjini Shinyanga, Septemba 20 mwaka jana, ambapo Azam ilishinda bao 1-0 lililofungwa na mshambuliaji John Bocco. Julio alisema...
07Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
*Ni mamilioni yanayotumika kuwalisha wali nyama, samaki, chapati, juisi, maji
Vyanzo vya uhakika vimeiambia Nipashe kuwa kuanzia sasa, Bunge litakuwa likiwapatia wabunge vitafunwa rahisi kama biskuti, sambusa na chai ambavyo kwa ujumla vitaigharimu ofisi ya Bunge si zaidi ya...
07Feb 2016
Nipashe Jumapili
Kocha wa Simba, Jackson Mayanja alisema anaamini wapinzani wao wanafungika kama ilivyo kwa timu nyingine wanazokutana nazo katika michuano hiyo. "Ushindi dhidi ya Yanga utategemeana na michezo...
07Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe Jumapili
Aliyasema hayo jana wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Utafiti cha Kilimo cha Uyoga kinachomilikiwa na taasisi ya Shirika la Afya na Elimu la Kairuki (KHEN). Dk. Salim alisema kama...
07Feb 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
APPT kinakuwa chama cha pili kutangaza kutoshiriki uchaguzi huo wa Machi 20 baada ya Chama kikuu cha upinzani Zanzibar, CUF kutoa tamko lake kama hilo mwezi uliopita. Msimamo wa APPT ulitolewa jana...
07Feb 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kila palipo na madiwani wengi wa vyama vya upinzani uchaguzi wa Meya au Mwenyekiti wa Halmashauri umeingia dosari kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutumia nguvu na wakati mwingine kutumia vyombo vya...
07Feb 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Awali, watumishi 15 wa TPA wakiwamo waliokuwa wakishika nafasi mbalimbali za juu ndani ya mamlaka hiyo, walitajwa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, kuwa...

Pages