NDANI YA NIPASHE LEO

23Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Endapo watapatikana na hatia, watumishi hao wa zamani wanaweza kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela. Uamuzi huo ulitolewa jana na Hakimu Mkazi Mkuu, Mfawidhi, Cyprian Mkeha anayesikiliza kesi...

Rais Dk. John Magufuli akizungumza na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) kutoka Tanzania Bara: picha ya maktaba.

23Apr 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Rais Magufuli amemwagiza Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kuanza kuwatafuta watumishi hewa ndani ya chama hicho.Umebaki mwezi mmoja tu Rais Magufuli akabidhiwe uenyekiti wa chama hicho na Rais...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.

23Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Kampuni nchini hutumia dola za Kimarekani 180,000 (sawa na Sh. milioni 394) kulipia alama ya utambulisho kutoka nchini Kenya, huduma ambayo inaweza kutolewa nchini na kukuza mapato, imeelezwa....
23Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Ustawi wa sekta ya michezo, siyo tu kujenga viwanja bora, kufungua vituo vya kukuza vipaji au kuweka bajeti kubwa katika sekta hiyo. Kuna jambo moja zaidi ya hayo. Nidhamu ya wachezaji wetu. Sisi...
23Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Ni lile la kuitisha uchaguzi mkuu ulioshindwa kufanyika kwa muda mrefu...
Mabingwa hao wa Bara walitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere saa saba mchana na kulakiwa na mashabiki kadhaa wa klabu hiyo wakiogozwa na kikundi cha ngoma. Yanga imetupwa nje...
23Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Aidha, Mahakama hiyo imeagiza Serikali kutoa elimu kwa wananchi hao ndani ya miezi minne kabla ya kuanza Oparesheni ya bomoabomoa, baada ya maombi ya wananchi hao kutupwa na mahakama. Uamuzi huo...

Naibu Mkurugenzi wa Habari na Uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya akizungumza na waandishi wa habari.

23Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe
Aidha, CUF imesema kuzuiwa kwa vyombo vya habari kurusha matangazo ya moja kwa moja ya Bunge ni mbinu ya serikali kujiepusha na aibu kwa sababu ina mawaziri wengi wasio na uwezo wa kujibu hoja za...

rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

23Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Pamoja na dhamira hiyo, hata hivyo, utekelezaji wake utategemea zaidi ukuaji wa uchumi ambao utatoa mapato zaidi kwa ajili ya kugharimia uendeshaji wa shughuli za serikali ikiwemo mishahara, alisema...
23Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Akizungumza katika mahojiano na Nipashe, Ofisa Mfawidhi wa Dk. Walukani Luhamba, alisema operesheni hiyo imelenga kuwakamata madereva wanaofanya safari za usiku kinyume cha taratibu, kanuni na sheria...

timu ya Azam.

23Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Azam iliondolewa kwenye mashindano hayo baad aya kufungwa mabao 3-0 na wenyeji wao katika mechi ya marudiano, hivyo kufungwa jumla ya mabo 4-2 baada ya wawakilishi hao Tanzania kushinda mabao 2-1...
23Apr 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mnada huo ulifanyika juzi katika maonyesho hayo yaliyokuwa yakifanyika jijini hapa,na kutangazwa na Mkurugenzi wa uthaminishaji wa almasi na vito kutoka Wizara ya Nishati na Madini, Archard Kalugendo...

Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar, Zuberi Ali Maulid.

23Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Aidha, Maulid amempongeza pia Rais Dk. Ali Mohammed Shein kwa kudumisha amani iliyopo Zanzibar licha ya kisiwa hiki kupita katika wakati mgumu kisiasa, baada ya kufutwa kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25...

waziri wa fedha, Dk. Philip Mpango.

23Apr 2016
Asraji Mvungi
Nipashe
Wakizungumza katika mkutano wa kijiji hicho, wakazi hao walisema hatua ya halmashauri yao kukusanya mamilioni ya shilingi kwenye mradi huo ukiwamo wa soko na kituo cha basi na kuwaacha wakiendelea...

Wachezaji wa timu ya wanawake Shule ya Sekondali Jitegemee (jezi nyekundu) wakiwania mpira na wachezaji wa timu ya wanawake Shule ya Makongo wakati wa ufunguzi wa mashindano ya Copa Cocacola yatakayo kuwa yakifanyika wakati wa mashindano ya Umiseta.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

23Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Timu za JKT (wanawake na wanaume) ndio mabingwa watetezi wa ligi hiyo itakayomalizika Jumanne Aprili 26. Akizungumza na gazeti hili jana, Ofisa Habari wa Chama cha Mpira wa Mikono Tanzania (TAHA...
23Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe
Wafanyabiashara hao walikwepa kodi ya jumla ya Sh. Bilioni 18. Akizungumza na gazeti hili, Mwenyekiti wa Yono, Yono Kevela alisema wanatarajia kuanza kuuza mali hizo kuanzia keshokutwa katika maeneo...

Rais Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman: picha ya maktaba.

23Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
...Ofisi za AG, DPP kuimarishwa ili kesi ziende fasta fasta
Tamko la kuanza kazi kwa Mahakama hiyo lilitolewa jana bungeni na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake.“Kuhusu ahadi ya kuanzisha...
23Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
...Uchoropoaji vichochoroni huua wanawake 1,500 kila mwaka nchini
Aidha, chini ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu kifungu cha 151, mwanamke yeyote ambaye atapatikana na hatia ya kosa la kutoa mimba atahukumiwa kifungo cha miaka saba jela. Licha ya mazingira hayo...
22Apr 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza hilo, Deogratius Lutalwa, wakati wa utambulisho wa mradi huo mkoani hapa, fedha hizo zitatumika kutoa elimu ya Ukimwi.Alisema mradi huo unaotarajiwa...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Leornad Paulo.

22Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Tukio hilo lilitokea juzi saa 1.45 usiku, watuhumiwa hao walipovamia duka hilo wakiwa na silaha aina ya SMG na Shotgun na kupora fedha taslimu Sh. milioni 2.7. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga...

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick.

22Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck Sadick, aliyasema hayo jana, wakati akizindua kampeni ya usafi wa mazingira katika malango ya hifadhi hiyo. “Kwa mwaka huu, hifadhi hii ya taifa inafanya...

Pages