Makonda: Hapa kuna watu wamedhulumiwa na wakubwa wakienda polisi wanaminywa

By Beatrice Shayo , Nipashe
Published at 05:26 PM May 09 2024
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesema baadhi ya wananchi waliojitokeza kupatiwa haki zao wamedhulumiwa na wakubwa wenye majina hawana pakukimbilia.