NDANI YA NIPASHE LEO

Profesa Kitila Mkumbo.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa ya CCM aliyoitoa mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Martha Mlata imesema chama hicho Mkoa wa Singida wanamkaribisha kwa mikono miwili ili waendelee kuimarisha chama katika mkoa huo....

Rais wa nchi hiyo, Robert Mugabe.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa vyanzo vya intelijensia nchini humo, Kasisi Fidelis Mukonori, amejitolea kuwa mpatanishi kati ya Majenerali wa Jeshi na Rais Mugabe, ingawa hakuna taarifa zaidi kuhusu mazungumzo hayo...
16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Imedaiwa kinamama kula vyakula vyenye mafuta, kuandamwa na msongo wa mawazo, kutokuwa na tabia ya kufanya mazoezi, kumesababisha wengi wao kukabiliwa na magojwa yasiyoambukiza bila ya wao kujijua,...

Mkuu wa mkoa huo, John Mongella.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mkuu wa mkoa huo, John Mongella, alipotembelea eneo la shamba lililo na ukubwa wa hekari mbili katika mtaa wa Mwinuko, kata ya Kitangili wilayani Ilemela, lililo na mgogoro...

watoto njiti.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya watoto njiti yanayoadhimishwa Novemba 17 kila mwaka, alisema katika Hospitali ya Mnazi mmoja pekee, watoto 347 waliofariki, 154 walikuwa ni...
16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wakizungumza na ITV katika ofisi za mkuu wa wilaya Bagamoyo baadhi ya vijana hao wamesema kwa wale watakao kosa nafasi za kuchaguliwa kutokana na vigezo mbalimbali vinavyotumika wako tayari kuunga...
16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda Mkumbo amesema miili hiyo inatarajiwa kuwasili katika uwanja Mdogo wa ndege wa Arusha saa Tisa kamili mchana. Aidha kamanda mkumbo amesema taratibu nyingine zitatolewa baada ya miili hiyo...
16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa za awali zinasema, meli hiyo likuwa na mzigo mzito wa dagaa na wafanyakazi zaidi ya kumi na watano na ilitarajiwa kufika Mwanza leo asubuhi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Augustine...

Godfrey Gugai.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Gugai anadaiwa kumiliki viwanja 37, maghorofa 7, nyumba za kawaida 9, magari 5 pamoja na pikipiki, pamoja na kutakatisha fedha, kughushi fedha pamoja na kudanganya kuhusu mali ambazo anamiliki....

wakulima wa mchicha bonde la msimbazi.

16Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Agizo hilo limetolewa leo na Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso bungeni mjini hapa leo alipokuwa anajibu swali la Zainabu Mndolwa Amiri. Mbunge huyo wa Viti Maalum (CUF) alitaka kujua hatua...
16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wagonjwa wavuka mkoa kutibiwa, ‘waliochoka’ waugulia majumbani, Majengo ya miaka 94, vifaa tiba mtihani, Bodi hospitali katika maamuzi mazito
Hadi sasa, hospitali hiyo ambayo sasa umri wake unagonga hodi ya karne moja sasa kwa sasa inahudumia pia mikoa jirani, safari ya huduma zake ilianza mwaka 1923. Majengo hayo ya hospitali, yalikuwa...

Mchaichai.

16Nov 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mafuta vya mchaichai hutumika katika viwanda vinavyotengeneza pafyumu na sabuni.   Tafiti kadhaa zinaonyesha kuwa, mchaichai una vichocheo muhimu vinavyoweza kupambana na athari nyingi tumboni,...

Ofisi ya kijiji cha Yavayava.

16Nov 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Hakuna usafiri, mgonjwa ajipange kwa km 11, Kiongozi mpya ang’aka ‘yametosha’... , Kiongozi mpya ang’aka ‘yametosha’...
Je, miongo hiyo minne, ambayo aliyezaliwa wakati huo ana umri wa mtu mzima anayevuka ujana, kwa Yavayava imevuka nini walau kwa huduma zake za jamii? Fuatilia simulizi: Tangu kuanzishwa...
16Nov 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Hayo yalisemwa na Meneja fedha wa kampuni hiyo, Saada Miraji, wakati akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake. Alisema wamefikia hatua hiyo baada ya kubaini wafanyabiashara wengi pamoja na...
16Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
BoT iliifutia leseni benki hiyo kufanya shughuli za kibenki na kuiweka chini ya ufilisi na kuiteua Bodi ya Bima ya Amana kama mfilisi kuanzia Mei 8, mwaka huu kutokana na mtaji wake kuwa chini ya...

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Kangi Lugola.

16Nov 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Kangi Lugola, alipokuwa anajibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Dk. Immaculate...

Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Taifa ya Magonjwa Ambukizi ya Kibong’oto, Dk. Rikizi Kisonga kushoto na Samson Mushi Mkuu wa Idara ya Maabara wakizungumzia mashine ya ‘GeneXpert’ inayopima vimelea vya TB sugu ndani ya saa mbili.

16Nov 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Mratibu wa Huduma za Kifua Kikuu Maeneo ya Migodi kutoka Ofisi ya Mpango wa Taifa wa TB na Ukoma (NTLP), Dk. Allan Tarimo, anaanza kwa kuwatoa hofu wananchi kuwa hakuna kifua kikuu sugu kinachohofiwa...
16Nov 2017
Yasmine Protace
Nipashe
Kumekuwapo malalamiko kutoka kwa baadhi ya shule za vijijini, ambako walimu wanadai shule japo zinatoa elimu sawa na mijini kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, lakini walimu wao ni wachache sana...
16Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Imeelezwa kuwa mkoa huo mpya ni kinara kwa maambukizi ya VVU kitaifa ukiwa na maambukizi kwa asilimia 14.8. Changamoto hiyo inadaiwa kusababishwa na tatizo la baadhi ya mila za wakazi wa mkoa huo...

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju.

16Nov 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Julai 4, mwaka huu, bunge lilipitisha sheria hiyo iliyowasilishwa kwa hati ya dharura ili kulinda rasilimali na maliasili za taifa. Akiwasilisha bungeni mjini hapa jana Muswada wa Sheria ya...

Pages