Mashine ya kisasa ya uchunguzi wa saratani ya matiti yazinduliwa MNH

By Frank Monyo , Nipashe
Published at 12:42 PM Apr 18 2024
Mashine ya kisasa ya uchunguzi wa saratani ya matiti kwa wanawake ikizinduliwa.

Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) imezindua mashine mpya ya kisasa (Senographe Pristine 3D Mammography suite) yenye uwezo mkubwa wa kufanya uchunguzi wa saratani ya matiti kwa njia ya kisasa zaidi.