NDANI YA NIPASHE LEO

waziri Makame Mbarawa

23Jun 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Profesa Mbarawa aliyasema hayo wakati akizindua Bodi mpya ya TPAjijini Dar es Salaam, Alisema mbali na vigogo wa bandari hiyo kuajiri watu kwa kuzingatia undugu, hata wale waliokuwa wanapata...

Mbunge wa ulanga (CCM) Goodluck Mlinga.picha milladayo.com

23Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Aamejikuta matatani tena baada ya kumvua baraghashia Goodluck Mlinga (CCM),Mbunge wa Ulanga wakati wakitoka nje ya ukumbi huo kama ilivyo kawaida ya wapinzani. Mbunge huyo jana alimaliza kutumikia...

Mbunge wa sumve (ccm), Richard Ndassa akimsalimia mbunge wa iringa (chadema),peter msigwa huku mbunge wa ubungo (chadema) saed kubenea akimziba mdomo ili asimjibu.

22Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wabunge hao, juzi walitoka kwa staili mpya ya kufunga midomo kwa karatasi na plasta na kuahidi kutosalimiana, kushirikiana, kuingia bungeni na kukaa kwenye mgahawa wa Bunge na wabunge wa CCM hadi...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage,

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa Bunge, Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage, alisema wamebaini uwapo wa nguo zilizo chini ya kiwango huku nyingine zikiwa kama...

WAZIRI WA AFYA, UMMY MWALIMU

22Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hospitali ya Taifa Muhimbili hulaza zaidi ya wagonjwa 1,300 wa jijini Dar es Salaam na wale wanaotoka mikoani. Akitangaza utaratibu huo mpya ambao utaanza kutumika Julai mosi, mwaka huu,...

WAENDESHA BODABODA

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika mktano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Sheria wa SSRA, Oronius Njore alisema mamlaka hiyo imeamua kuwakumbuka wananchi wasio katika sekta rasmi....

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango

22Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
…tozo kwenye miamala ya simu, mazao na huduma za kibenki ni mzigo usiokwepeka kwa wananchi wa kipato cha chini.
Jumatano iliyopita Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango, aliwasilisha mapendekezo ya bajeti ikianisha vyanzo vya mapato vingi vikiwa ni vile vile kwa kuongeza kodi kwenye soda, juisi, sigara...
22Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Ambayo wakati wa mjalada walikuwa wakali kiasi cha kutishia kushika Shilingi kwenye mshahara wa Waziri wa Fedha na Mipango. Maeneo yote yaliyopigiwa kelele kwa kiasi kikubwa kwa takribani siku...
22Jun 2016
Bangila Balinsi
Nipashe
Kitendo cha wabunge wa upinzani kususia vikao vya Bunge kwa sababu ya kutokuwa na imani na Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson, huku bunge likiendelea na mijadala ya bajeti likiwa na wabunge wa upande...

mti wa karafuu

22Jun 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Uhasama umetokana na wafuasi wa CUF kutoridhishwa na maamuzi yaliyotolewa na tume ya Uchaguzi Zanzibar kwa kufuta uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana na kurudiwa Machi 20, mwaka huu. Kitendo...

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martin Shigella

22Jun 2016
Lulu George
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na ujumbe wa viongozi wa serikali ya Japan na Tanzania walipokwenda katika Kijiji cha Buheloi, Kata ya Gale wilayani Lushoto kukagua miradi ya kilimo inayosimamiwa na shirika la...
22Jun 2016
Rose Joseph
Nipashe
Hivi karibuni kuliibuka mvutano mkubwa kati ya wafanyabiashara na wakulima wa zao hilo kuhusu bei ya zao hilo huku wakulima wakitaka kuuza kio moja kwa Sh. 1,145, wakati wanunuzi wakitaka kwa 643,...

Mkurugenzi Mkuu wa TBS, Joseph Masikitiko

22Jun 2016
John Ngunge
Nipashe
Alilitaka shirika hilo, kuongeza udhibiti ili kuzuia bidhaa zisizo na viwango zisiingie sokoni. Alitoa changamoto hiyo juzi wakati akifungua kongamano la kimaifa la Shirika la Viwango Barani...

Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Shinyanga, Mika Nyange

22Jun 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Mwanamke huyo ambaye ni muhudumu wa baa, alidaiwa kutenda unyama huo, Juni 18, mwaka huu, mara baada ya kujifungua katika nyumba aliyokuwa akiishi. Hata hivyo, majirani waliugundua ‘mchezo’...

aliyekuwa Kamanda wa Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova.

22Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Theresia Nyangasa, inaeleza kuwa IGP Mangu ataongozana na naibu wake, Abdurahman Kaniki. Kwa mujibu wa Nyangasa, kabla ya IGP...
22Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Rufani hiyo iliondolewa jana kabla ya kuanza kusikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu likiongozwa na Jaji Mbarouk Mbarouk, Salum Massati na Profesa Ibrahim Juma. Juni 20, mwaka huu, DPP...
22Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Mshtakiwa huyo alisomewa mashitaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Magreth Bankika, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Wakili wa Serikali, Simon Wankyo, alidai kuwa Juni 2, mwaka huu,...

Waziri wa Ardhi,Willium Lukuvi

22Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Sasa natamka rasmi kuwa ardhi hii imerudishwa kwa wananchi na imeshabadilishwa kutoka kuwa ya biashara na kuwa ya makazi…”
Mgogoro huo baina ya wananchi wa kijiji hicho na mwekezaji wa kiwanda cha Saruji cha Twiga kilichopo Wazo Hill ambao ulianza takribani miaka 15 iliyopita baada ya ya wananchi kudaiwa kuvamia eneo...
22Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Wabunge wa Upinzani walitangaza kususia vikao vyote vinavyoongozwa na Dk. Ackson, wakisema kuwa hawana imani naye kutokana na anavyoendesha shughuli za Bunge. Kimsingi, wapinzani wanamtuhumu Dk....
22Jun 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Akasema kuwa anatambua kuwa kuna upungufu na makosa ya kiutendaji ikiwamo kushamiri kwa rushwa na upendeleo serikalini jambo ambalo linasababisha wananchi kuilalamikia serikali na CCM. Hii ilikuwa...

Pages