NDANI YA NIPASHE LEO

21Mar 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Baada ya maelezo mafupi kutoka kwa wageni wa Kimarekani, ilikuwa zamu ya mkuu wa wilaya kutoa ufafanuzi. Mtindo aliyotumia Ngulume, aliongea kwa lugha ya Kiswahili hotuba ndefu, huku akisaidiwa...
21Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Vita havikumkatisha tamaa
Hata hivyo, kifo cha ghafla cha baba yake kiliingilia kati mipango yake na kujikuta analazimika kukatisha masomo na kufifisha ndoto zote za kuwa rubani. Badala yake, akaibuka na wazo jingine....
21Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Utafiti wa hivi karibuni, uitwao 'Utambulisho kuhusu uwezo wa akili kuibuka mapema na ushawishi wa maslahi ya watoto ' ulionyesha wasichana wakiwa na umri wa miaka sita, walikuwa tayari chini ya...

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

21Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aidha, taarifa kutoka ndani ya kamati hiyo zinaeleza kuwa viongozi wa kamati hiyo wamejikuta wakikosa ushirikiano kutoka serikalini kutokana na kusudio lao la kutaka kwenda Gereza Kuu la Arusha (...

RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu.

21Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Lissu ambaye alishinda kwenye uchaguzi huo kwa asilimia 84, katika uchaguzi uliofanyika jijini Arusha Jumamosi iliyopita, alieleza hayo wakati akizungumza na Nipashe kwa njia ya simu. Mambo...
20Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Picha hiyo ilirushwa kwenye mitandao mbalimbali na kuzusha mijadala, lakini ikienda mbali zaidi hadi baadhi ya mashabiki wa Simba kuwaagiza wenzao wa Dodoma kufanya kila njia ili kumpata mtoto huyo...

beki wa Yanga, Hassan Kessy.

20Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni mechi hizo tu ndizo zilizomfanya kumnyang'anya namba Juma Abdul kwenye kikosi cha Yanga na hata timu ya taifa. Mechi ya kwanza ilikuwa ya Ligi Kuu dhidi ya Mtibwa ambayo alionyesha uwezo wa...

nyoni erasto.

20Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mabeki hao ni Erasto Nyoni wa Azam FC, Salim Mbonde wa Mtibwa Sugar, Abdi Banda wa Simba na Andrew Vicent Dante wa Yanga. Kitu ambacho mashabiki wa soka wamebaki wanajiuliza ni nani atacheza na...

waziri wiliam lukuvi.

20Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Katika orodha ya viwanja vinavyotajwa kipo kinachodaiwa kumilikiwa na Wakili Jenerali Ulimwengu ambaye aliwahi kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Uamuzi wa kutaka kutengua umiliki wa viwanja hivyo na...
20Mar 2017
Rajabu Mmbughu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, mkuu wa wilaya hiyo, Kippi Warioba, alisema uharibifu wa mazingira katika wilaya hiyo unasababishwa kwa kiasi kikubwa na watu waliokuwa wakifika kuomba...

waziri wa viwanda, charles mwijage.

20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wito huo ulitolewa na mjini hapa mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi wa Ubunifu, Ujasiriamali na Ushindani wa Tume ya Sayansi na Teknolojia, Dugushilu Mafunda. Alisema utumiaji wa teknolojia ya kisasa...
20Mar 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Mradhi huo ulizinduliwa juzi katika kijiji cha Mariwanda, wilayani Bunda na Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani na kushuhudiwa na wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati...
20Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Stars inatarajia kuikaribisha Botswana Machi 25 na baadaye kuivaa Burundi Machi 28 mwaka huu, mechi zote zitachezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini, Dar es Salaam. Akizungumza jana jijini, Mkuu wa...

Mwenyekiti wa ccm, Mkoa wa Singida, Martha Mlata.

20Mar 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Mwenyekiti wa chama hiko mkoani hapa, Martha Mlata alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na watendaji wa jumuiya za chama hicho baada ya kuukagua uwanja huo. Tayari matengenezo ya kuweka udongo...
20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wawakilishi hao wa Tanzania Bara wametolewa kwenye michuano hiyo kwa jumla ya mabao 3-1, kufuatia ushindi wa bao 1-0 walioupata katika mechi ya awali jijini Dar es Salaam, mfungaji akiwa Ramadhani...
20Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ni baada ya kulazimishwa suluhu ya bila mabao ugenini dhidi ya wenyeji, Zanaco ya Zambia. Kilichoiondoa Yanga kwenye michuano hiyo ni sare ya bao 1-1 iliyoipata nyumbani, Uwanja wa Taifa jijini...
20Mar 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Ligi hiyo inayoshiriki klabu 16 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara iko katika raundi ya 24, inamaana kila timu imebakiza michezo sita tu ili kumaliza msimu wa mwaka 2016/17. Mpaka sasa mbio...
20Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Kadhalika, juzi wapenda soka nchini walishuhudia Mbao FC ikiwa timu ya kwanza kutinga nusu fainali ya michuano hiyo kwa kuitoa Kagera Sugar baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0. Mechi...

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela.

20Mar 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Miongoni mwa walijitosa kuwania nafasi hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Fredrick Mwakalebela. Mwakalebela aligombea ubunge katika jimbo la Iringa...
20Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa iliyotolewa jana na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu, ilisema Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo amewatoa hofu wakazi wa visiwa hivyo kuwa hawatakatiwa umeme, baada ya...

Pages