NDANI YA NIPASHE LEO

Mratibu wa Ukimwi Halmashauri ya Jiji la Tanga, Mosses Kisibo.

12Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Takriban wanafunzi 135 wa shule 18 za Msingi na moja ya sekondari Jijini hapa wamekutwa na tatizo la ukosefu wa lishe bora na kupata utapiamlo. Wanafunzi 1,927 walikutwa na dalili ya utapiamlo...

Mkuu wa JICA Tanzania, Toshio Nagase.

12Apr 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Mradi huo uliopewa jina la `Bussines Environment for Jobs Development Policy Operation', umefadhiliwa na Benki ya Dunia (WB). Hayo yalisemwa na Mwakilishi Mkuu wa shirika hilo, Toshio Nagase,...

Mkurugenzi Mkuu wa Nemc, Bonaventura Baya.

12Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Nemc imesema uchimbaji wa mchanga katika maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam, ni hatari kwa kuwa unasababisha majanga ya mafuriko na kutengeneza mito isiyotarajiwa. Mkurugenzi Mkuu wa Nemc,...
12Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Bajeti tarajiwa ya mwaka 2016/17 kuwa Sh. trilioni 29.53 wakati ya mwaka wa fedha unaomalizika wa 2015/16 ni Sh. trilioni 22. 49. Hilo ni moja ya maswali yaliyoibuka baada ya Waziri wa Fedha na...

jengo la shule ya bombo likiwa limebomoka , baada ya kudumu kwa zaidi ya miaka 100 bila kufanyiwa ukarabati.

12Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Shule hiyo ni miongoni mwa shule zenye sifa nzuri na kuongoza katika kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wanaomaliza darasa la saba. Kwa sababu ya majengo ya shule hiyo kujengwa miaka mingi bila...

Hans van de Pluijm.

12Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza Dar es Salaam jana, Pluijm alisema anafahamu ugumu wa mashindano hayo, lakini anakiandaa kikosi chake kusonga mbele. "Sare hii siyo nzuri kwetu, lakini hatuvunji moyo kwenye mechi ya...
12Apr 2016
Barnabas Maro
Nipashe
‘Lughawiya’ ni taaluma inayoshughulikia uchambuzi wa lugha katika nyanja mbalimbali kama vile sarufi, maana, matamshi na matumizi; isimu. Niliandika maelezo haya kwenye moja ya makala...

Waziri wa mambo ya ndani, Charles Kitwanga.

11Apr 2016
Lulu George
Nipashe
Onyo hilo linatokana na uhamiaji katika kipindi cha miezi mitatu ya mwaka huu kukamata raia 22 wa mataifa mbalimbali kwa kosa la kufanya kazi bila kibali.Akizungumza katika mahojiano na Nipashe,Kaimu...
11Apr 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Kamishna Msaidizi Wilbroad Mtafungwa, alithibitisha jana kutokea kwa tukio hilo na kuongeza kuwa watu watatu wamekamatwa na polisi kuhusu na kumnyang’anya silaha...

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda.

11Apr 2016
John Ngunge
Nipashe
Kadhalika pamoja na kufunzwa kuhusu ulinzi na usalama, kuwajua wageni wanaokuja maeneo yao na kumfahamu kila mkazi wa eneo wanaloliongoza wametakiwa kufahamu pia shughuli wanazozifanya wananchi....

mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA).

11Apr 2016
Rose Jacob
Nipashe
Kadhalika walielimishwa kuhusu kufahamu kanuni na taratibu za uhifadhi, ununuzi na utayarishaji wake.Akizungumza na wakuu wa shule 50 waliohudhuria mafunzo hayo juzi, Ofisa Mawasiliano na Elimu kwa...

mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo.

11Apr 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Bulembo alisema kuwa chama hicho kipo mbioni kufanya tathimini ya kina kuanzia ngazi ya shina hadi taifani kuwabaini wasaliti waliochangia kukidhoofisha chama wajulikane na kwamba wote watakaobainika...

Maalim Seif Sharif Hamad.

11Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
““Natoa wito kwao kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya watawala hawa waovu, ikiwamo kuwawekea vikwazo vya kusafiri…”
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, ameiomba jumuiya ya kimataifa na nchi wahisani kuchunguza akaunti za fedha za viongozi wa SMZ zikiwamo za Rais huyo anazodai...

mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.

11Apr 2016
Rose Jacob
Nipashe
Aidha, ametoa mwezi mmoja kwa vikundi vyote vinavyokodishwa kukata mapanga na kuua wazee na albino kukamatwa na polisi na uchunguzi ufanyike kuwabaini wanaodhamini na wanaohusika kufanya unyama huo....

mjamzito.

11Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Matiro alisema wapo baadhi ya wakuu wa shule ambao hushindwa kuwachukulia hatua wanaume wanaokatisha ndoto za wanafunzi kuendelea na shule kwa kuwapa ujauzito baada ya kuwarubuni na vitu vidogo....

Mkapa Foundation.

11Apr 2016
Daniel Mkate
Nipashe
Miongoni mwao hao, wapo watoto 141 ambao walipatiwa huduma hizo bure na Taasisi ya Benjamin Mkapa, iliyofanyakazi hiyo juzi kijijini hapo, kwa kushirikiana na kituo cha afya cha Igalukilo.Akizungumza...

Rais wa Zanzibar, Dk, Ali Mohammed Shein.

11Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Mawaziri hao waliteuliwa juzi, ikiwa sehemu ya ukamilioshaji wa kuundwa kwa serikali, baada ya uchaguzi wa marudio uliofanyika Machi 20, mwaka huu.Hafla hiyo ilifanyika katika viwanja vya Ikulu mjini...

kocha wa Yanga, Hans van der Pluijm.

11Apr 2016
Nipashe
Yanga itasafiri mwisho wa wiki hii kwenda Misri kwa ajili ya mechi ya marudiano na ili kusonga mbele wanahitaji ushindi. "Bado nafasi ni nusu kwa nusu, tuna nafasi sawa na wao hata kama...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

11Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo mwishoni mwa wiki, Mariamu alisema lilitokea Machi 30, mwaka huu, mara baada ya kufika katika hospitali hiyo kwa ajili ya kupata huduma ya kliniki. Alisema, awali alikuwa...
11Apr 2016
Nipashe
Colister yuko nchini kwa ajili ya kuinoa timu ya taifa ya kikapu, lakini pia anatumia fursa hiyo kuendesha mafunzo ya mchezo huo. Akizungumza na gazeti hili jana, Kamishna wa Ufundi na Uendeshaji...

Pages