NDANI YA NIPASHE LEO

Fundi wa Tenesco akiwa kazini.

18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe ofisini kwake jana, Kaimu Meneja wa Tanesco mkoa wa Manyara, Michael Kidoto, alisema shirika hilo limejipanga kusambaza umeme maeneo mapya kuanzia Januari hadi Julai, kwa awamu...

Afisa Mahusiano wa MO Dewji Foundation, Zainul Mzige akisoma hotuba wakati wa makabidhiano ya mfano wa hundi kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji chotara.

18Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza wakati wa kukabidhi hundi ya msaada huo kwa Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete, mbaye aliongozana na wanakijiji hao, Ofisa Uhusiano wa MoDewji Foundation, Zainul Mzige, alisema wamemua...
18Feb 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika hali hiyo, mambo 12 yamejitokeza zaidi kama vitu vitakavyotumika kupima hatima ya siku 1,825 (miaka mitano) ambazo kiongozi huyo atakaa Ikulu kwa awamu ya kwanza ya miaka mitano kwa mujibu wa...

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla.

18Feb 2016
Mary Mosha
Nipashe
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, amemwagiza Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga na timu yake ya wataalam, kupitia upya kumbukumbu za mkutano mkuu wa kijiji cha Jipe ambao ulitoa...
18Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Sekta hii kimsingi ilipaswa kuwa na muundo wa wizara yake maalum . imekuwa ikitegemea kurudishiwa makombo badala kula vitu stahiki yake, ambavyo serikali imekuwa ikikusanya kupitia uvuvi na wavuvi...

Theopista Kamugisha.

18Feb 2016
Romana Mallya
Nipashe
***Muuguzi aliyeajiriwa anaona, kastaafu haoni na majuto tele
Tangu nikiwa mdogo mwanafunzi wa elimu ya msingi kwa miaka saba yote, eneo la Ilala Sharif Shamba, jijini Dar es Salaam, kila ama nikienda au kurudi shule nilikuwa nakutana na bibi huyo ambaye...

Issa Mohammed Zonga.

18Feb 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe mjini haopa jana, Zonga alisema hata kama CUF haitashiriki uchaguzi wa marudio, hicho si kigezo au sababu ya kuvunjika kwa serikali hiyo. “Nchi hii si ya CCM wala CUF....

Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba (kushoto) na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona.

18Feb 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Mbali na kazi ambazo wamekuwa wakizifanya baada ya kuanza kutumikia adhabu ya kifungo hicho, pia watakuwa msaada katika kutoa ushauri kwa idara za hospitali hiyo kulingana na taaluma na uwezo wao...

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Mkame Mbarawa.

18Feb 2016
Efracia Massawe
Nipashe
Akizungumza na watumishi wa sekta ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilino wilaya ya Musoma, Prof. Mbarawa amesema kufanya kazi kwa umoja, uadilifu, uwazi na ubunifu kutasababisha kufikiwa kwa malengo hayo...

TIMU YA GEITA GOLD MINE

18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
*** Shirikisho hilo limebaini viashiria vya upangaji matokeo katika mechi za mwisho za ligi hiyo msimu huu zilizozihusisha Geita Gold na Polisi Tabora.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na shirikisho hilo, Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi (Kamati ya Saa 72) iliyokutana juzi kupitia taarifa za mechi mbili za Kundi C la FDL -- JKT...

ARSENAL

18Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
WAKATI mwingine ushabiki wa mchezo wa soka ni kama utumwa unaoweza kusababisha madhara makubwa, kikiwamo kifo. Shabiki mmoja wa Arsenal amelazwa hospitalini na kufanyiwa upasuaji baada ya kuugua...
18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo zitachuana katika mechi hiyo ya pili ya watani wa jadi msimu huu itakayochezeshwa na refa mwanamama Jonesia Rukyaa kutoka Kagera. Akiwa kambini Morogoro jana mchana, Mganda huyo...

AZAMU

18Feb 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Makocha wasaidizi wa Azam, Mario Marinica na Dennis Kitambi, walikuwapo Shelisheli Jumamosi kushuhudia mchezo wa raundi ya awali ya michuano hiyo, Bidvest Wits ikishinda 3-0. Kitambi alikaririwa...

JOHN WOKA

18Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Msanii huyo ni Denis Michael Mhina ama 'Joni Woka' kwa jina la kisanii ambaye alijipatia umaarufu mkubwa kwa staili yake ya kurapu kwa staili kama ya mtu mlevi ingawa hakuwa mnywaji pombe....

Dk. Raphael Chegeni.

17Feb 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Ni kipindi ambacho wananchi ambao ni wapigakura hukusanyika katika mikutano ya hadara kusikiliza sera za kila mmoja. Kupitia sera na ahadi hizo ndipo wanbanchi hupata furasa ya kufanya uamuzi ni...
17Feb 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Meya wa Manispaa hiyo ni Boniface Jacob ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Ubungo ambaye siku chache baada ya kushinda nafasi hiyo alikabidhiwa ilani ya chama hicho ili aitekeleze kikamilifu. Jacob...
17Feb 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Rais Magufuli anapongezwa kwa sababu sehemu kubwa ya tathmini ya siku 100 tangu aingie madarakani, inaonyesha ongezeko la watu wenye imani kwa serikali yake.Ingawa ni hivyo, wapo wachache wanaopata...

Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Mpoki Ulisubisya.

17Feb 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika mkutano wa wadau kujadili maendeleo ya tafiti, elimu, matibabu na mafunzo kuhusu ugonjwa wa sikoseli nchini katika kipindi cha miaka 10 kwenye hafla iliyofanyika jijini Dar es...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Mihayo Msikhela.

17Feb 2016
Lulu George
Nipashe
Mtuhumiwa huyo anadaiwa alimuua mtoto huyo kwa kumkata koromeo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Mihayo Msikhela, alithibitisha kutokea kwa mauaji hayo na kueleza kuwa mtoto huyo alifariki dunia...

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga.

17Feb 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalisemwa na Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, wakati akizungumza na wawekezaji wa sekta binafsi katika mkutano ulioandaliwa na Taasisi za Sekta jijini Dar es Salaam juzi. “Serikali...

Pages