NDANI YA NIPASHE LEO

16Dec 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam kwenye ufunguzi wa semina ya siku moja ya waandishi wa habari za michezo, Ngeleja, alisema soka la sasa linaongozwa na wafanyabiashara, hivyo ni vyema...
16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Badala yake, amewataka kuisaidia Mahakama ya Tanzania katika kupambana na rushwa kwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ya taaluma hiyo.Akizungumza jana wakati wa sherehe za 57 za...
16Dec 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Bil. 165\- huyaagiza nje, uzalishaji nchini wadorora, zahitajika lita 700,000 viwanda vyaambulia nusu
Anabainisha Mkurugenzi Mtendaji wa Jukwaa la Wadau wa Sekta ya Kilimo (Ansaf), Audax Rukonge na kuongeza kuwa nchi  inatumia Dola za Kimarekani milioni 75  (zaidi ya Sh. bilioni 165)...

IGP Sirro (katikati anayetabasamu) akishiriki mazoezi na baadhi ya askari wa kikosi maalum cha  haraka cha kupambana  na matukio makubwa ya kihalifu kwenye viwanja vya FFU mkoani Kigoma, mwishoni mwa wiki. (Picha: Magreth Magosso)

16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kamanda Sirro alitoa somo hilo la namna ya kudhibiti wahalifu watokao nje ya nchi mwishoni mwa wiki wakati akiwa mkoani Kigoma katika ziara yake ya siku mbili kuangalia utendaji kazi wa jeshi lake...
16Dec 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Mashindano hayo ambayo  yanadhaminiwa na Kampuni ya Kubashiri Matokeo Michezoni ya SportPesa, kwa kushirikiana na Clouds Media, yameanza juzi katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dodoma(UDOM) kwa...
16Dec 2017
Rahma Suleiman
Nipashe
Hayo yameelezwa na Kamishna wa Bodi hiyo, Amour Hamil Bakir, mara baada ya utiaji wa saini na Kampuni ya simu za mkononi ya Zantel, katika hafla iliyofanyika mjini Zanzibar.Katika hafla hiyo  ...
16Dec 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Spika wa Bunge, Job Ndugai, alisema jana mjini hapa kuwa hatua hiyo imetokana na kupokea barua kutoka kwa wabunge wawili, Maulid Mtulia (CUF) wa Kinondoni na Dk. Godwin Mollel wa Siha (Chadema)....
16Dec 2017
Barnabas Maro
Nipashe
Methali hii hutumiwa katika muktadha (hali, wakati jambo linapofanyika au panapohusika) ambapo watu au mtu anapewa ushauri, lakini haufuati. Tanzania tuna timu takriban nne za kandanda...
16Dec 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Kutokana na ushindi huo, Zanzibar Heroes itacheza mechi ya fainali dhidi ya wenyeji Kenya (Harambee Stars), itakayopigwa kesho Jumapili kwenye Uwanja wa Kenyatta mjini Machakos, ikitanguliwa na...
16Dec 2017
Romana Mallya
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa jana mjini Arusha wakati wa mafunzo ya kilimo hai bila kuathiri ardhi, yaliyoandaliwa na kuratibiwa na Mradi wa Mkulima Mbunifu (MkM) kwa kushirikiana na Shirika lisilo la...
16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lissu alihamishiwa Nairobi kwa matibabu zaidi baada ya watu wasiojulikana kumshambulia kwa kumpiga risasi zaidi ya 20 akiwa kwenye gari mbele ya nyumba yake, eneo la Area D mjini Dodoma, siku ya...
16Dec 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Kida alisema hayo jana wakati akitoa taarifa ya mwaka katika mkutano na waandishi wa habari, mjini Dodoma.Alisema thamani ya mfuko huo imeongezeka kutokana na ongezeko  kubwa la wanachama...

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali.

16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hafla hiyo ilifanyika juzi ikihusisha uongozi wa juu wa kampuni hiyo na watendaji wakuu wa wizara.Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko, Balozi Amina Salum Ali, alisema Serikali ya China ina...

Susan Natai (mwenye miwani) akiwa amevishwa skafu ya CCM baada ya kuhammia chama hicho.

16Dec 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Diwani huyo, Susan Natai wa Kata ya Kashashi, wilayani Siha, amechukua uamuzi huo ikiwa siku moja baada ya Mbunge wa Jimbo hilo, Dk. Godwin Mollel, kutangaza kujivua uanachama wa Chadema hivyo...
16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Ofisa Uhusiano wa Takukuru Makao Makuu, Mussa Misalaba,  Mshauri Nasaha wa Hospitali ya Rufani ya Mkoa wa Dodoma, Zainab Mashombo, aliwapongeza maofisa...
16Dec 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
Changamoto nyingi za kibiashara, kielimu, kiafya na uwekezaji wowote huongezeka wakati wa hali ngumu ya kiuchumi. Hapo ndipo unapogundua kuwa haijalishi unataka kuwekeza kwenye kilimo, ufugaji,...

Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina (kushoto), akimsikiliza mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Handa, Jumanne Sadick, kuhusu tatizo la mipaka eneo hilo.

16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ni baada ya Serikali kufuta faini zote Singida zisizozingatia sheria za nchi…
Wafugaji Jerumani Waline, Mabula Mwala, Joel Tahan, Elizabeth Hamisi na Elizabethi Nyambi wa kijiji cha Handa kinachopakana na Hifadhi ya Msitu wa Jamii wa Mgori uliopo kwenye mkoa wa Singida, ni...
16Dec 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Lakini kuna baadhi wanaopingana na dhana hiyo wakisema kuzaa  kila wakati si kupata. Pengine hisia hizi zinaweza kuwa na mashiko tunaporejea mikasa inayowakumba baadhi  ya wazee wa mikoa...
16Dec 2017
Mhariri
Nipashe
Michuano hiyo yenye utajiri mkubwa kwa ngazi ya klabu Afrika, inatarajiwa kuanza Februari mwakani huku timu 59 zikipangwa katika Ligi ya Mabingwa na 54 zimo katika Kombe la Shirikisho.Kwa Tanzania...

Naibu Waziri wa Uvuvi na Mifugo, Abdalla Ulega, akiwa amekamata tani 11 za samaki wachanga na wazazi wanaokadiriwa kuwa na thamani ya Sh. bilioni 11 katika soko la Samaki la Mwaloni-Kirumba jijini Mwanza

16Dec 2017
Rose Jacob
Nipashe
Katika ziara yake hiyo ya kushtukia, Ulega alishuhudia shehena hiyo ambayo ilikuwa ikitarajiwa kusafirishwa kwenda maeneo mbalimbali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kutumia kibali cha...

Pages