NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

27Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
*** Yanga kuijaza mamilioni Simba ili kumwachia au…
Simba inalalamikia klabu ya Yanga kumsajili beki Kessy akiwa hajamaliza mkataba wake Msimbazi na kwa sababu hiyo inataka kulipwa Sh. milioni 200 ambayo ni punguzo kutoka bilioni 1.2 walizotaka awali...
27Nov 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Ushirikina ni sayansi ya ajabu sana ambayo wala haifundishwi katika taasisi yoyote ya elimu hapa duniani. Hakuna ambaye hafahamu athari na matokeo ya ushirikina kwa namna unavyoyumbisha na...
27Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Bodaboda, wapiga picha wanavyowarubuni na kupanga uhalifu
Lakini nyuma ya pazia, kumeibuka uhalifu mpya unaofanywa na wasaidizi hao baada ya kurubuniwa na wafanyabiashara ya kubeba abiria kwa pikipiki, maarufu kama bodaboda. Aidha, wasichana hao wamekuwa...

Abdallah 'King' Kibadeni.

27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kibadeni aliliambia gazeti hili jana kuwa wachezaji wageni walichobakia ni 'kubebwa' na majina au mataifa ambayo wanatoka na si kufanya makubwa uwanjani ya kusaidia timu zilizowasajili. "Kwa maoni...
27Nov 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tangu kuzinduliwa kwa taasisi hiyo,mabilioni ya fedha ambayo yangetumiwa na serikali kupeleka wagonjwa wa moyo kufanyiwa operesheni nje ya nchi, na hasa India na Afrika Kusini, yameokolewa. Mbali...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub, aliwasilisha hoja binafsi ya dharura na kutaka baraza hilo kusitisha shughuli zake kutoa nafasi ya kujadiliwa hoja yake. Katika maelezo yake alisema...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Naif Ltd, Khadija Alyafei, alisema hayo jijini Dar es Salaam juzi wakati akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu Tanzania katika nchi hizo. Khadija ameteuliwa...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika mahojiano na Nipashe jana, Omog alisema ameamua kuongoza mchakato huo kwa sababu nafasi hiyo ni muhimu kwenye timu na anaamini nyanda ambaye atampata ataisaidia Simba kutimiza malengo yake ya...
27Nov 2016
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Dereva huyo wa basi lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam, alibainika kutumia kilevi katika operesheni iliyofanywa juzi kwa ushirikiano kati ya Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa...
20Nov 2016
Margaret Malisa
Nipashe Jumapili
Waziri Mkuu alitoa wito huo mwishoni mwa wiki alipotembelea kiwanda cha Kiluwa Steel cha kutengeneza nondo kilichoko Mlandizi, eneo la Disunyala ambacho kimejengewa reli kwa ajili ya kurahisishiwa...
20Nov 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Kasi ya benki kupiga mnada majumba, viwanja yatisha, * Wenye benki wasema “no way”
Uchunguzi uliofanywa na Nipashe kwa siku kadhaa, umebaini kuwa miongoni mwa waathirika wakubwa wa uhaba huo wa fedha zilizokuwa zikipatikana kirahisi kupitia ‘dili’ nyingi, zilizokuwapo walau mwaka...
20Nov 2016
Ahmed Makongo
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo imechukuliwa siku moja baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza, kumhalalisha Ester Bulaya kuwa Mbunge halali wa Bunda Mjini na kutupa maombi ya wapigakura wanne waliokuwa wakimpigania...

waziri wa elimu, profesa joyce ndalichako.

20Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam (Tudarco), ambacho ni chuo kikuu kishiriki cha Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA), Profesa Uswege Minga, alisema hayo wakati wa mahafali ya 10 ya...
20Nov 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Mifugo hiyo ilikamatwa juzi katika kijiji hicho, ambapo Diwani wa Kata ya Songa, Lensle Nchimbi alisema hatua hiyo imechukuliwa kutokana na kushamiri kwa vitendo vya baadhi ya wafuagaji wa ng'ombe,...
20Nov 2016
Rose Jacob
Nipashe Jumapili
Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya wachimbaji hao wanaokadiriwa kuwa zaidi ya 400, kukaidi amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Hamim Gwiyama, kuwataka kuondoka kwa kuwa eneo hilo ni mali ya kampuni ya...
20Nov 2016
Happy Severine
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa mwishoni mwa wiki, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi mkoa wa Simiyu, Onesmo Lyanga, alisema tukio hilo lilitokea juzi saa saa 10. 30 asubuhi...
20Nov 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wiki iliyopita nilichambua dhana hiyo kwa habari iliyobeba kichwa cha maneno ‘Wajue maadui zako waliojificha, wanaokuandama! Wapo wasomaji waliobahatika kuisoma makala ile na kujikuta kilichojadiliwa...
20Nov 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Waliotunukiwa ni waliohitimu shahada za awali, stashahada na cheti kutoka Shule Kuu ya Elimu, Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na Mawasilino ya Umma, Sayansi za Jamii, Shule Kuu ya Sheria na Taasisi...
20Nov 2016
Hamisi Nasiri
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea mradi huo mwisho nwa wiki, Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Masasi–Nachingwea (Manawasa) inayosimamia mradi huo, David Nuntufye...
20Nov 2016
Mahmoud Zubeiry
Nipashe Jumapili
Kiungo chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, Farid amekwama kwenda kujiunga na Deportivo Tenerife, licha ya kupata kibali rasmi cha kufanya kazi nchini Hispania. Akizungumza na Nipashe jana mjini...

Pages