Kardinali Pengo amuombea Makonda, amtaka aendelee kujitolea

By Beatrice Shayo , Nipashe
Published at 12:42 PM Apr 15 2024
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo,akimuombea Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda.

Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Polycarp Pengo, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, na kumfanyia maombi ofisi kwake.