NDANI YA NIPASHE LEO

Mwenyekiti wa Bodi ya NMB Foundation, Ruth Zaipuna (wapili kushoto), akizindua rasmi dirisha la kupokea maombi ya ufadhili wa wanafunzi wanaotegemea kuingia kidato cha tano mwaka huu na wale wanaotarajia kuingia vyuo vikuu kwa ajili ya shahada ya kwanza ya masomo, jijini Dar es Salaam jana. Wengine ni Mjumbe wa Bodi, Juma Kimori (kushoto), Katibu wa NMB Foundation, Consolata Mosha (kulia) na Mjumbe wa Bodi, Filbert Mponzi. PICHA: MPIGAPICHA WETU