NDANI YA NIPASHE LEO

Zacharia Hanspope

18Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hanspope alisema maneno ya wapinzani wao hayawaathiri na kuwataka wanachama na mashabiki wao kusubiri kushuhudia kikosi imara pale msimu mpya wa...
18Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Taarifa kutoka kwa rafiki wa mshambuliaji huyo wa zamani wa mabingwa wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara Yanga, zimeeleza kuwa Kabumbagu amesajiliwa na timu ya Long An FC. "Hayuko Burundi, yuko...
18Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Bale, 26 alifunga bao lake la pili kwa frikiki na kuika Wales bao la kuongoza katika michuano hiyo ya Kombe la Ulaya lakini magoli ya Jamie Vardy na Daniel Sturridge yaliipa England pointi tatu na...

Josephat Gwajima

18Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
*Adaiwa kukwea pipa kuelekea Dubai
Juzi, askari kadhaa wa jeshi hilo waliweka kambi katika nyumba ya Askofu Gwajima iliyopo kwenye Mtaa wa Kealanda, Mbezi Salasala jijini Dar es Salaam kutokana na kile kilichodaiwa kuwa anasakwa kwa...

SAID MECKI SADIKI

18Jun 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Mecki Sadiki ,alitoa amri ya kukamatwa kwa mfanyabiashara huyo baada ya kupokea malalamiko ya mmoja wa wakazi wa Kijiji cha Matala, Mariam Khalid, ambaye alifichua...

PROF LIPUMBA

18Jun 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Lipumba aliandika barua ya kujiengua nafasi hiyo Agosti 5 mwaka jana, ambapo Juni 13 mwaka huu pia alitangaza kutengua uamuzi huo ambao umepingwa vikali na uongozi wa chama hicho akiwamo Katibu Mkuu...

MARAIS WASTAAFU, JAKAYA KIKWETE NA BENJAMIN MKAPA

18Jun 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Chama hicho kimependekeza Mkapa naye afikishwe mahakamani kujibu makosa aliyofanya kwenye utawala wake. Chama hicho kimemtaka Mwanasheria Mkuu wa Serikali kupeleka hoja ya dharura katika Bunge ili...
18Jun 2016
Romana Mallya
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando, alisema ni kweli wamepata hasara lakini mwitikio wa wateja waliokumbwa na tatizo la kuzimiwa simu zao ni mkubwa na...

PROF MBARAWA

18Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
baada ya Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa kushiriki mkutano mzito wa Mamlaka ya Bandari (TPA) kwa njia ya video. Baada ya kuingia madarakani kwa awamu ya tano chini...

WAZIRI KAIRUKI

18Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
na kuwataka wahakikishe kuwa wanatekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa ili kuepuka malalamiko yasiyo ya lazima kwa wanaowahudumia. Waziri Kairuki aliyasema hayo jana wakati alipokuwa akizindua...
17Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Hii ni mara ya pili kwa Jeshi la Polisi kuingia nyumba ya Askofu huyo na kumtafuta. Mara ya kwanza ilikuwa ni mwaka jana baada ya Askofu huyo kutoa kauli za kumkashfu Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu...
17Jun 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kupungua kwa mapato ya kampuni za simu ni kutokana na kushuka kwa idadi ya simu zinazopigwa na wingi wa miamala ya kutuma na ku[pokea pesa, ni moja kati ya majanga matano ambayo yataendana na zoezi...
17Jun 2016
Peter Orwa
Nipashe
Wenye mgahawa huo unaoitwa Bunyadi, anasema kwamba moja ya sababu kuu ya kufungua biashara hiyo ya kihistoria ni kutumia alichokiita ‘Uhuru kamili.’ Mbali na wahusika kuwa katika mazingira hayo ‘...
17Jun 2016
Denis Maringo
Nipashe
MATUMIZI ya simu katika kutuma, kupokea, kuhifadhi fedha na pia kufanya manunuzi ama ulipaji wa bili mbalimbali ni jambo jipya ambalo kila kukicha linashika kasi hapa nchini. Itakumbukwa kwanza,...
17Jun 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Mara nyingi mtaji umekuwa ukitumika kama sababu ya watu wasiumize vichwa, ili kujua wanawezaje kuingia kwenye biashara. Kila mtu utakayeongea naye kuhusu biashara ataanza na tatizo la mtaji....

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene

17Jun 2016
Francis Kajubi
Nipashe
Katika agizo hilo, Simbachawene amelitaka jiji kuweka fedha nyingi ya makusanyo yake DCB kwa kuwa ndio wamiliki wa benki hiyo. Simbachawene alitoa agizo hilo jijini Dar es Salaam jana,...
17Jun 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Vigogo hao wanakabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka kwa kutia saini mkataba wa kuipa kazi kampuni ya Ujenzi ya China Communications Ltd, bila kutangaza zabuni. Kesi hiyo ilitajwa...

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa

17Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akijibu maswali ya papo kwa papo jana bungeni mjini hapa, Waziri Mkuu alisema chombo kimoja cha habari, kilimwibua mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, mwenye matatizo ya macho. Kutokana na...
17Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mchango wa wasichana hao katika familia husika una umuhimu mkubwa. Wanafanya kazi zote za ndani kuanzia kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki, kutunza watoto na usafi wa nyumba kwa ujumla. Baadhi...
17Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Simu hizo zilizimwa baada ya muda uliotolewa na mamlaka hiyo kwa wamiliki wa simu hizo kununua simu halisi ili kuepukana na usumbufu ambao ungewapata kutokana na simu zao kuzimwa. Kabla ya hapo...

Pages