NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

kosovo

10Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
MWANAMUZIKI Ndanda Kosovo (44), amefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Ndanda aliyekuwa maarufu kwa jina la 'Kichaa' au 'Mjelajela" alipata umaarufu akiwa...

balozi mahiga

10Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk. Augustine Mahiga aliyasema hayo wakati akizungumza na Nipashe kuhusu nini kinaendelea katika mgogoro huo. Dk....

HAMAD RASHID

10Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
*Amshukuru Dk. Shein kumkumbuka katika uteuzi
kwa kudai kuwa kimewasaliti Wazanzibari kwa kususia uchaguzi wa marudio visiwani humo uliofanyika Machi 20, 2016.Hamad aliyegombea urais wa Zanzibar kupitia chama cha ADC, aliteuliwa kuwa waziri...

arsenal

10Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo ni mabaya kwa Arsenal katika safari ya kusaka ubingwa England msimu huu, kwani sasa wako nyuma kwa pointi 10 dhidi ya vinara wa ligi hiyo, Leicester City, huku mechi sita zikisalia...

Waziri wa Sheria na Katiba, Dk.Harrison Mwakyembe

10Apr 2016
Said Hamdani
Nipashe Jumapili
MAHAKAMA ya Wilaya ya Lindi, imemuhukumu kifungo cha mwaka mmoja gerezani mkazi wa Manispaa hiyo, Abdallah Mohamedi Munguja (32), baada ya kupatikana na hatia kwa makosa mawili, likiwemo kuendesha...

rais magufuli akishuka katika ndege

10Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
*Balozi Mahiga asema anataraji kwenda ughaibuni hivi karibuni
Rais John Magufuli anataraji kusafiri tena kwenda nje ya nchi hivi karibuni akiwa na msafara ambao unawezekana usizidi jumla ya watu 10.Ilimchukua Rais Magufuli siku 153 tangu kuapishwa kwake...

dk dau

10Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
waandishi wa habari na wapiga picha waliweka kambi kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu jijini Dar es Salaam juzi kumsuburi. Wiki iliyopita kulizagaa taarifa kwenye mitandao ya...

wassira

10Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Jimbo hilo lilichukuliwa na Esther Bulaya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) hivyo kumgalagaza mwanasiasa huyo mkongwe, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Halmashauri Kuu...

Kikosi cha Chelsea

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Matokeo hayo kama mwendelezo wa wa Villa kuporomoka zaidi kuelekea kushuka daraja. Katika mechi hiyo, mashabiki wa Villa waliimba nyimbo za kuibeza timu, wachezaji na mmiliki wa klabu,...
03Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Jamaa huyo katika ujumbe wake mfupi simu ya kiganjani alisema hivi; Mimi naitwa Jumanne Abdalla napatikana Kibaha Maili Moja. “Mimi nimeoa mke lakini cha ajabu mambo yetu ya ndani huwa...

Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. harrison Mwakyembe

03Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe mapema wiki hii, Prof. Mchome alisema Wizara haiwezi kufanya chochote kwa sasa hadi watakapokabidhiwa mapendekezo kutoka kwenye bodi hiyo. “Tunasubiri ushauri wa bodi kama...
03Apr 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Rais Magufuli alitangaza juzi kuwa huwa analipwa Sh. milioni 9.5 kwa mwezi, ikiwa ni mara ya kwanza katika historia ya bara hili kwa mkuu wa nchi kutaja mshahara wake. Aidha, Nipashe...

Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga

03Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
. Ilionya kuwa kuchelewa kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi yao, kumeongeza idadi ya watumia dawa hizo magerezani huku Watanzania zaidi ya 160 wakifungwa nchini China baada ya kukamatwa...

rais wa TFF

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Yanga ilikuwa ipambane na Mtibwa Jumatano wiki hii, lakini mechi hiyo haitakuwapo na TFF itapanga tarehe nyingine ya kuchezwa. Hata hivyo, habari kutoka TFF zilidai kuwa mchezo huo utachezwa...
03Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
KUJIKINGA Ili kujiepusha na fangasi hakikisha unavaa nguo zilizokauka kikamilifu zinazoweza kunyonya unyevu wa ngozi, zingatia usafi sehemu zinazokuza fangasi kama kwapani, sehemu kati...

BETTY MKWASSA

03Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Lengo la kuendesha operesheni hiyo ni kubaini idadi ya ng’ombe waliopo ili kupanga matumizi bora ya ardhi kwa mfugaji kutoka kwenye ufungaji wa kuhama hama kwenda ufugaji kisasa. Mkwasa alisema...
03Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Marehemu Dk. Mgimwa akasema wizi huo ulikwamisha utekelezaji wa miradi mingine ya maendeleo ambayo ingegharamiwa kwa fedha hizo, ambazo walilipwa wafanyakazi hewa. Kauli ya Dk. Mgimwa ilikuja...

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu

03Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakazi wa kijiji hicho walisema kwa kipindi cha miezi mitatu mfululizo mwaka huu kumekuwapo na tatizo hilo na kuwafanya washindwe kubaini tatizo. Mganga...

MKWASA

03Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mkwasa kwa sasa anafundisha timu ya Taifa (Taifa Stars) na kauli yake imekuja siku chache tangu kuwalalamikia waajiri wake (TFF) kushindwa kumlipa misharaha kwa miezi nane. Kocha huyo mzawa...
03Apr 2016
Nipashe Jumapili
Ongezeko hilo linaelezwa kuwa ni la juu baada ya kukamilika kwa miradi ya upanuzi katika vyanzo vya Ruvu Chini na Ruvu Juu ambavyo vinalisha maji wateja wa jiji la Dar es Salaam na Kibaha....

Pages