NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

06Sep 2020
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Pia, amesema atanunua magari ya wagonjwa na kuyasambaza jimboni ndani ya siku 90 baada ya kuchaguliwa, akitamba kuwa hahitaji kusubiri bajeti ya serikali. Askofu Gwajima alitoa ahadi hizo juzi...
06Sep 2020
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Kipyenga chapulizwa leo, viwanja vyarindima, timu zajivunia vikosi huku...
Simba itashuka dimbani ikiwa na morali ya hali ya juu, ikitaka kuendeleza mbio zake za ushindi baada ya kutoka kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Namungo FC mabao 2-0 kwenye mechi hiyo ya kufungua...
06Sep 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Kabla ya kuzama kwenye mada ya leo, tuwakumbushe wasomaji wetu wa siku nyingi:Tumerejea kwa kishindo baada ya miaka kama miwili ya kutokuwa hewani. Pia tunatoa salamu za rambirambi kwa taifa na...
06Sep 2020
Mhariri
Nipashe Jumapili
Katika kipindi chote hicho, wasomaji wetu walikosa uhondo waliokuwa wakiupata hatua ambayo ilisababisha wengi wao kuhoji kulikoni mpaka ukafikiwa uamuzi wa kulisimamisha gazeti hilo.Pamoja na kuhoji...
06Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Na Magambo Masambu Historia inaonyesha kwamba kabla na baada ya Uhuru, Tanzania imeongoza harakati za ukombozi barani Afrika na hasa nchi zilizoko Kusini mwa Afrika kuhakikisha zinapata uhuru wa...
06Sep 2020
Lilian Lugakingira
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa kukitambulisha rasmi kikosi cha timu ya Kagera Sugar, Gaguti alitangaza uwanjwa wa Kaitaba kuwa machinjio ya timu zote zitakazofika mkoani Kagera kucheza na timu hiyo."...

Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere, akisalimiana na Mgombea
Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho, Dk. John Pombe Magufuli, wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu katika uwanja wa Mkendo, mjini Musoma, Mkoa wa Mara jana. PICHA: IKULU

06Sep 2020
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Amesema hakutekeleza ahadi hiyo katika kipindi cha miaka mitano ya utawala wake kwa kuwa alitaka kukamilisha kwanza baadhi ya mambo muhimu ya kitaifa ikiwamo ujenzi wa hospitali, zahanati, huduma ya...
06Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa Waamuzi, Sudi Abdi amesema kuwa wameshajipanga kuhakikisha wanapunguza matatizo yale yaliyokuwa wanajitokeza siku za nyuma na kuwatoa shaka mashabiki wa soka nchini kutarajia...
06Sep 2020
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Vilevile, chama hicho kimeahidi kujenga daraja kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar ili wananchi waachane na usafiri wa meli na boti ambao kimesema siyo rafiki kwao. Jana, katika uzinduzi wa...

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akiwapungia mkono wanachama na wafuasi wa chama hicho, alipowasili katika viwanja vya Nzovwe, jijini Mbeya jana, kwa ajili ya mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu. PICHA: NEBART MSOKWA

06Sep 2020
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Lissu alitoa ahadi hiyo jana kwenye Uwanja wa Ruanda Nzovwe jijini hapa wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho Kanda ya Nyasa, akiahidi kujenga maeneo maalum kwa ajili ya shughuli za...
06Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Kuna sehemu watoa huduma hizo kama vile takatata, wanatoza pesa kwa nyumba, huku wengine wakitoza kila chumba. Kuna watu wamekuwa wakipita kwenye makazi ya watu ukusanya fedha hizo kila mwezi. Hii...
06Sep 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Lakini pia kipindi hiki ni mahususi kwa wapigakura kutumia sanduku la kura kuwazawadia wanasiasa waliofanya vizuri na kuwaadhibu walioshindwa kutekeleza ahadi zao kutokana na kuchaguliwa kwao....
06Sep 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
*Mtaalamu wa MOI atoa angalizo, *Afichua wachuaji wengi hawana...
Massage kwa sasa ni moja ya huduma ambazo zimeshamiri maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam, hususan kwenye saluni za wanaume na wanawake.Hata hivyo, uchunguzi wa Nipashe jijini uliohusisha...
06Sep 2020
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hizo kwenye viwanja vya EPZ vilivyoko Kata ya Makuburi, Profesa Mkumbo alisema ameandaa mipango ya kuboresha hali ya watu wa Ubungo kwa kuzingatia mahitaji...
06Sep 2020
Adam Fungamwango
Nipashe Jumapili
Ilikuwa Novemba 18, mwaka 1965, mwanamuziki huyo alipopoteza uhai tayari alishautwaa umaarufu mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki. Ni kifo cha ajali ya lori la mchanga alikokuwa akiliendesha...
27Dec 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Frank Mwaisumbe. 
Alisema serikali imekuwa ikikosa mapato ya Sh. bilioni nne hadi tano kwa kipindi cha miaka mingi kutokana na mifugo...
23Nov 2019
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Magufuli alilisema hayo jana alipokuwa akizungumza na wananchi baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye mradi wa ujenzi wa kituo cha mabasi, soko la kisasa, ujenzi wa nyumba za askari wa kikosi cha...

Namungo FC

08Jun 2019
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Tayari Namungo FC imefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kumpa mkataba wa mwaka mmoja.Taarifa kutoka jijini Dar es Salaam zinaeleza kuwa tayari Namungo na Kabwili...
19May 2019
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
kwa kushindwa kuwajibika kikamilifu katika kutekeleza wajibu wao wa msingi. Hivyo, amewataka waendelee na majukumu yao ya kitaaluma kwa mujibu wa ajira zao badala ya majukumu ya uongozi hadi hapo...

Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba.

28Apr 2019
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, aliwaeleza waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuwa, wameteua wanachama ambao miongoni mwao ni wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa na Wajumbe wa Baraza...

Pages