NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

23Nov 2020
Lulu George
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,  Blasius Chatanda, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema ilitokea juzi majira ya saa 5:00 usiku na kuhusisha gari lenye namba za usajili  T988 na tela lenye...
23Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ndoa hiyo kati yake na mumewe Duwa Msafiri imefungwa kisiri Novemba 20, mwaka huu nyumbani kwao Mlanzidi mkoa wa Pwani. Akizungumza na EATV , Asha Boko amesema hakutaka ndoa yake ijulikane kwa sababu...
23Nov 2020
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Katika semina maalum kwa wahariri juu ya Ushiriki wa Vyombo vya Habari Kuhusu Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika Bonde la Ziwa Victoria iliyofanyika jijini Mwanza juzi, uongozi wa Bodi ya Maji...
23Nov 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Kagere na Miquissone walikosa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi Coastal Union uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini, Arusha baada ya kuchelewa kurejea nchini.Kocha Mkuu wa...
23Nov 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Charles Msonde, alisema jana wakati akitangaza matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari kuwa udanganyifu huo umefanywa na walimu wakuu wa shule 38, hivyo kusababisha...

Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa.

23Nov 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Kocha huyo wa zamani wa Yanga amesema malengo yao ni kuona wanamaliza msimu huu kwenye nafasi tano za juu.Akizungumza na gazeti hili jijini Dar es Salaam jana, Mkwasa alisema wamefanya maandalizi ya...

Kocha Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze.

23Nov 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Yanga itashuka dimbani ikiwa na kumbukumbu ya kushinda mechi saba, sare tatu na ndio timu pekee haijapoteza mchezo wakati Namungo imeshinda michezo minne, sare mara mbili na kufungwa mara nne.Kaze...

Mshambuliaji wa Simba, John Bocco (katikati), akijiandaa kuwatoka wachezaji wa Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini, Arusha jana. Simba ilishinda mabao 7-0. PICHA: MTANDAO

23Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Bocco apiga 'hat-trick' wakati Mnyama akiisulubu Coastal Union mabao 7-0, Azam hoi...
Baada ya mechi ya jana, Simba itaendelea na maandalizi ya kuwafuata Plateau FC ya Nigeria kwa ajili ya mechi ya kwanza ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa mwishoni mwa wiki.Kwa...
08Nov 2020
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
*Kila siku wanahesabu 'misiba' *CAG afukua ushuhuda mpya *TANAPA: Mazito matatu yaja
Serikali kupitia chombo chake, Wizara ya Maliasili na Utalii, inalalamika kwamba katika kila saa 24, ajali hizo zinasababisha kifo siyo chini ya mnyama mmoja kwenye Hifadhi ya Taifa Mikumi (MINAPA)...
08Nov 2020
Rahma Suleiman
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari visiwani hapa jana, Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Raya Mselem, alisema uchaguzi wa spika wa baraza hilo utafayika leo.Alisema waliochukua fomu ya kugombea nafasi...
08Nov 2020
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wakizungumza jana katika kongamano la kumshukuru Mungu baada ya uchaguzi lililobebwa na kaulimbiu ya ‘Amani yetu, Maendeleo Yetu’, viongozi hao walisema walioshindwa wakihitaji ushauri...
08Nov 2020
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Akizungumza jana na waandishi wa habari jijini hapa, Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai, alisema kikao hicho kimeitishwa baada ya Tangazo la Rais lililotolewa Novemba 5 mwaka huu kwenye Gazeti la...
08Nov 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Badala yake wanakalia zaidi kusikiliza muziki wa kizazi kipya, wanakalia kuangalia bongomuvi, wanashindana mavazi na kurushana kwenye mitandao ya kijamii, bila kujua kuwapo kwa historia ya jamii zao....
08Nov 2020
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Uyakubali hata uyakatae, waliodhani nilikuwa nakipendelea chama tawala hawana la kusema bali kushangaa ilikuwaje japo ilikuwa rahisi kutabiri kipigo kilichotokea. Hata kama hupendi kitu, kusema...
01Nov 2020
Nipashe Jumapili
"... kwa niaba ya viongozi wengine wa upinzani, sisi sote tuko tayari kushirikiana na Rais Dk. John Magufuli" Queen Cuthbert Sendiga (ADC)
Angalau viongozi 9 wa kambi ya upinzani ambao pia walikuwa wakigombea ofisi ya mtendaji wametoa taarifa ya pamoja kukubali Dk John Magufuli kama mshindi halali wa Uchaguzi Mkuu wa 2020.Akihutubia...
01Nov 2020
Saada Akida
Nipashe Jumapili
Vivier aliliambia gazeti hili washambuliaji wake hawakuwa makini katika kutumia vyema nafasi walizozipata katika mchezo huo wa raundi ya tisa.Kocha huyo alisema timu yao ilicheza vizuri na kuwazidi...
01Nov 2020
Steven William
Nipashe Jumapili
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Muheza, Nasibu Mbaga, alimtangaza Mwana FA kuwa ndiye mshindi wa ubunge kwa kupata kura 47,578 na kumwacha mpinzani wake Yosepher Komba wa Chama cha Demokrasia na...
01Nov 2020
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Jafo alitoa agizo hilo juzi wakati akiweka jiwe la msingi katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi cha City, Tawi la Chanika.Alitoa agizo hilo baada ya kupokea maelezo ya vikwazo vinavyowakabili...
01Nov 2020
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Lakini kwa kifupi inanifurahisha, kwa sababu ni michezo ya ushindani inayohusisha timu mbili au watu wawili wanaochuana, chini ya mwamuzi au waamuzi.Kwa kweli kuangalia soka na kuangalia masumbwi...
01Nov 2020
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakati kiongozi huyo wa dini akitoa kauli hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo, amevitaka vyombo vya doka kuwadhibiti wanasiasa na wafuasi wanaochochea vurugu na maandamano kwa madai ya...

Pages