NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

04Dec 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Ndiyo maana huwekeza kwenye malezi bora, lishe , tiba na elimu ili watimize ndoto zao. Pamoja na jitihada hizo hatua za wazazi kutimiza ndoto hizo za watoto wao, tafiti zinaonyesha matumizi ya...
04Dec 2016
Stephen Chidiye
Nipashe Jumapili
Alisema kutokana na baadhi ya wanafunzi wa kike kuvutiwa na vishawishi vya wanaume, mwaka huu pekee zaidi ya mabinti 20 wame kwishaachishwa masomo kutokana na ujauzito. Homera ameongeza kuwa jambo...
04Dec 2016
Owden Kyambile
Nipashe Jumapili
Nia yao serikali iwatambue walipo na kuwapa huduma muhimu. Mashujaa wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia wapo katika kila mkoa, na baadhi ya mikoa kama Iringa wameweka kumbukumbu za majina ya waliopoteza...
04Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mapema Septemba mwaka huu Mamlaka ya Hali ya Hewa, ilitoa taarifa kuwa sehemu kubwa ya nchi itapata mvua haba wakati wa kipindi hiki cha kilimo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi...

Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, John Ulanga.

04Dec 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Ushauri huo ulitolewa jana jijini Dar es Salaam na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, John Ulanga, katika mahafali ya 14 ya chuo hicho. Alisema serikali...

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango.

04Dec 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Akizungumza mjini hapa jana katika mahafali ya 33 ya Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini (IRDP), Dk. Mipango, alisema taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), inaonyesha watu 100...

RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka.

04Dec 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mtaka ambaye alifanikiwa kutetea cheo hicho kwenye uchaguzi uliofanyika wiki iliyopita kwa kupata kura 73 kati ya 74, amesema baada ya kipindi cha miaka minne kupita kama hawatakuwa wamefanikisha...
04Dec 2016
John Ngunge
Nipashe Jumapili
Akizindua kiwanda cha Lodhia Plastics kinachotengeneza mabomba ya maji ya ukubwa mbalimbali Njiro jijini Arusha jana, , alisema ni muhimu kwa halmashauri kununua mabomba hayo kwa matumizi ya miradi...

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Profesa Godius Kahyarara.

27Nov 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
*Taasisi za umma zayakimbia, hatarini kupigwa mnada na mabenki
Hatua ya taasisi hizo za umma kuhama kwenye majengo ya watu binafsi au kukata ukuba wa eneo la ofisi zilimopanga, inatokana na maelekezo ya serikali ya kubana matumizi ili kupunguza gharama za...
27Nov 2016
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Kwa miaka yote, marais waliopita walikuwa wakisafiri kwenda Monduli mkoani Arusha kuwatunuku nishani maofisa wanaomaliza mafunzo yao, lakini jana Rais Magufuli alitunuku kamisheni kwa kundi la 59 la...
27Nov 2016
Paul Mabeja
Nipashe Jumapili
Agizo hilo lilitolewa juzi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), George Simbachawene, baada ya kukiri kutishwa na kukithiri kwa malalamiko ya rushwa ya ngono katika chuo hicho. Simbachawene...

Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola.

27Nov 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Ni siku chache tangu uteuzi wa DCI utenguliwe
Mabadiliko hayo yanafanyika ikiwa ni takribani mwezi mmoja tangu Rais John Magufuli alipomwondoa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Diwani Athumani na kumteua kuwa Katibu Tawala wa...
27Nov 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Ofisa Habari wa manispaa hiyo, Albano Midelo, alisema watu hao wameambukizwa VVU katika kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2016 na kwamba kati ya walio ambukizwa, wanaume ni 164 na wanawake 262...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub, aliwasilisha hoja binafsi ya dharura na kutaka baraza hilo kusitisha shughuli zake kutoa nafasi ya kujadiliwa hoja yake. Katika maelezo yake alisema...
27Nov 2016
Mhariri
Nipashe Jumapili
Tangu kuzinduliwa kwa taasisi hiyo,mabilioni ya fedha ambayo yangetumiwa na serikali kupeleka wagonjwa wa moyo kufanyiwa operesheni nje ya nchi, na hasa India na Afrika Kusini, yameokolewa. Mbali...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Naif Ltd, Khadija Alyafei, alisema hayo jijini Dar es Salaam juzi wakati akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu Tanzania katika nchi hizo. Khadija ameteuliwa...
27Nov 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Katika mahojiano na Nipashe jana, Omog alisema ameamua kuongoza mchakato huo kwa sababu nafasi hiyo ni muhimu kwenye timu na anaamini nyanda ambaye atampata ataisaidia Simba kutimiza malengo yake ya...
27Nov 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Nyongo ya ng’ombe licha ya kuzagaa na kutupwa kwenye machinjio mengi ya mifugo ni dawa. Ndiyo inayohusika kutengeneza vitendanisha (reagensts) vya kuchunguza uwapo wa wadudu wanaosababisha magonjwa...
27Nov 2016
Idda Mushi
Nipashe Jumapili
Dereva huyo wa basi lililokuwa likitoka Bukoba kwenda Dar es Salaam, alibainika kutumia kilevi katika operesheni iliyofanywa juzi kwa ushirikiano kati ya Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa...
27Nov 2016
Gideon Mwakanosya
Nipashe Jumapili
Ofisa Habari wa Manispaa hiyo, Albano Midello, alisema juzi kuwa katika kuhakikisha udhibiti wa vyakula na dawa unakuwa endelevu, Idara ya Afya wiki hii imekamata vyakula vyenye thamani ya Sh.300,...

Pages