NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

24Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Zebaki ilivyobeba sumu kuanzia ujauzito, mtoto hadi mazingira *Inaposambaa inafika kila kona *Inadhuru ngozi, figo na macho
Toleo hili linaangazia mustakabali mpana kwenye afya ya mtu, kuanzia ujauzito, mtoto mchanga hadi mazingira, pia miongozo ya kisera na kisheria ikiakisi madhara hayo. Fuatilia kwa hatua…...
24Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Ndugai ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kongwa ametoa wito huo Jumamosi Oktoba 23 2021 wakati alipotembelea Banda la Asasi ya Vijana - Africa Youth Transformation Tanzania wakati wa Maonyesho ya Wiki...
24Oct 2021
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Kati ya fedha hizo, wizara hiyo imepata Sh. bilioni 64.9 ambazo zitaelekezwa kwenye maeneo makuu matatu huku akibainisha kuwa wanafunzi wenye Uhitaji maalum vyuo vikuu watanunuliwa bajaj, vishikwambi...
24Oct 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Nipashe ilipomtafuta kwa njia ya simu jana, Mkuu wa Gereza Kuu Ukonga jijini Dar es Salaam, Hamis Lissu, kuhusiana na madai hayo, aliahidi kufuatilia taarifa hizo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa...
24Oct 2021
Julieth Mkireri
Nipashe Jumapili
Alitoa rai hiyo jana alipohutubia kwenye maadhimisho ya kilele cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yaliyofanyika Ikwiriri wilayani Rufiji mkoani Pwani jana.Alisema lipo ongezeko la vitendo...
24Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wakati bado taarifa ya timu ya uchunguzi wa mradi wa huo haijatoka, viongozi mbalimbali waliotafutwa na Nipashe Jumapili kuzungumzia suala hilo kuanzia ngazi ya wilaya hadi taifa, hawajatoa...
17Oct 2021
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Hasan Juma ambaye ni mmoja wa washiriki wa demina za Maendeleo ya Jamii( GDSS) ambazo ufanyika kila jumatano Jijini Dar es Salaam na kuratibiwa na TGNP Mtandao.Juma ambaye...
17Oct 2021
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Hasan Juma ambaye ni mmoja wa washiriki wa demina za Maendeleo ya Jamii( GDSS) ambazo ufanyika kila jumatano Jijini Dar es Salaam na kuratibiwa na TGNP Mtandao.Juma ambaye...
17Oct 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Hayo yamesemwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt.Ashatu Kijaji,wakati wa ziara ya kuona utekelezaji wa zoezi zima la anuani za makazi na post code jijini  Mwanza...

Hatua ya kazi ya udongo wenye dhahabu kupata bidhaa halisi. PICHA ZOTE: MPIGAPICHA WETU

17Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Serikali yaumiza kichwa, wao hawana habari Udadisi wabaini mbinu kali kuichenga dola  
Huko huko utawashangaa namna wanavyochezea kemikali hatari zebaki, jibu kuu ni masikitiko kuona namna kifo kinavyochezewa mkononi.Serikali nayo imeliona na inahangaika kupambana nayo kwa hatua na...
17Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kiwanda hicho kilichozinduliwa na Rais Samia Suluhu wilayani Tarime wakati huo akiwa ni Makamu wa Rais.Imeelezwa kuwa licha ya mkoa wa Mara kuwa na shule nyingi za msingi na Sekondari na vyuo lakini...
17Oct 2021
Gwamaka Alipipi
Nipashe Jumapili
Akizungumza baada ya ziara yake ya kutembelea viwanda vya uzalishaji wa transfoma, nyaya na vifaa vya umeme vinavyomilikiwa na kampuni hiyo Waziri Mkumbo alisema haoni haja ya kuagiza vifaa vya umeme...
17Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hifadhi ya Taifa ya Serengeti iliyoko mkoani Mara, ilisogeza mipaka ya eneo lake la kinga kwa zaidi ya mita mia tano katika maeneo ya vijiji katika mbuga kwa wilaya za Serengeti na Tarime na...
17Oct 2021
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Pinda alitoa rai hiyo jana alipoongoza upandaji miti katika Shule ya Sekondari Nala jijini hapa ulioratibiwa na Taasisi ya Habari Development.Alisema uwapo wa miti utasaidia kuimarisha mazingira ya...
17Oct 2021
Mary Geofrey
Nipashe Jumapili
Alisema takwimu zinaonyesha kuna mafanikio katika kuelekea usawa wa 50 kwa 50, akibainisha kuwa kati ya wanafunzi 4,121 waliohitimu elimu ya juu chuoni huko mwaka huu wa masomo, wanaume ni 2,201 na...
17Oct 2021
Mary Mosha
Nipashe Jumapili
Kiongozi huyo wa kiroho alitoa kauli hiyo jana wakati wa ibada ya shukrani iliyofanyika mjini Moshi mkoani Kilimanjaro jana kuadhimisha Jubilei ya Miaka 50 ya Hospitali ya Rufani ya Kanda ya KCMC,...
17Oct 2021
Abdallah Khamis
Nipashe Jumapili
Kaimu Rais wa CWT, Mwalimu Dinnah Masamani, amesema wanaona kuna haja ya kuendelea na kikokotoo cha sasa hata baada ya muda wa mpito uliotolewa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dk. John Magufuli...

Zaiko kanjobe Meneja wa CRDB tawi la Mtwara.

10Oct 2021
Abdallah Khamis
Nipashe Jumapili
Akizungumza na Nipashe mkoani humo, Rwechungura amesema uzoefu unaonyesha kuwa wanawake wengi wanashindwa kufikia malengo kutokana na kuwa wasimamizi wakuu wa familia zao hasa pale zinazojitokeza...

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro.

10Oct 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yamethibitishwa na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Jumanne Muliro, ambapo amesema tukio hilo limetokea Oktoba 08, 2021 majira ya saa 1:30 usiku katika eneo la Usalama Chang’ombe...
10Oct 2021
Halima Ikunji
Nipashe Jumapili
Akitoa msaada huo Meneja wa Tawi la Benki hiyo mkoani hapa Timony Joseph, amesema benki hiyo imeamua kutoa msaada wa mifuko 100 ya saruji katika shule na kanisa ikiwa ni moja ya kuunga mkono juhudi...

Pages