NDANI YA NIPASHE LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni, akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana juu ya uzinduzi wa mkakati wa Baraza wa kukabiliana na ajali za barabarani nchini. Kulia ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Kamanda Mohammed Mpinga.

05Aug 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Yusufu Masauni, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati wa Baraza la Kukabiliana na ajali za Barabarani, alitangaza msimamo huo jana jijini Dar es Salaam....

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Godbless Lema.

05Aug 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya wenzake, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Godbless Lema, alisema kama chama hawatamjaribu Rais Magufuli kama alivyoonya, bali wanamwarifu kuwa watafanya maandamano siku hiyo...
05Aug 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Madai mengine ni kwamba, hata taasisi za kifedha hushindwa kuwapatia mikopo kwa madai kuwa hawana dhamana, kwa kuwa mashamba yao hayajathaminishwa. Ili kuhakikisha wakulima wanakopesheka,...
05Aug 2016
Marco Maduhu
Nipashe
Zao hilo la pamba lililobatizwa jina la ‘dhahabu nyeupe’ kutokana na kuchukuliwa kuwa ni uti wa mgongo wa maendeleo katika maisha yao. Wanapouza kama malighafi baada ya mavuno hupata fedha ambazo...
05Aug 2016
Denis Maringo
Nipashe
Swali hili muhimu hapo juu, pamoja na jibu lake kama nilivyolinukuu yamo katika makala ya kitaluma ya kisheria iliyoonyeshwa hapo juu iliyoandikwa na hayati Prof. Mukoyogo aliyekuwa mhadhiri wa...

waziri bwa viwanda, biashara na uwekezaji, charles mwijage.

05Aug 2016
Masyenene Damian
Nipashe
Mgomo huo ulioanza juzi saa 1:00 asubuhi na kudumu kwa saa tisa ulidumu kwa saa tisa, huku Jeshi la polisi likiongozwa na Mkuu wa kituo cha polisi Nyakato, CP Armachius Muchunguzi, likiwataka...

Mtalamu wa Vikonyo vya kahawa akimwelekeza Mkuu wa Mkoa wa ruvuma Dkt. Binilith Mahenge.picha maktaba.

05Aug 2016
Lilian Lugakingira
Nipashe
Akizungumza katika maonyesho ya kilimo (Nanenane) mkulima mwezeshaji wa zao hilo kutoka kijiji cha Rwigembe kata Ngenge wilayani Muleba, Francis Kamuzola, alisema matumizi ya miche hiyo yatasaidia...
05Aug 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Akizungumza na Nipashe visiwani hapa, Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Bakari Mshibe, alisema sheria hiyo ni ya muda mrefu kabla ya mwaka 1964 na Wazanzibari wengi hawaitaki kwa madai kuwa hawataki...
05Aug 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Lishe ya Watoto wachanga na wadogo kutoka taasisi ya Chakula la Lishe Tanzania(TFNC), Neema Joshua, alisema pamoja na kiwango cha...

Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe.

05Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Hayo yalisemwa na Waziri wa Sheria na Katiba, Dk. Harrison Mwakyembe, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mwanamke wa Afrika na uzinduzi wa Ripoti ya Haki ya Mwanamke, hafla iliyofanyika jijini Dar es...

MKUU wa Chuo cha Kodi (ITA), Prof. Isaya Jairo.

05Aug 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari juzi baada ya kufungua mafunzo ya maofisa wakaguzi kutoka ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Jairo alisema mbali na kuongeza...
05Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Wahudumu hao wamedai kuwa uongozi wa mabasi hayo uliahidi kuwalipa kabla ya kuanza kutoa huduma. Wahudumu hao ni wale wanaojishughulisha na kazi ya kuwaelekeza abiria matumizi ya kadi pamoja na...
05Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Vifaa hivyo vimetolewa ikiwa ni ishara ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi hiyo kwa kuanza na mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Yanga na Azam FC, Agosti 17. Akizungumza jana katika hafla fupi ya...

Laudit Mavugo.

05Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana mchana, kiongozi mmoja wa Simba alisema kuwa straika huyo wa Timu ya Taifa ya Burundi amesaini mkataba baada ya kupewa kiasi kingine cha Dola za Marekani 15,000.Mwaka...

Happiness John.

05Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Elitruda Malley, mama wa mtoto huyo, ambaye ni mtoto wake wa tatu kuzaliwa kati ya wanne, aliiambia Nipashe jana asubuhi kuwa alisafiri kwa basi na kufika bila kupata tatizo lolote njiani. “...

timu ya Toto African.picha na maktaba

05Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Msemaji wa klabu hiyo, Cuthbert Japhet aliiambia Nipashe jana kuwa baada ya kucheza michezo miwili ya kirafiki, kocha ameona umuhimu wa kuongeza wachezaji wawili na kupunguza wengine wawili ambao...
05Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Kati ya vyuo hivyo vingine vilibainika kuwa havina walimu wenye sifa, mazingira mabaya ya kujiendeshea, ukosefu wa nyenzo huku vingine vikibainika kwamba mchana vimekuwa vikiendesha shughuli za chuo...

Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata.

05Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hili ni agizo la pili la kutolewa baada ya la awali kutolewa mwishoni mwa Julai, mwaka huu. Waraka wa awali uliotolewa Julai 25, mwaka huu na Kamishna Mkuu wa TRA, Alphayo Kidata, uliowaagiza...

viongozi wakuu wa chadema wakiwa kituo kikuu cha polisi Dar es salaam jana.

05Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wakati Lissu akisafirishwa kuja kujibu tuhuma za kauli za uchochezi, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Thobias Sedoyeka, amesema Mbunge huyo wa Singida Mashariki, anasubiriwa pia mkoani humo kujibu...
05Aug 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Waliokamatwa ni pamoja na Rais wa klabu hiyo Evans Aveva. Tamasha hilo la kila mwaka maarufu kama ‘Simba Day’, ambalo huambatana na shamrashamra mbalimbali, ikiwamo mechi ya soka, hufanyika kwenye...

Pages