NDANI YA NIPASHE LEO

13Apr 2017
Sabato Kasika
Nipashe
UNICEF ikasema kuwa maambukizi mapya ya VVU miongoni mwa vijana yanakadiriwa kuongezeka kutoka 250,000 mwaka 2015, hadi kufikia 400,000 ifikapo mwaka 2030. Na ikapendekeza mikakati ya kuongeza...
13Apr 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana, baadhi ya madereva wa teksi walisema mapato yao yameshuka kutoka Sh. 200,000 mpaka 110,000 kwa mwezi kutokana na wananchi kutumia bodaboda. Mohamed Suleimani...

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.

13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza jana mjini hapa, Mwigulu alisema wabunge wako bungeni kwa ajili ya shughuli za kitaifa na kuwakilisha wananchi wao. Alisema kitendo cha kumsafirisha mbunge kutoka Dodoma hadi Dar es...
13Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tangu kuanza kwa Bunge la Bajeti Aprili 4 wabunge wamekuwa wakiwasilisha hoja nzito zikiwamo za kuwapo kwa kikundi kinachoendesha utekaji wa watu, madai ambayo yamekuwa yakiibua mijadala mikali...

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Aeshi Hilaly.

12Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Aeshi ambaye pia ni Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM), aliyasema hayo bungeni mjini hapa jana wakati akichangia mjadala wa utekelezaji wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka huu wa fedha na...

Zitto Kabwe (ACT-Wazalendo).

12Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Adai ana ushahidi walivyomteka Ben Saanane, kumtolea bastola Nape , *Bashe awageukia mawaziri akitaka waseme kweli kwa sababu hata yeye alishakamatwa na Usalama wa Taifa, akanyanyaswa, *Nkamia amshukia Mwakyembe sakata la utekaji Roma Mkatoliki , *Ridhiwani amtaka Mwigulu kutoa tamko kuhusu matukio hayo , *Wabunge wa CCM waitana kujadili hali ya mambo
Akifafanua kuhusu madai yake wakati akichangia bungeni mjini Dodoma jana, Zitto alisema ni Usalama wa Taifa ndio wanaohusika katika kupotea kwa Ben Saanane, msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...

Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma.

12Apr 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Kaimu Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma, alisema hayo baada ya mkutano wa majaji wa Mahakama ya Rufani, uliofanyika jijini hapa mwishoni mwa wiki. Alitaja changamoto inayosababisha mrundikano huo ni...
12Apr 2017
John Ngunge
Nipashe
Alitoa agizo hilo kwenye kijiji hicho baada ya baadhi ya wananchi kumlalamikia mzee wa kimila Joseph Daniel, kuagiza marehemu huyo asizikwe mpaka apigwe faini ya ng’ombe mmoja. Inadaiwa Boay Gadii...
12Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza katika kikao maalumu cha wadau wa maendeleo mbalimbali ya mkoa huo, Mkuu wa wilaya ya Tarime, Glorious Luoga, alisema uongozi wa wilaya hiyo umebaini uwapo wa bonde la mto huo, ni...
12Apr 2017
Renatha Msungu
Nipashe
Kamati hiyo imeundwa na serikali ya kijiji cha Mayamaya kwa kushirikiana na kata ya Zanka kwa lengo la kuchunguza migogoro ya ardhi katika maeneo ya Nzela, Mzigo, Mbuga na Halo ambayo wakulima na...
12Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Kiwanda hicho kitajengwa katika eneo la Chinangali II, kata ya Buigiri, wilayani humo. Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa GEPF, Joyce Shaidi, akizungumza baada ya kusaini mkataba huo juzi...

Kilimanjaro Queens.

12Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
Vifaa hivyo vilivyotolewa jana ni pamoja na viatu vya mpira jozi 20 na soksi jozi 40. Akizungumza jana baada ya kukabidhiwa vifaa hivyo kwa niaba ya timu ya Kilimanjaro Queens, Mwenyekiti wa Chama...

KIUNGO wa Simba, Mzamiru Yassin.

12Apr 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mzamiru alichangia kwa kiasi kikubwa kuipa Simba ushindi baada ya kufunga bao la tatu kwenye ushindi wa mabao 3-2 walioupata dhidi ya Mbao FC. Kiungo huyo alisema nguvu waliyoitumia kwenye mchezo...

Jamhuri Kiwelo 'Julio' .

12Apr 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili juzi muda mfupi baada ya kumalizika kwa mchezo wa Ligi Kuu kati ya Mbao FC dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, Julio alisema wachezaji wa Simba...
12Apr 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Lwandamina apiga 'ramli' ya bao la mapema Algeria, ahofia dakika 15 za...
Akizungumza na Nipashe kabla ya kuanza mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jana, Mzambia Lwandamina alisema anawafahamu vizuri Waarabu na katika mchezo huo wa marudiano...
12Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, William Ole Nasha, alisema hayo jana bungeni mjini hapa, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Urambo(CCM) Magreth Sitta. Sitta alihoji serikali ina mpango...

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Hussein Mwinyi.

12Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Dk. Mwinyi alitoa kauli hiyo jana bungeni alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Malindi (CUF), Ally Saleh Ally. Mbunge huyo alihoji Tanzania imekuwa ikipeleka vikosi vya kulinda amani ndani ya...
12Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Akiuliza swali la nyongeza jana bungeni, Chikota alisema katika ziara yake, Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imekuta madudu kwa baadhi ya miradi kwa kuwa pamoja na kwamba...

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage.

12Apr 2017
Augusta Njoji
Nipashe
Aidha, serikali imekiri kushamiri kwa biashara ya vyuma chakavu nchini hali inayosababisha kuwapo na uharibifu wa miundombinu inayojengwa kwa vyuma. Hayo yalibainishwa jana bungeni na Waziri wa...
12Apr 2017
Jumbe Ismaily
Nipashe
Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Elimajidi Kweyamba, alidai juzi kuwa katika Novemba 12, mwaka jana saa tatu usiku, katika Kata ya Nkinga, mshtakiwa alimjeruhi kwa kumchoma jicho la kushoto mwalimu...

Pages