NDANI YA NIPASHE LEO

KOCHA wa zamani wa Simba raia wa Croatia Zdravko Logarusic.

11Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Logarusic, kwa siku za karibuni alikuwa akiwaniwa na mabingwa wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC ambao wamemtimua kocha wao Zeben Hernandez. Taarifa iliyochapishwa kwenye mtandao wa klabu hiyo...
11Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Winga wa zamani wa Mtibwa Sugar, Uhuru Selemani, anayecheza soka la kulipwa nchini Afrika Kusini katika klabu ya Royal Eagles, ametaja kikosi chake bora cha muda wote cha Mtibwa akimjumuisha winga wa...
11Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kauli hiyo ya Infantino imekuja baada ya mpango wake wa kuongeza timu hadi kufikia 48 kutoka 32 za awali, kupitishwa jana. Ukanda wa Ulaya (Uefa), ambao umekuwa ukipeleka timu 13 sasa zitaongezwa...
11Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Kauli hiyo inaelekea kutimia baada jana jioni kutinga fainali kwa mara ya tatu katika michuano hiyo kufuatia kuifunga Taifa Jang’ombe bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliochezwa Uwanja wa Amaan...
11Jan 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Aidha, baba mdogo wa watoto hao watano, aliyejitambulisha kwa jina moja la Ambialo, mkazi wa Pemba, alizinduka akiwa kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga, Bombo, saa chache baada kufikishwa...
11Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Shibuda amechua nafasi hiyo huku kukiwa na tuhuma kutoka baadhi ya vyama vya upinzani kwamba ni pandikizi na kwamba alitoswa kwa makusudi na CCM ili ahamie upinzani kwa lengo la kuusambaratisha....
11Jan 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Kuondoka kwake madarakani si kwa heri, kunatokana na kushindwa kwa jaribio hilo la kutaka kusalia madarakani kwa muhula wa tatu. Kabila ambaye mwaka huu anatimiza miaka (46), alijipanga vilivyo...
11Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Amesema hali hiyo inaweza kuwanyima ushindi wagombea wa vyama hivyo dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Vyama vilivyomo ndani ya Ukawa vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi huo ni Chadema, CUF...
11Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Wanafunzi hao ni kati ya 26,984 waliofaulu mitihani yao ya darasa la saba mwaka 2016 na kuchaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa elimu mkoa wa...
11Jan 2017
Ashton Balaigwa
Nipashe
Hofu hiyo ya wafugaji hao kukamatwa katika mnada huo inatokana na wiki iliyopita wenzao katika mnada wa Dumila kukamatwa na kushikiliwa na polisi wakihusishwa na matukio ya kujeruhi kwa sime na...
11Jan 2017
Christina Haule
Nipashe
Akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa kodi na uongozi wa TRA mjini hapa juzi, Naibu Kamishna Mkuu TRA makao makuu, Charles Kichere, alisema mkoa wa Morogoro umekuwa wa pili kati ya mikoa ya kikodi...
11Jan 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mwili huo ulifanyiwa uchunguzi juzi, baada ya taratibu za kibalozi kukamilika kwa ajili ya kuusafirisha kutoka Hospitali ya Rufani ya KCMC kwenda kuzikwa nchini Norway. Jana, Kamanda wa Polisi...
11Jan 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Akizungumza kwa niaba ya wenzake jana, mkulima Daudi Chitila, alisema wanaomba eneo lao kupimwa ili kuondoa migogoro ya mara kwa mara kati yao na wafugaji. Chitila alisema migogoro hiyo imekuwa...
11Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Amesema wazo la kuundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa lilianza tangu ulipofanyika uchaguzi mkuu wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Balozi Sif alisema hayo juzi wakati akiwahutubia vijana 400...
11Jan 2017
Ahmed Makongo
Nipashe
Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi Mihingo wilayani humu, kwa sasa anajisaidia haja ndogo kwa shida huku akipata maumivu makali. Mtuhumiwa huyo anashtakiwa...
11Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Kwa kawaida, katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania, hupata mvua vipindi viwili kwa msimu mmoja yaani mvua za vuli na mvua za masika huku maeneo mengine yakipata mvua kwa kipindi kimoja kwa msimu...
11Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Walifanya hivyo kwa sababu siasa siyo uadui bali ni kushindanisha hoja mbele ya wananchi ili hatimaye waamue ni chama kipi wanaweza kujiunga nacho ama wabaki bila chama au wahame kutoka kimoja kwenda...
10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza na Nipashe jana, Dk.Silas alisema uamuzi wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu utasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha...
10Jan 2017
John Ngunge
Nipashe
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, aliyasema hayo jana alipotembelea Ofisi za Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Kaskazini kwa lengo la kujionea hali ya usalama wa chakula....
10Jan 2017
Mohab Dominick
Nipashe
Kadhalika, watuhumiwa hao wanadaiwa kukutwa na kete tano za bangi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Murilo Jumanne Murilo, aliliambia Nipashe jana kuwa watuhumiwa hao walikamatwa Januari 7,...

Pages