NDANI YA NIPASHE LEO

20May 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Lakini miongoni mwao na kwa namba kubwa, kuna wale wenye desturi ya kuwa na madeni, kiasi cha kushindwa kufanya shughuli za kimaendeleo. Kuna madeni ya aina mbili, yaliyo mazuri na mabaya vilevile...

mawakili.

20May 2016
Denis Maringo
Nipashe
Wajibu wa mawakili kufungua na kuendesha akaunti maalum kwa wateja wake zimeanishwa chini ya moja ya Kanuni zilizotungwa chini ya Sheria ya Mawakili (Sura ya 341, Kama ilivyohakikiwa mwaka 2002...

sukari

20May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa bungeni mjini hapa jana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alipokuwa akijibu swali la Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe. Mbowe ambaye pia ni Mbunge wa...
20May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Ujenzi huo uzingatie msongamano wa magari na watu ili kuhakikisha kuwa, unatatua matatizo ya usafiri wa wahusika . Kwa mfano, ukichukulia Jiji la Dar es Salaam ambalo lina watu wapatao milioni...

kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe

20May 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Wabunge hao walizua mjadala mzito bungeni baina yao na Waziri juzi usiku, baada ya Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Hai (Chadema), kuhoji uhalali wa uendeshaji wa Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa...

Kaimu Mrajis wa vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dk. Audax Rutabanzibwa, akiwaeleza waandishi wa habari, kusudio la kufuta vyama vya ushirika 1,862.

20May 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Kaimu Mrajisi wa vyama vya Ushirika na Mtendaji Mkuu wa Tume ya Maendeleo ya Ushirika, Dk. Audax Rutabanzibwa, alisema jijini Dar es Salaam jana kuwa wanakusudia kuvifuta katika daftari la vyama...

Aliyewahi kuwa Mkunge wa Kinondoni (CCM) Iddi Azzan akiwasili katika Mahakama ya Halimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana,kwaajili ya kusikiliza kesi aliyofungua mahakamani hapo ya kupinga matokezo ya ubunge wa Kinondoni.PICHA: MICHAEL MATEMANGA

20May 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hatua hiyo imetokana na mlalamikaji ambaye alikuwa mgombea wa CCM, Iddi Azzan, kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo kwa maslahi ya wananchi wa jimbo hilo. Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji...

Makamu wa Rais wa kampuni hiyo, Simon Shayo.

20May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Makamu wa Rais wa kampuni hiyo, Simon Shayo, aliyasema hayo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi. Shayo alisema kampuni hiyo imetoa fedha hizo ili ziisaidie Tume...
20May 2016
Mhariri
Nipashe
Imeelezwa kuwa watu hao waliuawa kwa kukatwa katwa mapanga na kundi la watu zaidi ya 15. Waliouawa katika tukio hilo ni Ferouz Elias, Imamu wa msikiti huo, Mbwana Rajab na Khamis Mponda ambaye ni...

Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa

20May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Mkataba wa Azam Media wa miaka mitatu unamalizika mwaka huu na tayari Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa amesema wameanza mchakato kwa ajili ya kupata kituo cha kuonyesha ligi hiyo msimu ujao...
20May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza moja kwa moja kutoka Angola na kituo kimoja cha redio hapa nchini jana asubuhi, Msuva alisema wametumia nguvu nyingi kutinga hatua ya makundi dhidi ya wapinzani wao hao. "Mchezo...

Mbio za magari Bagamoyo

20May 2016
Renatha Msungu
Nipashe
Mratibu wa mashindano hayo ya siku mbili, Hidaya Kamanga alisema kuwa uzinduzi utafanyika leo jijini Dar es Salaam na baadaye Bagamoyo. "Tuko katika hatua za mwisho za kupanga zawadi kwa washindi...

kikosi cha yanga.

20May 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
***Yaandika barua Caf kumchongea mwamuzi aliyechezesha mechi dhidi ya Sagrada Esperanca, ambayo wenyeji walishinda...
Yanga inamtuhumu mwamuzi huyo, Hamada el Moussa Nampiandraza kutoka Madagascar kuwa aliwapendelea wenyeji walioshinda bao 1-0. Msemaji wa Yanga, Jerry Muro alisema mwamuzi hakuchezesha mchezo huo...

Waziri wa Fedha na Mipango Zanzibar, Dk. Khalid Salum Mohamed,

20May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Mpango huo umetangazwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Khalid Salum Mohamed, alipokuwa akiwasilisha mapendekezo ya bajeti ya Zanzibar kwa mwaka wa fedha 2016/2017 katika Baraza la Wawakilishi,...
19May 2016
John Ngunge
Nipashe
Mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi, mwendesha mashtaka, Isidore Kyando, wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), alidai Juma alitenda kosa hilo Aprili 18, mwaka huu, kwa kumtapeli Kesia...

Kaimu Katibu wa Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano wa UVCCM, Abubakar Asenga

19May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa jana, Kaimu Katibu wa Uhamasishaji, Sera, Utafiti na Mawasiliano wa UVCCM, Abubakar Asenga alisema wapinzani wangepewa nafasi ya kusoma hotuba yao kwani haikuwa mara yao...
19May 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Diwani huyo alifikishwa mahakamani hapo jana mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Chiganga Ntengwa na kusomewa mashtaka na wanasheria wa Takukuru, Simon Buchwa na Bahati Haule. Mshtakiwa huyo...

Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency, Dk. Rajni Kanabar.

19May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa na Mwenyekiti wa Hospitali ya Regency, Dk. Rajni Kanabar, wakati akipokea Mwenge wa Uhuru, uliofika kwenye hospitali hiyo kuzindua jengo jipya la ghorofa 10. Kanabar alitoa...
19May 2016
Mary Mosha
Nipashe
Wakielezea tukio hilo jana, mmoja wa madereva bodaboda hao, Severini Shirima, alisema walifikia uamuzi huo kutokana na madereva bodaboda wa Kenya kuwazuia kuingia nchini kwao. Alisema madereva...

MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma, Jacqueline Ngonyani (CCM)

19May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Tukio hilo lilitokea baada ya kuarishwa kwa kikao cha Bunge mjini hapa juzi kilichokuwa kinajadili makadirio ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano kwa mwaka wa fedha 2016/17....

Pages