NDANI YA NIPASHE LEO

16Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Adhabu hiyo ilitolewa juzi na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa mahakama hiyo, Agness Mhina, baada ya kuridhika na ushaidi uliotolewa na mashahidi sita wa upande wa mashtaka. Akisoma hukumu hiyo, Hakimu...
16Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Wakizungumza kwa nyakati tofauti jana kuhusiana na fursa hiyo, Lucas Meena na Francis William, walisema wamegundua biashara ya ufugaji wa nyuki karibu na miti ya kahawa ina manufaa makubwa kwa kuwa...
16Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Amesema amechukua hatua hiyo ili kukabiliana na uharibifu wa mazingira kwenye misitu ya asili hali ambayo imekuwa ikiiathiri mazingira na kusababisha ukame wilayani humo. Alisema hayo juzi wakati...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Funza hao wamevamia hekta zisizopungua 111 na kushambulia mazao hayo kwa kiasi kikubwa, hivyo kusababisha hasara kubwa kwa wananchi wa kijiji hicho cha Sanga. Wakizungumza kwa uchungu wa...

waziri wa afya, ummy mwalimu.

16Mar 2017
Ibrahim Joseph
Nipashe
Kauli hiyo ilitolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, wakati alipokuwa akizindua mpango maalumu wa kliniki tembezi wilayani...

RAIS wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein.

16Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Alisema hayo wakati akizungumza na Balozi wa Brazil nchini, Carlos Alfonso Iglesias, Ikuli, Zanzibar juzi. “Miongoni mwa vipaumbele vya serikali kwa upande wa sekta ya afya ni kuondoa kabisa ama...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akitoa ushahidi katika kesi dhidi ya mtuhumiwa Yussuf Hamad Ndaro (51), mbele ya Hakimu Makame Khamis Ali, mwanafunzi huyo alisema wazazi wake walifahamu kama mjauzito baada ya mama yake Kuingia...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mashindano hayo yatashirikisha jumla ya timu 19 kutoka mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara na visiwani. Katibu Mkuu wa Chama Cha Kuogelea Tanzania (TSA), Ramadhan Namkoveka alizitaja timu ambazo...

Bakari Shime.

16Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Awali kulikuwa na tetesi za Shime, ambaye aliiongoza timu hiyo kufuzu kwa fainali hizo kuondolewa na kupewa nafasi ya kuwa msaidizi wa kocha wa timu ya Taifa ya Vijana 'Taifa Stars', Salum Mayanga...
16Mar 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Mfumo huo sasa umeonekana kuanza vyema kwenye Uwanja wa Azam Complex baada ya kutumika katika mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika, uliokutanisha wenyeji Azam FC dhidi ya Mbambane Swallows ya...

MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Samia Suluhu alitoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, baada ya kupokea taarifa ya Kikosi Kazi kilichoundwa na serikali kwa ajili ya kuratibu shughuli za Serikali kuhamia...

gari dogo walilokuwa wakisafiria baada ya kugongana na trekta.

16Mar 2017
Idda Mushi
Nipashe
Wamenusurika kufa baada ya gari dogo walilokuwa wakisafiria kutoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam, kugonga trekta na kupinduka eneo la Wami Sokoine Wilaya ya Mvomero mkoani humu katika barabara kuu ya...

Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye.

16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mkurugenzi Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye, amesema maendeleo ambayo Sagcot imeyapata kuendeleza kilimo katika ukanda huo, ni ya kujivunia na vema serikali nayo ikapeleka nguvu zaidi kwenye viwanda...

Mkuu wa wilaya kilolo, Asiah Abdallah.

16Mar 2017
George Tarimo
Nipashe
Mkuu wa wilaya hiyo, Asiah Abdallah, alitoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wananchi kwamba wajawazito hutozwa Sh. 7,000 wanapokwenda vituo vya afya kijifungua. Asiah...
16Mar 2017
Mhariri
Nipashe
Ni aibu kwa kuwa jukumu la msingi la ofisi hiyo ni kufanya ukaguzi na ufuatiliaji wa mapato na matumizi ya fedha za umma kisha kuweka taarifa hadharani. Kwa hiyo kama haipewi fedha za kutosha na...
16Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Licha ya juhudi za serikali katika kupunguza kero hiyo, ikiwamo kuanzisha mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (Dart), kujenga na kuziboresha barabara mbadala za ndani katika maeneo tofauti...
16Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ngoma aachwa, Tambwe arejea mzigoni, zaondoka na matumaini huku zikieleza...
Wakati Azam wameondoka jana na kikosi cha wachezaji 23 kwenda Swaziland kurudiana na Mbabane Swallows, Yanga yenyewe inaondoka leo mchana kuelekea Zambia kuumana na Zanaco. Akizungumza na gazeti...
16Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
.Kizazi kilichokula chumvi nyingi hujisikia manufaa ya kiafya kinaporithisha maarifa yake kwa vizazi vingine., . Tendo la kizazi cha zamani kusaidia wanaukoo, hutoa hisia ya utimilifu wa majukumu yao
Matokeo ya utafiti yaliyotolewa hivi karibuni yanaonyesha kwamba wazee wanaoshirikisha ujuzi, maarifa, hekima na siri walizonazo kwa familia, rafiki, majirani zao au hata kwa wageni huyaona maisha...
16Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
‘Ndoa za utotoni ni kuweka afya mabiniti rehani’
Hali kadhalika, umasikini na ubaguzi vimeelezwa kuwa vyanzo vinavyoendelea kuchochea kitendo hicho ambacho kinaharibu maisha ya wasichana na kuzuia mafanikio ya jamii na nchi yao. Mtafiti wa...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ingawaje kujihususha na bangi kwa namna yoyote ile unakuwa mtihani mkubwa wa kisheria kwa maana ya kitendo batili, lakini sheria huwa msumeno zaidi kwa wanaorudia kosa. Kwa mujibu wa Ofisi ya...

Pages