NDANI YA NIPASHE LEO

Beno Kakolanya - Prisons

23May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Kabla ya kutoa kikosi bora kwa msimu uliomalizika wa ligi, leo tutakuwa na kikosi bora cha timu zilizoshiriki ligi hiyo kutoka nje ya jiji la Dar es Salaam. Mara nyingi kinapotangazwa kikosi bora...

kikosi cha yanga wakiwa mazoezini.

23May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Wanachama na mshabiki wa Yanga walimiminika kwa wingi Ijumaa mchana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakiimba na kucheza, wakichagizwa na ushindi wa mabao 2-0...

wachezaji wa simba wakishangilia moja ya goli katika ligi.

23May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wanachama, wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo wako kwenye simanzi kubwa kutokana na kukaa muda mrefu bila kutwaa ubingwa na kushiriki mechi yoyote ya kimataifa wakiamini kuwa klabu yao imekuwa...
23May 2016
Mhariri
Nipashe
Kama kawaida, ligi inapomalizika timu huanza kujipanga kwa ajili ya usajili wa wachezaji ili kujiweka vizuri msimu unaofuata wa ligi. Uzoefu unaonyesha kuwa kwa miaka ya karibuni, hakuna kipindi...
23May 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Nadhani hata wanachama wa Simba Ilala na Kinondoni nao watakuwa na maswali yao dhidi ya uongozi kutokana na mambo kadhaa yaliyotokea na yanayojiri ndani ya klabu hiyo msimu huu. Wengi wanauliza ni...

Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) Zuberi Ali Maulid

23May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
.Wametoka nje ya ukumbi baada ya kuingia Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW) Zuberi Ali Maulid, aliyekuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo. Mkasa huo umetokea baada ya Spika Maulid...

bunge

23May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Baadhi wapanga foleni kusotea posho kiduchu ya 30,000/-
Uchunguzi wa Nipashe umebaini kuwa hivi sasa, baadhi ya wabunge wanaonekana kupunguza hata matumizi yao kwa kutoonekana mara kwa mara kwenye maeneo ya starehe waliyokuwa wamezoeleka ukilinganisha na...

Aliyekuwa mgombea wa urais tiketi ya Chadema, edward lowassa akiwasalimia wananchama wa chadema waliofika kwenye mkutano (kushoto) naibu katibu mkuu chadema Salum mwalimu.

23May 2016
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Lowassa aliyekuwa mgombea urais kupitia Chadema na kuungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) katika uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka jana baada ya kukihama...

spika wa bunge, job ndugai

23May 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Asema kikao cha mchana ndiyo majanga, sasa Bunge kufungwa vipimo maalumu kubaini ulevi...
Bila shaka utachoka zaidi ukisikia kuna wabunge kadhaa huingia kwenye ukumbi wa Bunge wakiwa wametumia vilevi vikali zaidi vikiwamo bangi, viroba na dawa za kulevya. Spika wa Bunge, Job Ndugai,...

Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Nassor Ahmed Mazrui

23May 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Huku wengine wakiathirika na kupoteza mali zao.Sababu nyingine ni kudaiwa kwa jeshi hilo kushindwa kuchukua hatua zozote dhidi ya watu waliohusika kuwapiga na kuwajeruhi wafuasi wa chama hicho pamoja...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutoka mikoa miwili kisiwani Pemba katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi jana.
PICHA: MWINYI SADALLAH.

23May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Hayo yalitangazwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, alipokuwa akizungumza viongozi wa Halmashauri za CCM za Mikoa miwili ya Kisiwani Pemba jana. Balozi Seif aliwataka...

aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam, Wilson Kabwe

23May 2016
Fatma Amir
Nipashe
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kwa niaba ya Masemaji wa familia, Philip Kabwe, mdogo wa marehemu, Elitabu Kabwe, alisema maziko ya mpendwa wao yatafanyika Jumatano...

Mshambuliaji wa JKT Ruvu, Saady Kipanga akijaribu kuwapita wachezaji wa Simba wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Ruvu ilishinda mabao 2-1. Picha na Michael Matemanga

23May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Timu zote tatu za Tanga zimeshuka daraja, Simba wakigawa pointi Uwanja wa Taifa Dar es Salaam...
Mabingwa Yanga wamemaliza msimu na kufikisha pointi 73 baada ya kulazimishwa sare ya 2-2 ugenini Songea dhidi ya Majimaji ya huko. Jiji la Tanga alililokuwa na timu tatu, Coastal Union, African...

Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa wakiwa katika kikao.

21May 2016
George Tarimo
Nipashe
Madiwani hao ambao wengi wao ni kutoka chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema waliyasema hayo jana baada ya kumalizika kwa kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika ndani ya ukumbi wa Manispaa...
21May 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Akizingumza na Nipashe Katibu mkuu wa Mtandao huo Godfrey Modest alisema kampeni hiyo itafanyika Temeke Mei 27 kwa kuwa ndiyo mahali ambapo pameathirika sana na uchafuzi huo. Alisema lengo la...
21May 2016
Gurian Adolf
Nipashe
Msaada huo wenye thamani ya shilingi milioni 1.4 ulikabithiwa jana shuleni hapo ambapo na mwenyekiti wa chama hicho Jumanne Msomba na kupokelewa na mwalimu mkuu wa shule hiyo Sikazwe Jafhe huku...

gari la takataka.

21May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hatua hiyo imekuja baada ya kukithiri kwa mlundikano wa taka kwa muda mrefu katika maeneo ya manispaa hiyo, bila ya kuondolewa kwa wakati muafaka. Ofisa Uhusiano Msaidizi wa manispaa hiyo, Bonwel...

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui

21May 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Tukio hilo lilitokea jana majira ya saa tano usiku katika Kijiji cha Kagerakanda Wilaya Kasulu Mkoani hapa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Ferdinand Mtui, alisema marehemu alikutwa akiwa...
21May 2016
Woinde Shizza
Nipashe
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo alisema kuwa tukio hilo lilitokea May 17 mwaka huu majira ya saa 09:00 asubui . Alisema kuwa mwanafunzi huyo alitoa...

waziri wa ardhi nyumba na makazi william lukuvi.

21May 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Wananchi hao wametakiwa kuanza kuyahama maeneo yao kabla ya sheria kuchukuliwa ikiwamo kubomoa nyumba zilizojengwa maeneo hayo. Waliovamia ‘block’ A hadi G wilaya ya Kinondoni (Tegeta), ‘block’ S...

Pages