NDANI YA NIPASHE LEO

Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammad Kambi

21May 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Hayo yalisemwa jana jijini Dar es Salaam na Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Muhammad Kambi, wakati akizungumza na Nipashe na kufafanua kuwa elimu inapaswa kutolewa kwa jamii ili watu watambue uzito wa...
21May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Mkurugenzi wa masuala ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Dk. Kennedy Gastorn ndiye aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Jumuiya ya Mashauriano ya Masuala ya Kisheria...

Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani, charles kitwanga.

21May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Ni yule anayehusishwa na mkataba tata wa Lugumi
Taarifa iliyotolewa jana jioni na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ilieleza kuwa Rais Magufuli amechukua hatua hiyo kutokana na Waziri Kitwanga kuingia bungeni na kujibu maswali yaliyoelekezwa kwa...
21May 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Coastal Union tayari imeaga rasmi Ligi Kuu msimu ujao kwani hata ikishinda mchezo wake wa mwisho dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga kesho haiwezi kuzidi pointi za Wagosi...
21May 2016
Mhariri
Nipashe
Yanga imetinga hatua hiyo baada ya kuitupa nje ya michuano hiyo timu ya Sagrada Esperanca ya nchini humo kwa jumla ya magoli 2-1. Nipashe tunaungana na mashabiki wa Yanga na watanzania kwa ujumla...

korosho

21May 2016
Christina Haule
Nipashe
Ofisa mazao wa wilaya hiyo Revocatus Ngusa alisema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa mafunzo kwa vikundi vinavyojishughlisha na kilimo cha mazao hayo yaliyofanyika wilayani humo. Ngusa alisema kuwa...

mfanyabiashara wa mirungi.

21May 2016
Gaudensia Mngumi
Nipashe
Wataalamu wanasema inapotafunwa kwa muda mrefu huleta tatizo sugu la kuvimbiwa na kuharibu mfumo wa kumeng’enya chakula kwa vile mirungi hukausha maji kwenye ukuta wa tumbo na pia huathiri njia ya...
21May 2016
Nkwazi Mhango
Nipashe
Kwa wasiojua inshu nzima ni kwamba huko Namanga jijini Dar-Si-Salama, mke mmoja wa waziri mwandamizi alitoa mpya alipojifanya waziri eti kwa vile mumewe ni waziri. Kama unataka ukubwa si ugombee...

picha kushoto sofa lililobadilishwa kuwa la kisasa.

21May 2016
Vivian Machange
Nipashe
TUPIA MITO MIPYA Njia rahisi na nyepesi kuliko zote ya kuzifanya kuwa bling’i ni kuweka mito mipya. Hii ina nguvu ya kubadilisha muonekano kwa njia zisizo na kikomo. Unaweza ukacheza na rangi,...
21May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Tuzo hiyo ilitolewa hivi karibuni na Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Viwandani, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (Tuico), Boniface Nkakatisi kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni hiyo,...
21May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mtendaji Mkuu wa Afya na Usalama na Afya mahali pa Kazi (Osha), Dk. Akwilina Kayumba, wakati akifunga mafunzo ya wiki tatu, yaliyotolewa kwa vijana zaidi ya 50 kwa ajili ya...

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini, Pemba Omar Khamis Othman

21May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Hujuma hizo zimeanza kujitokeza juzi katika Kijiji Chama Mtambwe Mkoa wa kaskazini Unguja zikidaiwa kufanywa na wanachama wa CUF baada ya shamba la Mpunga la Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe (CCM)...

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd

21May 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Uchaguzi huo ambao ulifanyika chini ya Mwenyekiti wake Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi huko Makao Makuu ya CCM Kisiwanduwi mjini Zanzibar juzi na kuandika historia mpya baada...
21May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
***Maelfu ya wanachama na mashabiki wa timu hiyo walijitokeza kuipokea timu baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya makundi Afrika
Mara baada ya kutua nchini, mashabiki wa timu hiyo walilisukuma basi la timu hiyo kutoka kwenye uwanja huo wa ndege kuelekea katika ofisi za kiongozi wa klabu hiyo zilizoko barabara ya Nyerere kwa...

LOUIS van Gaal

21May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kocha huyo wa Manchester United amesema kuwa wachezaji wake wote 27 wako 'fiti' kwa mchezo huo wanaotarajia kuonyesha kandanda safi licha ya kutarajia ushindani kutoka kwa Crystal Palace....
21May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Mashetani Wekundu hao hawajashinda kikombe chochote tangu 'Sir' Alex Ferguson alipojiuzulu 2013. Hata hivyo, United ambayo imemaliza Ligi Kuu England ikiwa katika nafasi ya tano, leo inaweza...
21May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Sturridge alisema kuwa kikosi chake kililalamikia kunyimwa penalti kadhaa katika kipindi cha kwanza na kueleza kwamba Koke alikuwa ameotea kabla ya kuipatia klabu hiyo ya Hispania bao la tatu....

waziri mkuu kassim majaliwa akiwa pamoja na waziri wa ardhi nyumba na makazi william lukuvi pamoja na wabunge katika viwanja vya bunge.

21May 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Aidha, kambi hiyo imesema itautumia mjadala huo kuitaka kuibana serikali kuhusu gharama kubwa za kununua nyumba zinazojengwa na mifuko ya kijamii. Kwa mujibu wa ratiba ya Bunge, makadirio ya...

Kamanda wa kikaosi cha Usalama Barabarani, Mohamedi Mpinga.

21May 2016
Romana Mallya
Nipashe
Taarifa zilizothibitishwa na Polisi zilieleza kuwa Afande Kinyogoli alivamiwa nyumbani kwake na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi juzi usiku na kupigwa risasi kadhaa zilizomuondolea uhai kabla...

Suleman Jaffo.

21May 2016
Paul Mabeja
Nipashe
Mradi huo ulizinduliwa Mei 17, 2016 na Jaffo ukiwa ni sememu ya msaada kutoka taasisi ya DCMCT inayomiliki hospitali jirani na kijiji hicho ambao ndiyo walioutoa kwa shule hiyo. Waziri alielezwa...

Pages