NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

23Jul 2017
Beatrice Bandawe
Nipashe Jumapili
Ni aibu kwa binadamu mwenye akili timamu kuweka haja yake kwenye mfuko wa plastiki na kuutupa bila kujali mazingira yanayozungukwa na watu wengine. Kwanza kitendo hicho kinahatarisha afya za watu...
23Jul 2017
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Mabasi kadhaa ya daladala ya Moshi yana vikapu vilivyoning’inizwa ili kutupia uchafu. Kila mfanyabiashara anayeuza bidhaa zinazozalisha uchafu huwa na vifaa ambavyo wateja wake hutupia taka....
23Jul 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Maendeleo yanategemea wanajamii wote bila kujali umri, kabila, itikadi, jinsi wala taifa. Kwa mujibu wa Mwanafalsafa, Abraham Moslow’s, ili binadamu ahesabike ameendelea anahitaji kupita kwenye...
23Jul 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Onyo hilo alilitoa juzi alipokuwa akihutubia wananchi katika ziara yake mkoani Kigoma, wilaya ya Kasulu wakati wa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Kibondo hadi Nyakanazi. Alisema...
23Jul 2017
Sabato Kasika
Nipashe Jumapili
Waliuliza swali hilo kutokana na ukweli kwamba mkakati ya kuhamia Dodoma ulianza zaidi ya miaka 40 iliyopita, lakini hakuna kiongozi wa nchi katika awamu nne zilizotangulia, aliyefanikisha safari...
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbali na Kaseke, Singida United ambayo imepanda daraja pamoja na Njombe Mji na Lipuli FC, siku nne zilizopita ilitangaza kumsajili kipa Ally Mustapha "Barthez" kutoka Yanga. Akizungumza na gazeti...
23Jul 2017
Friday Simbaya
Nipashe Jumapili
Lipuli FC ambayo msimu ujao itashiriki Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajia kufanya uchaguzi mkuu leo mkoani hapa imeelezwa. Akizungumza na gazeti hili jana ,Mrema alisema kuwa Lipuli ambayo imepanda...
23Jul 2017
Somoe Ng'itu
Nipashe Jumapili
*** Ni timu ya Daraja la kwanza na la Pili, wakala ateta na Simba imruhusu ili...
Mbali na klabu hiyo ya Ufaransa, pia mshambuliaji huyo wa Timu ya Taifa ya Burundi pia anatakiwa na timu nyingine inayoshiriki Ligi Kuu Serbia. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu kutoka...
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
imetolewa katika mashindano ya kusaka tiketi ya kucheza fainali zijazo za Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) baada ya kutoka suluhu na Rwanda (Amavubi) katika mchezo uliopigwa jana kwenye Uwanja wa...
23Jul 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Makada wakwepa kodi sasa ulimi nje, Wamo mapedezyee, vigogo wa mafuta,  showroom za magari, maduka ya simu  , Uongozi sasa hata mwenye buku ruksa
Mambo kadhaa aliyopania kuyafanya Rais John Magufuli wakati alipochaguliwa kwa kishindo kuongoza chama hicho kwa nafasi ya uenyekiti siku 365 zilizopita, sasa yameanza kuonekana, hivyo kuwapa imani...

Prof. Adolf Mkenda.

23Jul 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Adolf Mkenda, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye mkutano wa wadau uliojadili rasimu ya mapendekezo na mkakati wa...
23Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
 Marianus aliyasema hayo wakati akikabidhiwa fedha zake za ushindi wa mchezo huo kiasi cha Sh. milioni 20, hafla iliyofanyika jana katika benki ya NMB, Posta, jijini Dar es Salaam.Marianus...
23Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
 Uchunguzi uliofanywa na Nipashe, ukihusisha mahojiano na watalaamu mbalimbali wa lishe, umebaini kuwa supu ya ngisi na mnofu wake, huwa na manufaa makubwa kwa kusaidia kuimarika kwa nguvu za...
16Jul 2017
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Aidha, inadaiwa mkopo huo si wake bali alikuwa amemdhamini rafiki yake aliyetoroka na pesa hizo ambazo, hata hivyo kiasi chake hakikufahamika. Ndugu zake walidai kuwa Sarah alimwita rafiki yake...
16Jul 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Mkoa wa Dodoma, Mariam Mzuzuri, wamewapa wanafunzi wasichana mkoani Mbeya mbinu kadhaa za kukwepa ‘mafataki’ wanaowarubuni ili kujiweka mbali na hatari ya kuharibiwa maisha yao. Tulia na Mazrui...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Shangazi wa mtoto Hadija Mlinda, aliiambia Nipashe kuwa udanganyifu huo wa kumpora mtoto ulitokea Jumatano wiki hii nyumbani kwao, akiwa na ndugu zake, baada ya mgeni huyu kuwahadaa kuwa ni shangazi...

Katibu Mkuu, Dk. Vincent Mashinji.

16Jul 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Wabunge hao ni Cecil Mwambe wa Ndanda mkoani Mtwara ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Zubeda Sakuru wa Viti Maalum mkoa wa Ruvuma. Kamanda wa Polisi wa Mkoa huo, Kamishna...
16Jul 2017
Dege Masoli
Nipashe Jumapili
Akizungumza  katika mkutano maalumu wa baraza la wazazi  kujadili majina ya wagombea nafasi mbalimbali, Katibu wa CCM  Korogwe Mjini, Ally Issa,  alisisitiza suala la uadilifu na kwamba hakuna mtu...

Msajili wa bodi hiyo, Rhoben Nkori.

16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Msajili wa bodi hiyo, Rhoben Nkori, alisema kwenye taarifa yake kuwa bodi imewataka wananchi na wakandarasi wawe wanatoa taarifa katika ofisi za bodi za Makao Makuu Dar es Salaam na Kanda zake ili...
16Jul 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Akizungumza katika makabidhiano hayo, Abood alisema bahati nasibu ni mchezo unaoweza kutoa fursa nzuri kiuchumi, huku akimtaka mshindi huyo azitumie vizuri fedha zake ili ziweze kumnufaisha kiuchumi...

Pages