NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

MKUU wa Wilaya ya Bunda, Lydia Bupilipili.

05Mar 2017
Ahmed Makongo
Nipashe Jumapili
Mkuu huyo wa wilaya alisema hayo wakati akifungua kikao cha kamati ya ushauri ya wilaya (DCC) kilichokuwa kinajadili kuhusu makao makuu ya halmashauri hiyo kuhamia katika kijiji cha Bitaraguru nje...

Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Ferdinand Mtui.

05Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Mbali na bomu hilo, wakimbizi hao pia wamekutwa na bunduki bandia moja, mapanga matatu, rungu mbili , simu saba aina ya Nokia na Techno pamoja na chupa mbili za manukato ya wanawake. Kamanda wa...

rais john magufuli.

05Mar 2017
Thobias Mwanakatwe
Nipashe Jumapili
Hadi leo kikwazo kikubwa katika ustawi wa maisha ya wananchi wengi ni ukosefu wa maendeleo unaotokana na kukosekana uongozi makini.. Tangu serikali ya awamu ya tano iingie madarakani, kuna tatizo...

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.

05Mar 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Mkuu huyo wa mkoa alitoa maagizo hayo juzi wakati wa kikao maalumu cha Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya, ambacho kilihudhuriwa na wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama za wilaya,...

TIMU ya Azania Group ya Tanzania.

05Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Michuano hiyo maalumu ilianzishwa na benki hiyo kwa ajili ya kusaka washindi watakaoenda nchini Uingereza kwenye Uwanja wa Anfield kushuhudia moja ya mechi ya Ligi Kuu nchini humo ya klabu ya...
05Mar 2017
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Ernest Mangu, wakati akiwatunuku vyeti na zawadi mbalimbali askari 30 waliofanyakazi vizuri katika kipindi cha mwaka 2016, jijini Mwanza...
05Mar 2017
Abdul Mitumba
Nipashe Jumapili
Kituo cha Kabanga chenye walemavu mchanganyiko 246, kilianzishwa mwaka 2008 baada ya kuzuka mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi. Wakizungumza katika mahojiano na Nipashe kambini humo, baadhi ya...
05Mar 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Nasema hivi kwa sababu Katibu Mkuu wa CUF ameshika kamba huku akiwaahidi na kuwapa miadi wanachama wake kuwa, Dk. Shein hatakalia kiti hicho hadi mwaka 2020, ataondoka na yeye ndiye atakayekuwa...
05Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Yaani Afrika inategemeana kwa namna mbalimbali. Ujumbe mwingine ni Afrika imeshindwa kuwasaidia vijana wa nchi zake na kuwalazimisha kukimbia kwani hawawezi kutulia nyumbani kufanya shughuli za...
05Mar 2017
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Yatoka nyuma mara mbili kusawazisha dhidi ya Mbeya City, Yanga yapania 'kufia' Uwanjani dhidi ya Mtibwa Sugar leo
Jumamosi iliyopita, Simba wakiwa pungufu walitoka nyuma na kupata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Yanga na jana walipewa nafasi kubwa ya kuendeleza kasi yao hiyo. Simba jana haikuonekana kucheza...
05Mar 2017
Yasmine Protace
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo katika kikao chao cha kawaida cha robo mwaka. "Mifugo imekuwa ikiingia ovyo katika mashamba ya wakulima na hali hiyo ndiyo...
05Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Hayo yalielezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Ali Hapi, wakati akisikiliza kero za wananchi wa Boko Basihaya. Viongozi wa serikali za mitaa kuanzia mabalozi, wenyeviti wa...
05Mar 2017
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Lakini kabla ya kutimiza ahadi hiyo, nimepata maoni na ushauri kutoka kwa wasomaji wetu mbalimbali kuhusiana na baadhi ya makala ambazo zilichapishwa hapa wiki kadhaa zilizopita au hivi karibuni....
05Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe Jumapili
Utashangaa kituo hiki cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani kinategemewa na wakazi wasafiri na wakazi wa Dar es Salaam waingiao na kutoka pia kwenda mikoa mbalimbali na nchi jirani. Lakini...

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, George Simbachawene.

05Mar 2017
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Simbachawene alisema kwa kawaida, wakuu wa wilaya ambao ndiyo wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama kwenye maeneo yao, wanayo mamlaka ya kuwaweka ndani watu lakini ni pale tu wanapojiridhisha kuwa...
05Mar 2017
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Rai hiyo ilitolewa kwa nyakati tofauti na Mbunge Viti Maalumu mkoani humo, Bupe Mwakang’ata, wakati akizungumza na vikundi vya wanawake katika kata ya Kaengesa, wilayani Sumbawanga na kata ya...

dawa ya ‘methadone’.

05Mar 2017
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Hayo yalielezwa na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, na kwamba serikali imejipanga kuongeza dawa za ‘methadone’ kwa ajili ya kuwatibu vijana waliokuwa...
05Mar 2017
Gaudensia Mngumi
Nipashe Jumapili
Tena msako mkali utaendelea kuwaondoa wazalishaji feki wanaouza ‘gongo’ na pombe nyingine zisizofahamika kwa mbinu za kuzifungasha kwenye paketi na kuzisambazwa kama viroba. Serikali inastahili...
05Mar 2017
Mhariri
Nipashe Jumapili
Mradi huo unaotegemewa na maelfu ya wakazi wa Lindi ili kumaliza tatizo la uhaba wa maji mjini humo, ulipaswa kukamilishwa tangu Machi 17, 2015. Hata hivyo, hadi kufikia juzi bado ulikuwa ukisuasua...
05Mar 2017
Nebart Msokwa
Nipashe Jumapili
Akizungumza na waandishi wa habari juzi, Mganga Mkuu wa Kituo cha Afya cha St. Bakhita kinachomilikiwa na Kanisa Katoliki, Dk. James Kalawa, alisema awali wanawake wengi wajawazito walikuwa...

Pages