NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

Dk. Philip Mpango

24Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
Dk. Mpango aliyasema hayo wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mwongozo wa Usimamizi wa Rasilimali za Umma, iliyofanyika kwenye jengo la wizara hiyo mjini hapa jana. Kabla ya kuuzindua mwongozo huo, Dk...

Rais wa TFF Jamal Malinzi

24Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe Jumapili
Mbao FC imepandishwa ligi kuu baada ya kamati ya Nidhamu ya TFF kuzishusha daraja timu nne za kundi hilo kwa tuhuma za kupanga matokeo.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF kupitia kwa Afisa...

mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam paul makonda akiangalia uharibifu wa barabara

24Apr 2016
Salome Kitomari
Nipashe Jumapili
Kabla ya baraka hiyo kuanza baadhi ya barabara zilikuwa na mashimo ambayo moja kwa moja hayajachangiwa na mvua bali miundombinu iliyojengwa chini ya kiwango.Mbaya zaidi barabara nyingine...
24Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Wengine ndoa zimedumu kwa miaka kadhaa, watoto wao wameoa au kuolewa na kupata wajukuu, lakini wanandoa wanavurugana kiasi cha kuachana na kadhalika.Migogoro ya ndoa ni mingi na hata kwenye mahakama...

Dk. Vicent Mashinji

24Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa chama hicho Dk. Vicent Mashinji, wakati alipokuwa akifungua kongamano la Baraza la Vijana Chadema (Bavicha) na Umoja wa wanachadema Vyuo vikuu (Chaso)...

Makamu Mwenyekiti wa PAC,Aeshi Hilary (Katikati) akiwa na baadhi ya wajumbe wa kamati hiyo

24Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe Jumapili
...Yaunda kikosi kazi chenye wabunge 4 upinzani, ripoti kuanikwa Bunge zima
Baada ya mvutano wa karibu mwezi mzima baina ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na Wizara ya Mambo ya Ndani juu ya mkataba huo, sasa kamati hiyo imeunda Kamati Ndogo kuuchunguza...
17Apr 2016
Gurian Adolf
Nipashe Jumapili
Michael anatuhumiwa kumpiga Shukuru Korongo (32) na kumsababishia maumivu na baadaye marehemu huyo kufariki dunia, wakati wakigombea viroba kwenye sherehe ya jirani yao. Kaimu Kamanda Nyanda...

waziri wa Habari, Michezo, Utamadani Sanaa na Wasanii, Nape Nnauye.

17Apr 2016
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Nape alisema hayo katika ziara yake ya mikoa ya kanda ya ziwa na kubainisha kuwa, tatizo kubwa ni 'ulaji' unaosababishwa na viongozi wabovu. Alisema ili mambo yarejee kwenye hali ya kawaida,...
17Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Rajab alisema hayo juzi usiku wakati wa mazungumzo baina ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na wakuu wa taaasisi, watendaji wakuu na wadau wa mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka wa jijini Dar es Salaam (...
17Apr 2016
Jackson Paulo
Nipashe Jumapili
Hii ni kwasababu inaweza kuwa taabu kubwa kwako kama mzazi au mlenzi kwa vile wengi hudhani kuwa mtoto anayejisaidia kwenye nguo zake labda ana utovu wa nidhamu, mjinga au ni mvivu wa kutumia choo...

meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam Charles Kuyeko.

17Apr 2016
Leonce Zimbandu
Nipashe Jumapili
Kuyeko alitoa ombi hilo jana ofisi baada ya kubaini kuwa serikali imejipanga ifikapo Julai, mwaka huu kodi ya majengo itakusanywa na TRA, kitendo hicho kitaipunguzia Manispaa mapato. Alisema...

mkuu wa wilaya ya Muheza Esterina Kilasi.

17Apr 2016
Steven William
Nipashe Jumapili
Hayo yalisemwa juzi na mkuu wa wilaya ya Muheza Esterina Kilasi katika kikao cha cha maandalizi ya ujio wa Mwenge wa uhuru wilayani Muheza kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa halmashauri ya...

Kiungo wa Yanga, Haruna Niyonzima (kushoto), akimpiga chenga kiungo wa Mtibwa Sugar, Muzamiru Yassin.

17Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe Jumapili
***Yaitungua Mtibwa Sugar na kuichomoa Simba kwenye kiti cha uongozi Ligi Kuu Bara
Kwa matokeo hayo, Yanga inaongoza ligi kwa muda kutegemea na matokeo ya mechi ya Simba iliyokuwa ikiongoza msimamo kabla ya ratiba ya mechi za jana. Mechi hiyo ilikuwa ya mwisho ya ligi kwa Yanga...

jiji la dar es salaam.

17Apr 2016
Ibrahim Mkamba
Nipashe Jumapili
Ofisi hii inasababisha kuingia na kutoka kwenye jiji kuu kwa malori makubwa yanayobeba shehena ndani makontena pamoja na matangi ya mafuta ambayo husababisha msongamano mkubwa wa magari kwenye...
17Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Wale waliozoea chai chai, semina na safari za ovyo ovyo watupishe, ataka wavumilie maana huko tuendako kutakuwa na uchungu uchungu sana..
Aidha, Rais Magufuli amewataka mawaziri, makatibu wakuu na watendaji wengine serikalini wajiandae kisaikolojia kufuatia hali ngumu ya kubana matumizi kwani watapaswa kuwa wavumilivu.Rais Magufuli...

wafanyakazi wa ujenzi wa barabara wakiwa kazini (picha ya maktaba).

17Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Wafanyakazi hao ambao wa makampuni ya Sichuan Road and Bdrige na Jiangxi Geo Engneering, walikuwa na mgogoro na makampuni hayo, ambao ulisababisha mgomo. Ajira hizi zimekuja wiki chache tangu...

Rais Dk. John Pombe Magufuli akihutubia Wilayani Chato.

17Apr 2016
Joseph Mwendapole
Nipashe Jumapili
Rais Magufuli alifichua uwapo wa mfanyakazi huyo hivi karibuni akiwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Mlimani, Wilaya ya Chato mkoani Geita, alipokuwa akihutubia kwa mara ya kwanza nyumbani kwake...

Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo.

17Apr 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe Jumapili
Lakini watu wengi wamekuwa wakidharau msemo huo kila wakati mpaka tatizo linapotokea na kusababisha athiri hata wakati mwingine kupoteza maisha, kama tunavyoona milipuko ya kipindupindu katika Visiwa...
17Apr 2016
Flora Wingia
Nipashe Jumapili
Kumbe wanajisahaulisha kwamba jiko linapoyumba, mume ndani naye anayumba. Wajua ni kwanini? Chakula kitamu ni sumaku kwa kinababa wengi. Njia ya kuupata moyo wa mwanaume ni kupitia chakula. Hata...

Mshambuliaji wa Simba, Amis Kiiza akimfariji beki wa timu hiyo, Abdi Banda baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu.

17Apr 2016
Renatha Msungu
Nipashe Jumapili
Hadi sasa, Kamati ya Nidhamu ya Simba, hajafanya uamuzi wowote, lakini kuna taarifa kuwa 'hukumu' yake itatolewa baada ya mchezo wa ligi kuu leo kati ya Simba na Toto Africans. Banda anadaiwa...

Pages