NDANI YA NIPASHE JUMAPILI

14Feb 2021
WAANDISHI WETU
Nipashe Jumapili
***Ni baada ya kuweka rekodi ya kupata ushindi ugenini, pongezi zamiminika...
Kwa muda mrefu AS Vita imekuwa ikizionea timu za Ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuzipa vichapo kila inapokuwa kwenye uwanja wake wa nyumbani, lakini juzi kibao kiliwageukia Wakongomani hao.Straika...
14Feb 2021
Marco Maduhu
Nipashe Jumapili
Eta Elisoni, mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule hiyo, alibainisha matarajio yao hayo juzi wakati Bodi ya Wazabuni ya Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) mkoani Shinyanga, ilipokagua utekelezaji...
14Feb 2021
Beatrice Shayo
Nipashe Jumapili
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, jana alizindua njia ya maji katika nyumba hiyo baada ya kufanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya mradi wa maji Kisarawe-Pugu-Gongo la Mboto ambao unatekekezwa na...
08Feb 2021
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Wapo waliomshangaa hata kumlaumu kuwa anaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa kwa msimamo huu. Pia wapo waliomuunga mkono kwa kuzingatia uzoefu wa bara la Afrika katika mahusiano yake na mataifa ya...
31Jan 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Mhandisi Masanja Kadogosa wakati wa kongamano la mpango Kazi na ushirikishwaji wa sekta binafsi katika mradi wa ujenzi wa reli...
31Jan 2021
Neema Emmanuel
Nipashe Jumapili
-kupitia fursa za uwezeshaji zinazotolewa na benki hiyo kusaidia utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayotekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi nchini. Hayo yamebainishwa na...
31Jan 2021
Romana Mallya
Nipashe Jumapili
Alitoa maagizo hayo jana wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi katika ujenzi wa jengo la wagonjwa wa dharura la Hospitali ya Rufani Mkoa wa Tabora, utakaogharimu Sh. milioni 616.3.Rais Magufuli alihoji...
31Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Machi 16, mwaka jana, Tanzania iliripoti kuwa na mgonjwa wa kwanza wa corona. Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), idadi ya visa iliongezeka kutoka kimoja hadi kufikia 480 Aprili 2020 huku...
31Jan 2021
Enock Charles
Nipashe Jumapili
Amesema kufanya hivyo kunawanyima wananchi haki ya kusikilizwa kero zao na kupata maendeleo.Dk. Bashiru alitoa onyo hilo juzi, katika ziara yake ya kikazi mkoani Tabora, akisema ili kiongozi atatue...
31Jan 2021
Halfani Chusi
Nipashe Jumapili
Hidaya Ali, mkazi wa Kawe Mzimuni jijini Dara es Salaam ambaye ni mama wa mtoto anayedaiwa kuuawa kwa kunyongwa, alisema tukio hilo lilitokea Jumatano nyumbani kwake.Alisema kuwa mtoto wake wa kike...
31Jan 2021
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Leo tutaangazia baadhi maeneo yanayopaswa kutushughulisha katika kuchunguzana ili kubaini na kukomesha wizi ambao, kwa nchi nyingi za kiafrika, umekuwa kama desturi kama siyo mazoea tena mabaya ya...
31Jan 2021
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Huu ni miongoni mwa michezo ambayo wengine wamekuwa wakiita kamari, na hata wakati mwingine kupigwa marufuku kwa kuwa haramu na wabainikao kuicheza, huchukuliwa hatua kwa kuvunja sheria. Safi sana,...

Mshindi wa jumla katika mashindano ya Johnnie Walker Waitara Trophy Khalid Shemndolwa (wa kwanza kushoto) akikabidhiwa zawadi ya vikombe baada ya kuibuka mshindi. Wa kwanza kulia ni mwakilishi kutoka Resolution Insurance akifuatiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama General Vanance Mabeyo, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji Mnyepe, na Mkuu wa Majeshi wa Malawi Generali Vincent Nundwe

24Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa waandaji wa mashindani hayo Klabu ya Kijeshi ya Gofu ya Lugalo, mashindano ya mwaka huu yamevunja rekodi kutokana na kuhudhuriwa na idadi kubwa ya wachezaji.Japhet Masai, ambaye ni...
24Jan 2021
Joseph Kulangwa
Nipashe Jumapili
Wasiwasi huwajaa sana watahiniwa wanapokaribia siku za mitihani, si shuleni wala vyuoni, si sehemu za kazi. Mtihani ni pamoja na usaili wowote uwe wa ajira au wa polisi.Lakini matokeo mazuri ya...
24Jan 2021
Nkwazi Mhango
Nipashe Jumapili
Pia kitendo cha wenzetu walioaminiwa ofisi za umma kuuibia umma ni mauaji, hujuma na unyama visivyo na kifani. Vinatia kinyaa. Rejea kufukuliwa kwa wizi wa madawa kwenye hospitali ya rufaa ya...
24Jan 2021
Augusta Njoji
Nipashe Jumapili
Wakati wa mgogoro huo, Umbulla alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, jambo ambalo Spika Ndugai alisema lilimuumiza siku zote kutokana na vifo vilivyotokea.Akitoa salamu za rambirambi, Spika Ndugai...
24Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Kwa mujibu wa takwimu zilizopo sasa, uzalishaji wa ndani unakidhi asilimia 43 na hivyo nchi inazalisha tani 270,000 za mafuta ya kula kila mwaka na huagiza nyingine tani 600,000 kufidia pengo...
24Jan 2021
Elisante John
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa magari hayo yamekamatwa yakihusishwa na wizi baada ya msako wa kutafuta gari moja lililoibwa maeneo ya...
24Jan 2021
Christina Haule
Nipashe Jumapili
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Fortunatus Musilimu, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa, tukio la kwanza lilitokea Januari 13 majira ya saa 10 jioni kijijini Mmgeta wilayani  Kilombero...
17Jan 2021
Na Mwandishi Wetu
Nipashe Jumapili
Alitoa agizo hilo baada ya kufanya ziara ya kushtukiza katika ofisi za TANESCO Wilaya ya Kisarawe na kukuta idadi kubwa ya wananchi waliofika kutoa malalamiko kutokana na kukosa huduma ya nishati ya...

Pages