NDANI YA NIPASHE LEO

27Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ofisa Mkuu Kitengo cha Wateja Wakubwa na Serikali, Richard Makungwa, aliyasema hayo jijini hapa jana alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya uunganishaji wa halmashauri...

wazirI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa.

27Apr 2016
Theonest Bingora
Nipashe
Akizungumza baada ya kukagua barabara hiyo juzi, Prof. Mbarawa alisema baada ya wiki mbili barabara hiyo itafunguliwa kwa ajili ya matumizi ili kupunguza msongamano wa magari yanayoingia na kutoka...

Makamu wa Pili wa Rais, Balozi Seif Ali Idd.

27Apr 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kumbe kimya kingi cha Dk. Shein kilikuwa na mshindo mkubwa baada ya kuchukuwa muda wa siku 16 kutangaza baraza la mawaziri tangu alipoapishwa kuwa rais wa Zanzibar Machi 24, mwaka huu tofauti na...

Dk. Vincent Mashinji.

27Apr 2016
Restuta James
Nipashe
Suala la utafutaji wa mafuta na gesi asili bado mwiba mchungu…
Fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya shughuli hizo zilikuwa zaidi ya Sh. bilioni mbili. tangazo hilo la mkuu wa nchi, lilitekelezwa jana ambayo ilikuwa siku ya mapumziko kama kawaida, lakini...

rais wa vicoba, Devotha Likokola (kushoto) akivikwa ua.

27Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Likokola alitoa wito huu juzi wakati wa mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wanaofanya kazi katika kampuni ya DarBrew inayotengeneza pombe aina ya Chibuku, jijini Dar es Salaam. Alisema kwa...

Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango.

27Apr 2016
Augusta Njoji
Nipashe
…anahitaji Shilingi trilioni 21.4 kila mwaka kufikia ndoto zake za kufanya mageuzi kwa kujenga uchumi wa viwanda.
Lengo la mpango huo ambao uliwasilishwa bungeni Jumatano iliyopita na Waziri wa Fedha, Dk. Philip Mpango, ni kufanya mageuzi ya viwanda na kuwaondoa Watanzania kwenye lindi la umasikini. Mpango...
27Apr 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Katika ripoti yake hiyo, CAG ametoa pia mapendekezo kadhaa ambayo yanatakiwa kufanyiwa kazi kwa ajili ya kuboresha matumizi ya fedha za Serikali kwa malengo yanayokusudiwa. Moja ya maeneo ambayo...
27Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Kwa kutaja machache tu miongoni mwa mambo aliyoyabainisha katika ukaguzi wake kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), ni kasoro katika mkataba baina ya mamlaka hiyo na kampuni ya...

Mkuu wa Huduma za Matawi Benki ya Exim Tanzania, Eugine Massawe (kulia), pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya Pacific International Lines, PIL Kevin Stone, wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa mashine ya kuweka fedha (CDM) ya benki hiyo.

27Apr 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ufunguzi wa mashine hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam ukihusisha mwakilishi wa benki hiyo ambaye ni Mkuu wa Huduma za Matawi, Eugine Massawe, pamoja na Meneja Mkuu wa kampuni ya PIL, Kevin...

waziri wa elimu, Profesa joyce ndalichako.

27Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Maelezo hayo ya Bashe yamo kwenye hoja binafsi anayotarajia kuiwasilisha bungeni ambayo kwa sasa iko katika ngazi ya chama kabla ya kuwasilishwa kwenye Ofisi ya Spika. Hoja hiyo ambayo gazeti hili...

Kocha wa Mwadui FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio akishangilia na wachezaji wake.:picha ya maktaba.

27Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Azam FC imefanikiwa kutinga fainali baada ya kuifunga Mwadui FC penalti 5-3 kufuatia sare ya magoli 2-2 katika dakika 120. Akizungumza na gazeti hili jana, Hall alisema mchezo huo dhidi ya kikosi...

timu ya yanga.

27Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
...Zinakamilisha viporo vya mechi za Ligi Kuu vilivyotokana na wao kushiriki mashindano ya kimataifa..
Yanga itaikaribisha Mgambo JKT kutoka Tanga katika mechi ya Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Taifa wakati Azam FC itakuwa wenyeji wa Majimaji ya Songea mchezo utakaofanyika kwenye...

CAG, Mussa Assad.

27Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
wasomi, wachumi na wachambuzi wa siasa wamesema imedhihirisha kulikuwapo na udhaifu wa kiutendaji serikali iliyopita, huku baadhi wakimtahadharisha Rais John Magufuli kuwa atakuwa na kazi ngumu ya...

mwenyekiti wa kamati ya pac, Aeshi hilaly.

27Apr 2016
Fredy Azzah
Nipashe
Kamati hiyo ndogo iliyoundwa na PAC ikiongozwa na Japhet Hasunga (Vwawa-CCM), imepewa kazi ya kuchunguza undani wa mkataba huo wenye thamani ya Sh. bilioni 37. Mkataba uliozua utata, uliingiwa...
27Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
“Tunaomba tafsiri ya mahakama kuhusu kifungu cha 12 A kwa kuwa kinaeleza tofauti na hakihusiani na kuhamisha fedha, , "lakini kifungu hicho kupitia B kinaeleza kuhusu utakatishaji, ili kosa la utakatishaji fedha haramu likamilike lazima kuwe na A na B, sheria lazima ipewe tafsiri inayotakiwa.”
Washitakiwa hao wanaokabiliwa na mashitaka ya utakatishaji dola za Marekani milioni 6 mali ya serikali. Aprili 22, mwaka huu, mahakama iliahirisha kutoa uamuzi huo baada ya Hakimu Mkazi...

mwanasheria mkuu wa serikali, George Masaju.

27Apr 2016
Bangila Balinsi
Nipashe
Ama kwa hakika watu wengi wamemuunga mkono rais katika harakati zake za kutaka kuondoa uoza huku yeye mwenyewe akiapa kupambana hadi afanikiwe kuwa na serikali inayowatumikia wananchi bila mizengwe...
27Apr 2016
Mashaka Mgeta
Nipashe
Bajeti hiyo itakuwa ya kwanza tangu serikali ya Rais Magufuli kuingia madarakani baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana, ikiwasilishwa katika Mkutano wa Tatu wa Bunge la 11 lililoanza...

aliyekuwa mkurugenzi wa tcra, Ally Simba.

27Apr 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
“Waziri hakikisha unachukua hatua mara moja, nataka tukusanye mapato yote ya serikali yanayostahili, sitaacha kuchukua hatua dhidi ya yoyote atakayekwamisha jambo hili.”
Kutokana na kushindwa kusimamia ipasavyo utekelezaji wa mfumo wa usimamizi wa mawasiliano ya simu (TTMS) na kusababisha kupotea mapato ya Sh. bilioni 400 kwa mwaka. Rais Magufuli alifanya uamuzi...
27Apr 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Katika kipindi hiki kuna namna mbalimbali ambazo zinatumika katika kuendesha maisha ya kila siku ikiwamo utandawazi. Jambo ninalotaka kuzungumzia hapa ni kuhusiana na haki ya upatikanaji wa habari...

Ridhiwani Kikwete

27Apr 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
...Hadi jana hakuna barua rasmi kutoka Yanga aliyopokea ikimueleza amevuliwa uanachama tangu mwaka 2013 ilipotangazwa...
Ridhiwani Kikwete amesema kwamba kufutwa kwake uanachama kulitokana na 'fitna' za baadhi ya viongozi ambao walikuwa hawataki kuambiwa ukweli. Akizungumza na gazeti hili jana, Ridhiwani alisema...

Pages