NDANI YA NIPASHE LEO

Katibu Mkuu wa Yanga, Baraka Deusdedit.

03Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mchezo huo ni kwa ajili ya kujiandaa na mechi yao ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Mo Bejaia kutoka Ghana itakayofanyika Agosti 13 mwaka huu na msimu ujao wa Ligi Kuu. Akizungumza jana...

straika kutoka Ghana, Enock Atta Agyei akisaini kuitumikia Azam.

03Aug 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Mabingwa hao wa mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) pia Jumamosi wataifuata Ruvu Shooting kwenye Uwanja wake wa Mabatini, Mlandizi kwa ajili ya kucheza mechi...
03Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza na gazeti hili jana kwa njia ya simu kutoka Morogoro, Zungu alisema kuwa amekutana na ushindani kwenye kikosi cha Simba na yeye amelazimika kujituma ili kuendana na 'kasi' ya wachezaji...

jengo la yanga.

03Aug 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
*** Wanachama wasisitizwa kujitokeza ili kupanga mikakati ya kuisaidia timu yao iweze kufanya vizuri katika mashindano ya kimataifa zilizobakia na msimu ujao wa ligi...
Huku Uongozi wa Yanga ukisema mkutano huo ni wa kawaida wa mwaka, taarifa zilizopatikana jijini zinaeleza kuwa huenda klabu hiyo ikawa na ajenda ya mabadiliko ya mfumo wa uendeshwaji kama walivyoamua...
03Aug 2016
Mhariri
Nipashe
Msimamo huo umepokelewa kwa hisia tofauti na viongozi mbalimbali wa kisiasa. Kufuatia sintofahamu hiyo, Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, alikaririwa na gazeti hili jana akitaka...
03Aug 2016
Raphael Kibiriti
Nipashe
Toka wakati wa kampeni zake za urais hadi kipindi hiki cha sasa akiwa Rais, Dk. Magufuli amebainisha na kuchukua hatua mbalimbali zinazolenga kulifikia lengo hilo la kuifanya Tanzania kuwa nchi ya...
03Aug 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Hatua hiyo ya serikali kuhamia Dodoma, ilikuwa inalenga vilevile kutoa fursa kwa Wananchi kutoka pande zote nchini kupata huduma za kiserikali bila kusafiri umbali mrefu hadi Dar es Salaam, kama...
03Aug 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Jaji Mihayo alisema akaunti za TTB zina Sh. milioni 11 na dola za Marekani 6,000 (sawa na Sh. milioni 13.12). Wakati Jaji Mihayo akisema amekabidhiwa taasisi isiyo na fedha, Waziri wa Maliasili na...
03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Waziri Mkuu alitoa agizo hilo jana alipotembelea Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa kilichoko mkoani Morogoro ambapo alisisitiza viwanda vya ndani vizalishe zaidi ili kupunguza uagizaji wa bidhaa hiyo...

mashine inayofuatilia afya ya mtoto, Happiness John.

03Aug 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Happiness ambaye ni mgonjwa wa kwanza kuwekewa betri kwenye moyo nchini, wiki iliyopita alipewa masharti magumu ili aendelee kuishi vyema kutokana na operesheni hiyo iliyofanywa Julai 15, mwaka huu...

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka.

03Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ukaguzi maalumu huo unatokana na tuhuma za muda mrefu za kuwapo kwa rushwa na matumizi mabaya ya madaraka miongoni mwa viongozi wenye dhamana ya kuendesha mifuko hiyo nchini. Mkurugenzi Mkuu wa...
03Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Wakati Fuime na wenzake tisa wakiachiwa, washtakiwa wawili bado wanakabiliwa na kesi hiyo iliyosababisha vifo vya watu 27 katika jengo la ghorofa 16 lililoanguka, baada ya upelelezi kuonyesha kwamba...
03Aug 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Hatua hiyo ilifikiwa jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Respicius Mwijage, baada ya upande wa Jamhuri kudai upelelezi wa kesi hiyo umekamilika. Upande wa Jamhuri, ukiongozwa na Wakili wa Serikali...
03Aug 2016
Romana Mallya
Nipashe
Pia wamesema wakati nchini mwao simu za mkononi hazijawafikia watu wengi walioko pembezoni kwa Tanzania ni tofauti kwa kuwa wameshuhudia watu wengi wakizimiliki. Walimu hao ambao wamefanya ziara...
03Aug 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Bila kuwataja kwa majina wala siri walizotoa, Jaji Kaganda alisema: “Tusiweke maslahi binafsi mbele kwa kutoa siri za mikataba kwa kuangalia manufaa binafsi, jambo ambalo limelifikisha taifa pabaya....

Anastazia Wambura.

02Aug 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ya Olimpiki jana ilikabidhiwa bendera ya Taifa kwa ajili ya safari hiyo.Akizungumza wakati wa kukabidhi bendera hiyo, Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Anastazia Wambura...
02Aug 2016
Ibrahim Yassin
Nipashe
Posho hiyo ilietengwa na halmashauri kwa ajili ya wenyeviti wa vijiji kama nauli yao. Hata hivyo, Mwenyekiti wa halmashauri hiyo, Dk. Hunter Mwakifuna, amelaani kitendo kilichofanywa na wenyeviti...
02Aug 2016
Godfrey Mushi
Nipashe
Wakizungumza na waandishi wa habari mjini hapa kwa sharti la kutotajwa majina yao jana, wadau hao walisema magendo ya kahawa huwa yanafanyika katika mpaka huo wa Kanyigo na bandari bubu ya Mwaru...
02Aug 2016
Mohab Dominick
Nipashe
Hayo yalisemwa na mmoja wa kampuni ya umoja wa wanunuzi wa zao la pamba (Umwapa ), Muhammad Akber. Alisema katika maeneo ya mikoa Shinyanga, Geita, Simiyu Kagera, Tabora na Mwanza. soko la pamba...
02Aug 2016
Nebart Msokwa
Nipashe
Prof. Mbarawa alisema kuendelea kusafirisha mizigo mizito kwa kutumia magari makubwa ndio chanzo cha kuharibika kwa barabara mara kwa mara na hivyo kuisababishia serikali hasara kubwa. Akizungumza...

Pages