NDANI YA NIPASHE LEO

17Jun 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Mchango wa wasichana hao katika familia husika una umuhimu mkubwa. Wanafanya kazi zote za ndani kuanzia kupika, kuosha vyombo, kufua, kudeki, kutunza watoto na usafi wa nyumba kwa ujumla. Baadhi...
17Jun 2016
Mhariri
Nipashe
Simu hizo zilizimwa baada ya muda uliotolewa na mamlaka hiyo kwa wamiliki wa simu hizo kununua simu halisi ili kuepukana na usumbufu ambao ungewapata kutokana na simu zao kuzimwa. Kabla ya hapo...
17Jun 2016
Jackson Kalindimya
Nipashe
Hata hivyo, matumizi ya jembe la mkono, uvuvi na ufugaji usio wa kisasa, imekuwa ni kikwazo kwa watanzania wengi kujikwamua kutoka katika lindi la umaskini. Wamekuwa wakifanya shughuli hizo kwa...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

17Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
Akijibu maswali ya papo kwa papo ya wabunge, bungeni, mjini Dodoma jana, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, alisema hilo likifanikiwa litasaidia kupanua wigo wa ajira ya kutafsiri lugha kwa vijana na...
17Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Rais Shein ameunda kamati hiyo na kuipatia majukumu ya kuhamasisha jamii wakiwamo wajumbe wa baraza hilo kuchangia gharamja za madawati 47,000 yenye thamani Sh. bilioni 14.1 ili kumaliza tatizo hilo...
17Jun 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Kutokana na kufunguliwa kwa kituo hicho, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), imesema kutasadia kuitangaza Zanzibar duniani na kuimarisha sekta ya utalii. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa...
17Jun 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
***Wanashambulia nyumbani, wanajihami ugenini...
Habari kutoka kambi ya wawakilishi hao wa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, zimedai kuwa wamenasa taarifa za namna wapinzani wao hao wa Algeria wanavyocheza. Akizungumza na...

Salum Telela

17Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Telela, ambaye mkataba wake na Yanga umemalizika baada ya msimu wa Ligi ya Kuu Bara 2015/ 16 kumalizika, amesema kuwa bado hajafanya mazungumzo na timu yoyote hapa nchini. "Nimemaliza mkataba na...

BEKI wa Simba, Hassan Isihaka

17Jun 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Isihaka ambaye amekalia kuti kavu ndani ya Simba amesema kuwa mafanikio ya mabingwa hao wa soka nchini itakuwa chachu kwa timu yao kuhakikisha inajipanga kufanya vizuri katika msimu ujao. "Mimi...

francis cheka

17Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Cheka anashikilia mkanda huo baada ya kupata ushindi wa pointi dhidi ya Mserbia Geard Ajetovic katika pambano la uzito wa Super Middle la raundi 12 lililofanyika Februari mwaka huu. Akizungumza na...

prof joyce ndalichako

16Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kutokana na kubainika kwa madudu hayo, serikali imetoa wiki mbili kwa wahusika wa madudu hayo, kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. Mkaguzi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Tekinolojia na...

waziri mbarawa

16Jun 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Aidha, imewataka wafanyabishara wanaoingiza simu nchini na mafundi wa simu, kuanza mchakato wa kupata leseni. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Mhandisi James Kilaba, aliyasema hayo jijini Dar es...

Mwenyekiti wa CCM Taifa Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais John Magufuli

16Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kufanyika kwa mkutano huo kutatoa nafasi kwa Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Kikwete, kung’atuka na kumwachia wadhifa huo, Rais John Magufuli. Chanzo cha kuaminika kutoka ndani ya uongozi wa CCM...
16Jun 2016
Salome Kitomari
Nipashe
... Washauri mwananchi aongezewe zigo siku moja toka wakatae Sh. mil 230/- zao kukatwa kodi
Kupanda kwa bei ya nishati ya diseli na petroli, kwa vyovyote, kutaendana na ongezeko kubwa la gharama za maisha ikiwamo kupanda kwa bei za vyakula na usafiri. Juzi, Mbunge wa Mtera (CCM),...
16Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Wameiomba Halmashauri ya Wilaya ya Mkinga kutoa mafunzo kwa wananchi ili kufufua zao hilo kutokana na miti hiyo kukomaa na kushindwa kuzaa ipasavyo kwa sababu ya wadudu hao kuvamia zao hilo ambalo...

Meneja wa Elimu, Habari na Mawasiliano, Iren John kushoto

16Jun 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Walengwa katika kampeni hiyo inayoendelea mikoa ya Kanda ya Ziwa Viktoria, ni wakulima na watakuwa wakipewa elimu ili waweze kujua matumizi sahihi ya mizani wakati wa uuzaji na ununuzi wa pamba...

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani

16Jun 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dk. Medard Kalemani, alisema hayo jana Bungeni mjini hapa, alipokuwa akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Martha Mlata. Mlata alitaka kujua...

Mkurugenzi wa taasisi ya Binti yetu, Rose Urio wa kwanza kulia akiwa pamoja na wanafunzi wa shule ya Msingi Saku iliyopo Chamanzi Wilayani Temeke.

16Jun 2016
Frank Monyo
Nipashe
Serikali ina jukumu la kuhakikisha linawalinda watu wake kwa kutoa huduma bora ya afya kupitia vituo vya afya na hospitali, sambamba na upatikanaji wa bidhaa bora na dawa. Hivi sasa wanafunzi...

Hali ya ndani ya Kituo cha Kupambana na Kipindupindu cha Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji.

16Jun 2016
Mariagoreth Charles
Nipashe
Ni takriban miaka tisa sasa uongozi wa kituo hicho cha afya, umeshindwa kuendelezwa miundombinu yake, ikiwamo kujenga uzio na kuanzisha kituo cha kuhudumia wagonjwa wa kipindupindu wilayani na sehemu...

mtoto anaodaiwa kubakwa na baba yake wa kambo, akiwa nyumbani, walipozungumza na mwandishi wa makala hii. (PICHA NA RAHMA SULEIMAN)

16Jun 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kaulimbiu ya mwaka huu ni ‘Ubakaji na Ulawiti kwa Watoto Unaepukika, Chukua Hatua Kumlinda Mtoto.’ Zanzibar kunaelezwa hivi sasa kuwa miongoni mwa maeneo ambayo si shwari katika mustkabali wa...

Pages