NDANI YA NIPASHE LEO

28Jul 2016
Mhariri
Nipashe
Utata na madudu yaliyomo katika mkataba huo vilibainishwa na ripoti ya kamati iliyoundwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, baada ya kuagizwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tamisemi...
28Jul 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Hata hivyo, kuna changamoto mbalimbali ambazo wasafiri wengi huwa hawazifahamu au wanazipuuzia baadaye huwasababishia matokeo yasiyotarajiwa. Miongoni mwa changamoto hizo ni ubovu wa miundo mbinu...

mji wa dodoma

28Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Pia sekta binafsi nayo imesema imeanza mikakati ya kuhamia kwenye mji huo kwa kuwa inafanya shughuli zake kwa ukaribu na serikali. Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)...

watanzania wakipeperusha bendera Rome Italia.picha na maktaba

28Jul 2016
Romana Mallya
Nipashe
Sambamba na agizo hilo, pia serikali imewataka watu waliozinunua nembo kwa matumizi ya ofisi waziondoe kabla ya kuchukuliwa hatua za kisheria.Aidha, serikali imesema utengenezaji holela wa vielelezo...

vifaru vya tanzania vikieleka kwenye uwanja wa vita vya Kagera

28Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
Agizo hilo lilitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, alipokuwa akizungumza na baadhi ya wastaafu wa JWTZ ofisini kwake kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda....
28Jul 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kesi hiyo iliahirishwa jana na Hakimu Mkazi Mkuu Huruma Shahidi, baada ya upande wa Jamhuri kudai kuwa upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika. Hata hivyo, wakati kesi hiyo inaahirishwa jana, Mdee...
28Jul 2016
George Tarimo
Nipashe
Simon alihukumiwa kifungo hicho na mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Iringa, baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kuua bila kukusudia. Akisoma hukumu hiyo jana, Jaji Dk. Paulo Kihwelo alisema...

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akizunguumza kuhusu maazimio ya mkutano wa dharura wa siku nne wa Kamati Kuu.

28Jul 2016
Salome Kitomari
Nipashe
*Yasema Septemba Mosi ni siku ya maandamano, mikutano ya hadhara nchi nzima
Hatua hiyo ya Chadema imechukuliwa kukiwa bado na zuio la kufanyika shughuli za kisiasa hadharani mpaka mwaka 2020. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alitoa tangazo hilo jana wakati akitangaza...

Mkurugenzi Msaidizi wa Habari, Elimu na Mawasiliano wa HESLB, Cosmas Mwaisobwa

28Jul 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kupitia tangazo la bodi hiyo lililochapishwa kwenye vyombo vya habari jana, wadaiwa hao wanakabiliwa na adhabu hizo ambazo ziko kwa mujibu wa sheria iliyoanzisha bodi hiyo mwaka 2004.HESLB ilisema...

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Ali Hapi

28Jul 2016
Hanifa Ramadhani
Nipashe
Akizungumza wakati wa kupokea msaada wa madawati kutoka Ubalozi wa Kuwait kwa ajili ya Shule ya Msingi Msisiri, Ofisa Elimu Msingi Manispaa ya Kinondoni, Kiduma Mageni, alisema kwa sasa madawati 18...
27Jul 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
*Alisailiwa na John Mhaville Dar, *Alianzia Singida April 2, 1975, *Amestaafu Dodoma Julai 23, 2016 kwenye Mkutano Mkuu wa CCM, *Makazi yake mapya kijijini Msoga
Shughuli hiyo ilihitimisha rasmi safari ya miaka 41 ya utumishi wake na uongozi wa kikada, hatua iliyomfungulia rasmi mlango wa kujiunga na Jopo la Wazee wa CCM. Safari ya utendaji wake,...
27Jul 2016
Owden Kyambile
Nipashe
…Kwa wakati huo, alikuwa ni mwanamke asiyekuwa na nchi ya kwao, lakini dunia ilikuwa nyuma yake na ilimpa kila msaada aliouhitaji. Nchi kama Guinea, Ubelgiji pamoja na Ghana zilimpa hati za...
27Jul 2016
Beatrice Shayo
Nipashe
Huyu ni Augustino Lyatonga Mrema, maarufu kama ‘Mzee wa Kiraracha.’ Mwanasiasa huyu ana rekodi yake katika utumishi wa serikali, lakini hasa aliiandika zaidi wakati akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani...
27Jul 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Wapo wanaosema kuwa, endapo jeshi hilo litamkamata na kumuweka ndani kiongozi huyo wa CUF ambaye ana ushindani mkubwa wa kisiasa visiwani Zanzibar, huenda kukatokea mpasuko mkubwa zaidi wa kisiasa...
27Jul 2016
Bangila Balinsi
Nipashe
Wanataaluma wa fani ya siasa na mambo ya demokrasia wanaunga mkono dhana kwamba, vyombo vya habari na uhuru wa habari ni muhimili wa nne wa dola. Bila shaka ilifahamika tokea zamani kuwa, katika...
27Jul 2016
Hekima Akilimali
Nipashe
Nchi ambayo kama miongo miwili nyuma, hususan kabla ya kuasili rasmi siasa za vyama vingi, ilijivunia kuwa na chuo cha kupika viongozi katika propaganda na mtizamo wa uzalendo kwa nchi yao....
27Jul 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Imesema inasubiri hatua ya serikali ya uthaminishaji wa mali na makazi ya wananchi wa Kijiji Cha Epanko, wilayani humo ili ulipaji wa fidia ufanyike na kuwajengea makazi ya kisasa kabla ya kuanza...
27Jul 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Katika mnada huo uliofanyika jana kwenye Ofisi za Wakala wa misitu Tanzania, kampuni tatu kati ya 18 zilizoshiriki zimenunua miti hiyo iliyopandwa miaka zaidi ya 40 iliyopita. Kampuni zilizonunua...
27Jul 2016
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho, Nuhu Saranya, alisema idadi ya watalii wanaotembelea kituo hicho kwa siku imeongezeka kutoka 90 hadi 200 tangu kilipokamilika. Alisema...

bilionea Mohammed Dewji 'Mo'

27Jul 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Awali, suala la udhamini lilianzia kwa bilionea Mohammed Dewji 'Mo', sasa linaonekana kuchukua sura nyingine baada ya kudaiwa mfanyabiashara mwingine Said Salim Bakhresa (SSB), kupitia kampuni yake...

Pages