NDANI YA NIPASHE LEO

22Apr 2016
Denis Maringo
Nipashe
Na tunaweza kusema tu kuwa kama unaipata fursa basi ni vema sana ukajitiahidi kuitumia fursa hiyo kufahamu japo machache kuhusiana na sheria hii. Uelewa wa sheria hii ya Mwenendo wa Kesi za Madai...

mkurugenzi mtendaji wa TPDC Dk. James Mataragio.

22Apr 2016
Christina Mwakangale
Nipashe
Chanzo cha habari cha kuaminika kiliiambia Nipashe jijini Dar es Salaam jana kuwa, maofisa waandamizi wa nchi waanzilishu wa Jumuiya ya Afrika Masharki za Tanzania, Kenya na Uganda wanaendelea na...

baadhi ya Wazee ambao walifanyiwa upasuaji wa macho: picha ya maktaba.

21Apr 2016
Steven William
Nipashe
Huduma hiyo ya bure ambayo inahusisha utoaji wa dawa na ushauri, inafanywa na Asasi isiyo ya kiserikali ya Medewell Centre, yenye makao makuu yake wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani. Kata hizo ni Potwe...
21Apr 2016
Focas Nicas
Nipashe
Idadi kubwa ya watumiaji wa simu za mkononi hususan wanaoishi maeneo ya vijijini bado hawajapata taarifa kuhusiana na suala hili na utekelezaji wake, hivyo mchakato huo utakapofanyika utawaacha bila...

Bwawa la Kidatu.

21Apr 2016
Idda Mushi
Nipashe
Ujazo unaotakiwa katika bwawa hilo ni mita 450 kutoka usawa wa bahari, lakini hadi jana ulifikia mita 450.5, jambo linalohatarisha kuharibika kwa miundombinu na maji kuwaathiri wananchi wanaofanya...

mkuu wa Mkoa wa Mara, Magesa Mulongo.

21Apr 2016
Bigambo Jeje
Nipashe
Mulongo pia amemwagiza mkurugenzi kwa kushirikiana na baraza la madiwani, kuitisha uchaguzi mdogo wa mwenyekiti mpya wa kijiji hicho, baada ya mwenyekiti wa sasa naye kushindwa kutimiza wajibu wake...

Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Rais alitoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam juzi wakati akizindua Daraja la Kigamboni ambalo amependekeza liitwe ‘Daraja la Nyerere.' Rais Dk. Magufuli alimwaga sifa hizo baada ya awali Meya kutoa...

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Mhe. Charles Kuyeko akifungua kikao cha Baraza la Madiwani.

21Apr 2016
Romana Mallya
Nipashe
Wahandisi hao ni Mkuu wa Kitengo cha Ujenzi, Japhary Bwigane na wasaidizi wake, Siyajali Mahili na Daniel Kirigiti. Meya wa Manispaa ya Ilala, Charles Kuyeko, akizungumza na waandishi wa habari...
21Apr 2016
Hellen Mwango
Nipashe
Kesi hiyo iliahirishwa juzi na Hakimu Mkazi Mkuu Warialwande Lema, aliyepangiwa kusikiliza kesi hiyo, baada ya Mwendesha Mashtaka wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Joseph Kiula...

Jenister Mhagama.

21Apr 2016
Ashton Balaigwa
Nipashe
Alisema hayo baada ya kukagua na kuzindua Kikundi cha vijana mafundi seremala cha (KIMASEMO), kilichopo kata ya Sabasaba Manispaa ya Morogoro.Alisema Serikali ya Awamu ya Tano ni ya kufanya kazi, sio...

Rais John Magufuli.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Hivi Karibuni, Rais Magufuli alimteua, Gelasius Byakanwa, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro kabla ya juzi kumteua Ally Hapi, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na Humphrey Polepole kuwa...

Wabunge wa upinzani wakiwa wamesimama ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma: picha ya maktaba.

21Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Aidha, baadhi ya wabunge hao wamedai Rais Dk. John Magufuli, amekuwa akiingilia majukumu ya mihimili mingine, likiwamo Bunge. Aprili 11, mwaka huu, uongozi wa Bunge ulimkabidhi Rais Magufuli hundi...

rais john magufuli akipokea taarifa ya ukaguzi wa hesabu za serikali kutoka kwa cag, musa asad: picha ya maktaba.

21Apr 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Ongezeko hilo, kwa mujibu wa kambi ya upinzani, deni hilo limeongezeka kwa kiasi hivyo, kutoka mwaka 2010 hadi mwaka jana. Akiwasilisha maoni ya Kambi ya Upinzani kuhusu utekelezaji wa Mpango wa...
21Apr 2016
Mhariri
Nipashe
Hali hiyo inatokana mamlaka zinazohusika kuchelewesha ombi la hospitali hiyo la ununuzi wa tangi la kuhifadhia maji tangu Desemba, mwaka jana. Kwamba ukosefu huo wa maji na uhaba wa mashine za...

bunge.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Mfumo wa kushindanisha zabuni haukufanyika, Kamati yaamua kuingia yenyewe kazini kujua mbivu na mbichi, ripoti kutinga bungeni kama Escrow ...
Kamati ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC), imebaini madudu mengine kibao ikiwa ni pamoja na zabuni hiyo kutolewa bila ushindani, jambo ambalo ni kinyume cha sheria. Baadhi ya wajumbe wa kamati...
21Apr 2016
Bosco Nyambege
Nipashe
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Methew Chikoti, alipokuwa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Namsinde kata ya Mkulwe wilayani hapa mwishoni mwa wiki. Alisema kumekuwa na kasumba...

Amatus Liyumba.

21Apr 2016
Abrahamu Ntambara
Nipashe
Wosia huo wa Liyumba, ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu Tanzania (BoT), ulifanya waombolezaji waliofika kuuaga mwili wake, kutopewa fursa ya kuona sura yake kwa...

Mkurugenzi wa vipindi wa kituo cha televisheni cha EATV, Lydia Igarabuza (wapili kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na wasanii wa mchezo wa tamthilia kutoka kampuni ya Janson Production mara baada ya mkutano na waandishi wa habari kuhusu kurushwa kwa mchezo wa kuigizwa ujulikanao kama ‘Siri ya Familia’ambao utarushwa na kituo hicho kuanzia tarehe 25 mwezi huu.. PICHA: SELEMANI MPOCHI

21Apr 2016
Faustine Feliciane
Nipashe
Akizungumza wakati wa hafla ya kuzindua tamthilia hiyo, Mkuu wa Vipindi wa EATV, Lydia Igarabuza alisema kituo chake kimeongeza vipindi kwa watazamaji wake na wanaamini tamthilia hiyo itawaelimisha...

Richard Kayombo.

21Apr 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Akizungumza na Nipashe, Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Richard Kayombo, alisema kwa Aprili, wamejiwekea malengo ya kukusanya kiasi hicho cha...

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda.

21Apr 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Lengo la hatua hiyo ni kukuza uchumi unaokua kwa kasi kulinganisha na uchumi wa baadhi ya nchi nyingine za Afrika. Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Uwekezaji, Profesa Adolf Mkenda,...

Pages