NDANI YA NIPASHE LEO

16Mar 2017
Christina Mwakangale
Nipashe
Licha ya juhudi za serikali katika kupunguza kero hiyo, ikiwamo kuanzisha mradi wa mabasi yaendayo haraka Dar es Salaam (Dart), kujenga na kuziboresha barabara mbadala za ndani katika maeneo tofauti...
16Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Ngoma aachwa, Tambwe arejea mzigoni, zaondoka na matumaini huku zikieleza...
Wakati Azam wameondoka jana na kikosi cha wachezaji 23 kwenda Swaziland kurudiana na Mbabane Swallows, Yanga yenyewe inaondoka leo mchana kuelekea Zambia kuumana na Zanaco. Akizungumza na gazeti...
16Mar 2017
Raphael Kibiriti
Nipashe
.Kizazi kilichokula chumvi nyingi hujisikia manufaa ya kiafya kinaporithisha maarifa yake kwa vizazi vingine., . Tendo la kizazi cha zamani kusaidia wanaukoo, hutoa hisia ya utimilifu wa majukumu yao
Matokeo ya utafiti yaliyotolewa hivi karibuni yanaonyesha kwamba wazee wanaoshirikisha ujuzi, maarifa, hekima na siri walizonazo kwa familia, rafiki, majirani zao au hata kwa wageni huyaona maisha...
16Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
‘Ndoa za utotoni ni kuweka afya mabiniti rehani’
Hali kadhalika, umasikini na ubaguzi vimeelezwa kuwa vyanzo vinavyoendelea kuchochea kitendo hicho ambacho kinaharibu maisha ya wasichana na kuzuia mafanikio ya jamii na nchi yao. Mtafiti wa...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ingawaje kujihususha na bangi kwa namna yoyote ile unakuwa mtihani mkubwa wa kisheria kwa maana ya kitendo batili, lakini sheria huwa msumeno zaidi kwa wanaorudia kosa. Kwa mujibu wa Ofisi ya...
16Mar 2017
Christina Haule
Nipashe
Hilo ni tatizo linaloashiria hatari ya kuwepo idadi kubwa ya watu wenye matatizo ya aina hiyo na inahitaji juhudi za ziada kukabiliana nazo, kupitia njia mbalimbali kama vile tiba na ushauri. Ni...
16Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Chadema ilisema makada hao watakuwa viongozi wakuu wa chama, wajumbe wa kamati kuu na wabunge. Ziara hiyo ya leo na...
15Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Kinana afichua kile walichomfanyia Magufuli
Akizungumza kwenye kikao cha UWT mjini Dodoma jana, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, ambaye alimtuma mwakilishi, alisema wale waliotimuliwa baada ya kuvuliwa uanachama Jumamosi (Machi 11),...
15Mar 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Rais John Magufuli amekuwa akisisitiza hilo na hata viongozi wengine wa chama wamekuwa wakiongeza uzito kile ambacho bosi wao anakitaka. Machi mwaka huu Chama Cha...
15Mar 2017
Salome Kitomari
Nipashe
Kwa namna tofauti wanawake wamefikisha ujumbe kwa kupaza sauti dhidi ya ukatili dhidi ya wanawake kama vipigo, kudhalilishwa, ndoa za utotoni, ukeketaji, unyanyasaji kiuchumi na kutoshirikishwa...
15Mar 2017
Mary Geofrey
Nipashe
Kama inavyokumbukwa mwaka 2009, Serikali iliongeza idadi ya Viti Maalum vya Wabunge Wanawake kutoka asilimia 30 hadi asilimia 40. Kuthibitisha kuwa, wanawake wameanza kujikomboa kwa kushika nafasi...

Rashidi Mfaume Kawawa.

15Mar 2017
Michael Eneza
Nipashe
Jini limerudi kwenye chupa, au Magufuli atashindwa?
Alitumia nahau ya utamaduni wa Kiswahili kusema “jini limetoka kwenye chupa, huwezi kulirudisha,’ akichukulia utii wa watu kama kitu kikubwa, kikishabadilika mandhari yake, mwelekeo wake, basi....
15Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Park Geun hye alishtakiwa na Bunge la nchi hiyo na ilitokana na mgogoro wa kisiasa uliolitikisa taifa hilo la Asia kiasi cha kusababisha maandamano yasiyo na kikomo. Bunge lilimshitaki Park mwezi...

Anatropia Theonest.

15Mar 2017
Joseph Mwendapole
Nipashe
Si jina geni kwenye siasa kwasababu mwaka huu ametimiza miaka 12 akiwa kwenye harakati nzito za siasa alizozianza akiwa mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) mwaka 2005. Wakati huo...
15Mar 2017
Jaliwason Jasson
Nipashe
Rai hiyo ilitolewa jana mjini hapa na wataalamu wa Shirika la Recoda, wakishirikiana na CIP, wakati wakitoa elimu kwa baadhi ya viongozi wa vikundi vya wakulima waliotoka katika wilaya mbalimbali...
15Mar 2017
Godfrey Mushi
Nipashe
Mfereji huo ulijengwa na serikali ya kikoloni ya Waingereza kati ya mwaka wa 1958 na 1960 kwa lengo la kumwagilia mazao ya aina mbalimbali. Juzi Katibu wa chama cha wakulima wenye mashamba...

GOLIKIPA namba moja wa Azam FC, Aishi Manula.

15Mar 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Manula, ambaye juzi ameitwa kwa mara nyingine kwenye kikosi cha timu ya Taifa 'Taifa Stars', amesema anafahamu wana mtihani kwenye mchezo huo wa marudiano, lakini ushindi wa bao 1-0 walioupata wiki...

taifa stars.

15Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Awali kulikuwa na tetesi za Shime, ambaye aliiongoza timu hiyo kufuzu kwa fainali hizo kuondolewa na kupewa nafasi ya kuwa msaidizi wa kocha wa timu ya Taifa ya Vijana 'Taifa Stars', Salum Mayanga...

rais john magufuli.

15Mar 2017
Romana Mallya
Nipashe
Magufuli alitoa ahadi hiyo jana asubuhi baada ya kupiga simu kwenye kituo kimoja cha Runinga wakati msanii wa kizazi kipya, Diamond Platinum akifanyiwa mahojiano mubashara. Wakati mahojiano hayo...
15Mar 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
***Lwandamina asema hakuna kinachoshindikana Zambia, watawanyamazisha wanaosema...
Lwandamina, alisema jana kuwa wapo wanaoona kama Yanga imeshaondolewa kwenye michuano hiyo kutokana na sare ya bao 1-1 waliyoipata katika mechi ya kwanza iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jumamosi...

Pages