NDANI YA NIPASHE LEO

JAMES MBATIA

08Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Machi 2, mwaka huu, Mbatia kupitia wakili wake Mohamed Tibanyendera, aliwasilisha mahakamani mapingamizi hayo, akidai maombi ya mshindani wake ya kupinga matokeo yake, hayakusainiwa na wakili na...

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI (IGP) ERNEST MANGU

08Mar 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Wamekuwa wakifanyakazi kuhakikisha kwamba wanaweka mambo sawa pale wanapogundua kuna viashiria vya uvunjifu wa amani ndani ya jamii ama kwenye mkusanyiko wa watu. Mfano wa jinsi Polisi...

George Simbachawene

08Mar 2016
Augusta Njoji
Nipashe
Kauli hiyo aliitoa jana alipokuwa akifungua mkutano wa Umoja wa Maofisa Elimu wa Mikoa na Wilaya nchini (REDEOA), uliofanyika mjini hapa.Simbachawene alisema ni vyema utatuzi wa madawati katika...
08Mar 2016
Elizaberth Zaya
Nipashe
Kaimu Mkurugenzi wa Nida, Modestus Kipilimba, alisema jana kuwa sababu za kufuta mikataba hiyo ni kutokana na kutokuwapo na bajeti ya kutosha ya kuwalipa wafanyakazi hao pamoja kubadilisha mfumo wa...

JULIUS NYERERE

08Mar 2016
WAANDISHI WETU
Nipashe
*Mwenyewe asema Rais Magufuli hakuwa na ulazima wa kuendelea naye.
''Watu walipoanza kusemasema, yule waziri alimwandikia Waziri Mkuu barua ya kujiuzulu, lakini Waziri Mkuu kwa jinsi alivyokasirika wala hakumjibu. Alichagua mtu wa kumridhi, wala hakumjibu.” Hayo...
08Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Kumbukumbu zangu zinanikumbusha, uliwahi kuwaambia wananchi wote wa Wilaya ya Kinondoni wanaotaka kupima afya zao hususani ugonjwa wa moyo wajitokeze na watapimwa bure, ni kweli ilifanikiwa na...
08Mar 2016
Charles Kayoka
Nipashe
Ni kitendo kinatakiwa kulaaniwa. Kinahitaji kulaaniwa kwa sababu sio tu kuwa wanawake wanabakwa katika mazingira ya vita,bali hata katika mazingira mengine ili mradi tu wanaume waone kuwa, kuna fursa...
08Mar 2016
Barnabas Maro
Nipashe
Tatizo, kama kawaida ya waandishi na wazungumzaji wengi, ni kutumia maneno yasiyo kwenye msamiati wa Kiswahili au kama yapo, hutumiwa tofauti na maudhui yake. Baadhi ya waandishi, kama walivyo watu...

Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Profesa Yunis Mgaya

08Mar 2016
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Udanganyifu huo, unaofanywa na baadhi ya watu kwa kufanya biashara ya kutengeneza vyeti feki kwa bei ya chini, huku wengine wakidiriki kuwatengenezea ta wanafunzi wa vyuo vikuu kwa gharama ya kuanzia...

Wanawake wakiwa katika maandamano ya sikukuu ya wanawake duniani

08Mar 2016
Nipashe
Chimbuko la Siku ya Wanawake Duniani lilianza miaka mingi na mwaka 1911, baada ya Wanawake nchini Marekani kuandamana kudai haki zao ambazo walikuwa wakizikosa: kama vile kulipwa ujira mdogo,...

Wachezaji wa Yanga wakishangilia baada ya kufunga goli walipocheza na Simba hivi karibuni

08Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hiyo ya Jangwani inashuka kwenye Uwanja wa Taifa leo kuikabili African Sports ikiwa pointi moja nyuma ya vinara Simba.
Ukiziondoa mechi mbili ilizotoka sare dhidi ya Azam FC, timu hiyo ya kocha mkuu Mdachi Hans van der Pljuim imeshinda mechi zingine zote ilizocheza nyumbani jijini Dar es Salaam msimu huu wa Ligi Kuu...

Jackson Mayanja

08Mar 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Kikosi cha Wanamsimbazi kilishinda 2-0 dhidi ya City kwenye Uwanja wa Taifa na kukwea kileleni mwa msimamo wa ligi hiyo kikiwa na mtaji wa pointi 48 baada ya mechi 21. Na Mayanja ambaye alipewa...

Wachezaji wa Simba wakipmbana na wachezaji wa Mbeya City

08Mar 2016
Adam Fungamwango
Nipashe
Timu hiyo ya Msimbazi iko pointi moja mbele ya Yanga na Azam FC kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Mabingwa hao mara 18 wa Tanzania Bara walikusanya pionti 47 katika mechi zote 26 za msimu uliopita wa ligi hiyo zilizoifanya imalize nafasi ya tatu nyuma ya mabingwa Yanga na Azam FC kwenye nafasi ya...

kocha Abdul Mingange

08Mar 2016
Nipashe
Meja huyo mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), aiinoa timu hiyo ya Mtwara msimu uliopita akirithi mikoba ya Dennis Kitambi kabla ya kutua City msimu kuchukua kiti cha Juma Mwambusi,...
08Mar 2016
Mhariri
Nipashe
Wanawake na watoto wa kike wamekuwa wakikabiliwa na vitendo mbalimbali vya ukatili na udhalilishaji kama ukeketaji, vipigo, kutelekezwa, ubakaji, mimba na ndoa za utotoni, kutopewa nafasi katika...

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Mohammed Mpinga

08Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
idadi ya wanaume inaweza kuendelea kushuka kutokana asilimia 90 ya wanaopoteza maisha au kupata ulemavu kwenye ajali kuwa wa jinsia hiyo.Takwimu hizo zinaonyesha kuwa kati ya mwaka 2011 na 2015, watu...

Baraka Da Prince

07Mar 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Alisema kuwa jitihada zao za kumuharibia taswira yake kwenye jamii zimegonga mwamba na kufafanua kuwa hana tabia ya kujirusha sana na vimwana zaidi ya kufanya kazi ya muziki. "Maisha yangu yako...

Mchezaji wa Yanga, Amiss Tambwe akichuana na kipa wa Azam Aishi Manula

07Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Mechi 16 zilizopita za Ligi Kuu kati ya timu hizo hakikutoa mbabe kila upande ukishinda mara tano na kutoka sare mara sita.
Majimaji walitoka suluhu ugenini dhidi ya African Sports sawa na matokeo ya Toto Africans dhidi ya Ndanda FC jijini Mwanza wakati Kagera Sugar wakilazimishwa sare ya 1-1 nyumbani dhidi ya Mgambo JKT...
07Mar 2016
Sanula Athanas
Nipashe
Timu hizo ziliuanza msimu wa soka wa 2015/16 kwa kutoka sare katika mechi ya robo-fainali ya Kombe la Kagame, kisha zikashindwa kufungana kwenye Ngao ya Jamii kabla ya kutunguana bao 1-1 katika mechi...

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye

07Mar 2016
Romana Mallya
Nipashe
Licha ya timu kongwe Simba na Yanga mara kadhaa kuvuka mipaka kusaka makocha wa kimataifa wakiamini ndio wenye uwezo wa kulivusha soka letu, lakini mwisho wa siku, wameishia kuwatimua mara timu hizo...

Pages