NDANI YA NIPASHE LEO

Ally Choki.

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Choki amesema kuwa ameshawashirikisha wasanii kadhaa wa muziki huo wakiwamo Ommy Dimpoz, Cassim Mganga na Shilole na kufafanua kuwa ataendelea kushirikisha wengine zaidi. Lengo langu ni kupata...
04May 2016
Sabato Kasika
Nipashe
Kuna ahadi nyingi, lakini mimi ninapenda nizungumzie hii ya kupambana na rushwa, ufisadi na kila uozo, ambao unachangia kukwamisha maendeleo ya nchi hii, huku watu wachache wakineemeka. Hata hivyo...

Dk.Mwakyembe na Jaji Warioba

04May 2016
Restuta James
Nipashe
Kasi hii inayokwenda kwa ‘kaulimbiu’ ya tumbua majipu imewajengea hofu watu wenye mashaka na utendaji wao au biashara wanazofanya kwa kuwafanya wajitathmini kama wanazingatia kanuni, taratibu na...

dk shein akisalimiana na maalim seif

04May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Hali hii imesababisha kwamba karibu kila siku kabla na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana haipiti bila kusikia tukio la kushangaza au kufurahisha. Vituko vingi vimekuwa vikiripotiwa...

rais magufuli

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kazi ni amana ambayo kila raia ana wajibu wa kuisimamia na kuitekeleza iwe katika mazingira rasmi au kwa kujitolea. Hata hivyo, imezoeleka kuwa Mei Mosi hujikita zaidi juu ya masuala ya msingi ya...

dk shein

04May 2016
Rahma Suleiman
Nipashe
Kumbe kimya kingi cha Dk. Shein kilikuwa na mshindo mkubwa baada ya kuchukuwa muda wa siku 16 kutangaza baraza la mawaziri tangu alipoapishwa kuwa rais wa Zanzibar Machi 24, mwaka huu tofauti na...
04May 2016
Mhariri
Nipashe
Kabla na kilele cha maadhimisho hayo, wanahabari na wadau wa habari katika maeneo mbalimbali nchini walikutana kupitia semina, mikutano, makongamano na warsha kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana...

papa wemba

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kwa mujibu wa habari kutoka DRC, shughuli ya mazishi ya msanii huyo aliyepoteza maisha muda mfupi baada ya kuanguka jukwaani wakati akitumbuiza nchini Ivory Coast, yatahudhuriwa na watu mbalimbali...

majimarefu

04May 2016
Somoe Ng'itu
Nipashe
Maji Marefu, Mbunge wa Jimbo la Korogwe, alisema Wekundu wa Msimbazi wataendelea kuwa watazamaji wa mashindano ya kimataifa kwa sababu viongozi wao walioko madarakani wanaiendesha timu kwa masilahi...

Leicester city

04May 2016
The Guardian Reporter
Nipashe
Kila timu ikiwa imebakiza mechi mbili mkononi, Leicester wana pointi 77, wakifuatiwa na Spurs wenye pointi 70, Arsenal wenye 67 na Manchester City katika nafasi ya nne wakiwa na pointi 64....

zitto kabwe

04May 2016
Mary Geofrey
Nipashe
Hatua hiyo inatokana na agizo lililotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, la kuvitaka vyama ambavyo havijawasilisha hesabu kwa CAG, kutekeleza jambo hilo ndani miezi mitatu, kuanzia Aprili 27,...

Kafulila

04May 2016
Joctan Ngelly
Nipashe
Katika kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, Kafulila anapinga ushindi wa wa Hasna Mwilima wa CCM, aliyetangazwa kuwa mshindi wa ubunge katika jimbo hilo. Hata...

waziri wa elimu prof.joyce ndalichako

04May 2016
Yasmine Protace
Nipashe
"Ukisoma masomo ya sanaa na biashara una uwezo pia wa kusoma tehama, hivyo wanafunzi msikate tamaa kwa kusoma michepuo hiyo.''
Wito huo ulitolewa na Mkuu wa Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaa (UCC), Dk. Angela Lunyororo, mwishoni mwa wiki. Dk. Lunyororo, ambaye alikuwa mgeni rasmi katika...

angela kairuki

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
“Serikali imekuwa ikipandisha kima cha chini cha mshahara kulingana na uwezo wa bajeti (mapato ya ndani) na kwa kuzingatia gharama za maisha.”
Mbunge huyo alihoji kuwa nafasi za watendaji wa vijiji na kata zimekuwa wazi ni kwanini serikali isione umuhimu wa kutoa nafasi kwa vijana waliomaliza vyuo kuanza kujitolea katika kipindi cha mpito...

Meneja Rasilimali watu wa Airtel, Gabriella Kaisi (kulia) akiwapongeza James Kwayu (katikati) na Abubakar Nassor.

04May 2016
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Kila mwaka, AIESEC huandaa kongamano la ajira kwa vijana linaloshirikisha zaidi ya wanafunzi 1500 kutoka katika vyuo vikuu mbalimbali nchini. Tangu mwaka jana, Airtel imekuwa ikishiriki katika...

Yahya Nawanda

04May 2016
Said Hamdani
Nipashe
Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Yahya Nawanda, alikabidhi hundi za mikopo hiyo juzi, katika ofisi za SIDO mjini hapa. Akitoa maelezo mafupi, Ofisa Mikopo wa SIDO Mkoa wa Lindi, Salma Ally, alisema huo...
04May 2016
Abdul Mitumba
Nipashe
Pamoja na matumaini hayo, uongozi huo umekiri kuwa ilibaki kidogo kufa na kufilisiwa kutokana na madeni makubwa yanayofikia zaidi ya Sh. bilioni sita, ilipokuwa ikiendeshwa na serikali. TOL...
04May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
...Ushindi huo wa jana umewafanya wawakilishi hao pekee wa Tanzania katika mashindano ya kimataifa kuhitaji pointi sita ili watetee ubingwa wao
Ushindi huo wa jana umeifanya Yanga ifikishe pointi 68 na kuhitaji pointi sita kati ya mechi tatu za ligi zilizosalia kwa timu hiyo ili iweze kutangazwa mabingwa wapya wa msimu wa mwaka 2015/16....

Rais magufuli akihutubia wakati wa sikukuu ya wafanyakzi mei mosi mjini Dodoma

04May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Katika utawala wa serikali yangu, sikubali wachache waishi kama malaika na wengi waishi kishetani. Niwahakikishieni kuanzia bunge lijalo, tutaanza kufanya kazi hiyo (ya kupungua mishahara) ili nao waishi kama shetani," alisema Rais Magufuli.
Akiwahutubia wafanyakazi katika maadhimisho siku yao duniani, Mei mosi, mjini Dodoma Jumapili, Rais Magufuli alisisitiza kuwa atapunguza mishahara ya wakuu wa mashirikac na taasisi za wauma...

sumaye

04May 2016
Na Waandishi Wetu
Nipashe
Wakati Sumaye akisema hayo, Serikali imesema iko tayari kukutyana na wadau ili kuchambua na kuzipatia ufumbuzi sheria zinazodaiwa kuwa kandamizi kwa uhuru wa vyombo vya habari. Sumbaye pia amesema...

Pages