NDANI YA NIPASHE LEO

10Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ujasiri wake wa kupambana na kuvuka vikwazo vya aina zote vilivyojitokeza katika safari yake hiyo, hatimaye umemfanya Besa kuwa rubani wa kwanza mwanamke, mwenye umri mdogo sana nchini Zambia na kuwa...
09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
*Wapelekwa Masasi chini ya ulinzi kujibu tuhuma , *Amtaka CAG akakague hesabu za korosho
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na Ofisi ya Waziri Mkuu, Maofisa hao ni pamoja na Kaimu Meneja Mkuu Chama Kikuu cha Ushirika cha Masasi (MAMCU), Kelvin Rajab na Meneja...

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo, Dk. Tito Mwinuka.

09Jan 2017
Gwamaka Alipipi
Nipashe
Alisema jambo lingine muhimu linalopaswa kuzingatiwa ni kupata thamani halisi ya fedha katika matumizi yote ya shirika. Januari 2, mwaka huu Rais John Magufuli alimteua Dk. Mwinuka kukaimu nafasi...
09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Akizungumza mikutano ya kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani Kata ya Isagehe, wilayani Kahama, Zitto alisema: “ Hii nchi inaongozwa kwa misngi ya kidemokrasi, nawaomba marais wataafu wasikae kimya...
09Jan 2017
Lilian Lugakingira
Nipashe
Mbali na kukataa kusafiria vyombo vinavyoondokea katika bandari zisizo rasmi, pia abiria hao wametakiwa kutosafiria vyombo vilivyojaza mizigo kupita kiasi au vinavyosafiri usiku. Rai hiyo...

KAIMU Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Boaz.

09Jan 2017
Elizaberth Zaya
Nipashe
• Kutoweka Msaidizi wa Mbowe, • Yaliyojiri miili saba ya Mto Ruvu
Mbali na madai ya kupotea kwa Saanane, Kamishna Boaz pia amezungumzia kuhusu mambo mbalimbali yanayoihusu ofisi yake hiyo mpya na changamoto zinazoikabili. Katika mahojiano mahususi na Nipashe...
09Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Jumla ya timu za mataifa 16 zitapambana kutafuta bingwa wa Afrika mwaka huu. Wachezaji mbalimbali wa Kiafrika, wamemiminika nchini humo kutoka kona zote za dunia kwa ajili ya michuano hiyo....
09Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Hatoweza kusimulia maisha yake ya soka bila kutaja michuano hii. Alhamisi usiku alisimama langoni kwa mara ya kwanza baada ya muda mrefu kupita. Ilikuwa ni mechi dhidi ya mabingwa watetezi wa...
09Jan 2017
Sanula Athanas
Nipashe
Katika mechi hiyo ya juzi iliyokuwa ya mwisho kwenye Kundi B la michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar, Yanga ililala kwa idadi hiyo kubwa ya mabao...

Willard Katsande.

09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Timu hiyo ilikuwa iagwe Jumamosi usiku tayari kwa safari ya kuelekea Cameroon kucheza mechi ya kirafiki kwa ajili ya kujiandaa na michuano ya Mataifa ya Afrika [Afcon 2017] itakayoanza kutimua vumbi...

waziri wa viwanda, charles mwijage.

09Jan 2017
John Ngunge
Nipashe
Shirika hilo limeanza kutekeleza mikakati hiyo kupitia mpango wa Kaizen neno la Kijapani lenye maana ya mabadiliko bora na endelevu ambao uliletwa nchini na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la...
09Jan 2017
Cynthia Mwilolezi
Nipashe
Mafunzo hayo ni muendelezo wa programu ya utaoji mafunzo kwa sekta isiyo rasmi iliyoanzishwa zaidi ya miaka 10 iliyopita, ambayo inalenga makundi yanayoendesha shughuli za kiuchumi sehemu mbalimbali...
09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
Ushauri huo ulitolewa mjini hapa mwishoni mwa wiki na mkurugenzi ya kampuni inayotoa mikopo ya zana za kilimo yakiwamo matreka na mashine za kuvuta maji ya Kabugamo, Ndallo Kabuche, wakati...
09Jan 2017
Gurian Adolf
Nipashe
Badala yake mwenye mifugo aonyeshe kibali cha kupokelewa kule anakoelekea kikionyesha kukubaliwa kutoka kwa uongozi wa sehemu anayokwenda. Akizungumza na vyombo vya habari, Mkuu wa Mkoa wa Rukwa...
09Jan 2017
Faustine Feliciane
Nipashe
Mbali na kuporomoka huko na kujikuta ikiachwa mbali na wapinzani wao wakubwa kwenye ligi klabu za Simba na Yanga, pia timu hiyo ilijikuta ikiwafungashia virago makocha wake wote wakiongozwa na Kocha...
09Jan 2017
Mhariri
Nipashe
Vipo vingine ambavyo vinaendelea na mchakagto wa uchaguzi ili kupata viongozi watakaoviongoza kwa vipindi visivyozidi miaka minne kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine. Ni wazi pamoja na kuwapo kwa...
09Jan 2017
Na Mwandishi Wetu
Nipashe
"Hiyo ni moja ya mipango yangu kwa mwaka 2017 kwani nitaanzisha lebo ikiwa na masharti kidogo kwamba nitakuwa na wasanii wachanga tu wale ambao wananizidi hawatakuwa na nafasi," alisema Dully....

Aunt Ezekiel.

09Jan 2017
Sabato Kasika
Nipashe
Alisema Aunt Ezekiel wa sasa siyo yule wa miaka ya nyuma aliyekuwa akijichanganya katika mambo mbalimbali na kwamba sasa amekuwa mtu mzima anayefanya kila kitu kwa umakini. "Nimeamua kubadili...
09Jan 2017
Adam Fungamwango
Nipashe
Ndiyo msimu ambao baadhi ya viongozi wa serikali, vyama vya mikoa na klabu zinaungana kuhakikisha kuwa timu zao zinashinda kwa gharama yoyote ile. Na ni hao hao ambao huzitelekeza timu hizo...
09Jan 2017
Mwinyi Sadallah
Nipashe
Hayo yalisemwa na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Zanzibar, Mkadam Khamis Mkadam, alipokua akitoa tathimini ya ajali za barabarani visiwani hapa baada ya kumaliza mwaka 2016. Alisema adhabu...

Pages